Madereva wa kike - Nafasi

Madereva wa kike - Nafasi

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
10,734
Reaction score
9,913
Wakuu kuna sehem ningependa ku share.

a)Dereva wa Kike,awe anajua kuonge Kiingereza
Majukum ni kubeba watalii,ndani ya jiji la Dar,mfano,kutoa Hotel,kwenda Bandarini,au kwenda Airport kwa mfumo kama huo.

b)Reservation Officer/Desk attendant
Hapa Kiingereza,atakuwa trained Zanzibar ili aweze kuijua vizuri wakati wa kuwashauri wageni.
Hii hapa gari unaweza kufundishwa then ukawa na majukum ya ziada

Nafasi hizo haziangalii kidato,hata kama Darasa la Saba muhim kigezo ni Kiingereza Tu,maana mengine utawekwa Field

b)Nafasi Nyingine,hii kiingereza sio lazima,maana anachukua watoto kutoka Nyumbani kwenda Shuleni na kuwarejesha

Halafu weka kiwango cha mshahara unachotaka ili wakujadili.

Mjumbe hauwawi
 
Nakuwa naendesha gari la aina gani..........?
 
me niko tayari kuwapeleka watoto shule na kuwarejesha pls naomba tuwasiliane.
 
me niko tayar kuwapeleka watoto na kuwarudisha naomba tuwasiliane number yang ni 0718 492071
 

Attachments

  • 1413730760757.jpg
    1413730760757.jpg
    11.9 KB · Views: 410
Back
Top Bottom