King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,412
- 88,728
Sio kwa trafick wa TZ ,Mwekee wekundu wawili NYAKUA anasahau.
huyo dogo mkurupukaji anakwambia baby walker hiyo inaonyesha experience yake ya magari ni ZEROHyo speed meter inavyoonesha si baby walker hyo itakuwa ford,Toyota tx na zingine lkn si baby walker.
Ulipokuwa unasomea hiyo Class A license hukujifunza kuhusu animal crossing?mifugo unafugia barabarani![]()
tutapita nayo
Ukigonga gari ingine still utakuwa peke yako? Ukivamia nyumba za watu au sokoni kwasababu ni private car utakuwa peke yako? Oh I forgot, common sense is not common.siendeshi gari la abiria hiyo ni my private car.....hata ikitokea nimekufa nitakua alone![]()
![]()
license class A ya nini mkuu?Ulipokuwa unasomea hiyo Class A license hukujifunza kuhusu animal crossing?