shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,806
- 4,303
Ahaaa sisi tumefundishwa kwa kutumia hii app ingawa tuna miliki baiskelHahaha ngoja hii mada ionwe na mamlaka
Ahaaa sisi tumefundishwa kwa kutumia hii app ingawa tuna miliki baiskelHahaha ngoja hii mada ionwe na mamlaka
Daraja la kigamboni ipohivi kwanini mijini hamna tochi?
App ina detect kamera kwa umbali wa nusu kilometer wakati kamera inaweza kunasa gari umbali wa kilometer 2. Hiyo akili au matope? Kifupi hiyo app siyo effective, maana inazidiwa hata na uwezo wa uoni wa macho. Bora kufuata alama za barabarani.Inaonekana iko vizuri nimeshaipakua nitaleta mrejesho.ubarikiwe sana
Km 4 zipi mkuu? Zile tochi mita 200 mwishoSasa hizo tochi mbona zina kamata umbali mkubwa zaidi ya hii app. Kama sijakosea hizo tochi zina uwezo wa kuditect umbali hadi kilometa nne.
Hamna tochi inayoenda 2km labda iniambie wanatumia technoljia gani is it bluetooth? Infrared? Au rays gani? gani kudetect? Physics yangu inakataa kabsa...App ina detect kamera kwa umbali wa nusu kilometer wakati kamera inaweza kunasa gari umbali wa kilometer 2. Hiyo akili au matope? Kifupi hiyo app siyo effective, maana inazidiwa hata na uwezo wa uoni wa macho. Bora kufuata alama za barabarani.
Kumbe tatizo ni physics yako wala siyo physics.Hamna tochi inayoenda 2km labda iniambie wanatumia technoljia gani is it bluetooth? Infrared? Au rays gani? gani kudetect? Physics yangu inakataa kabsa...
Hakuna torch ya Km2 wewe hata ulaya.App ina detect kamera kwa umbali wa nusu kilometer wakati kamera inaweza kunasa gari umbali wa kilometer 2. Hiyo akili au matope? Kifupi hiyo app siyo effective, maana inazidiwa hata na uwezo wa uoni wa macho. Bora kufuata alama za barabarani.
Ahaaa sisi tumefundishwa kwa kutumia hii app ingawa tuna miliki baiskel
Taja technolojia? Simply hakuna tochi inayofika hata mita 500....Kumbe tatizo ni physics yako wala siyo physics.
ha ha haTaja technolojia? Simply hakuna tochi inayofika hata mita 500....
Sizan kama gps ina uwezo wa kutuma multimedia otherwise kwny sim ungekua hutumii ip tena ku share ma files..unawasha tu gps unatuma mzigo....maana yake tu ni global position system...una receive signal tu.Ziko kwenye GPS ndiyo maana wanaweza kupiga picha na kuzituma kwa mtu mwingine
Ila kuwe na clear LS mybSasa hizo tochi mbona zina kamata umbali mkubwa zaidi ya hii app. Kama sijakosea hizo tochi zina uwezo wa kuditect umbali hadi kilometa nne.
Hapa kazi tuWakuu,
Msimu huu wa sikukuu nimeona baadhi ya madereva wakilalamika sana kuhusu kulipa fine barabarani kwa kuzidisha mwendo.
Kufuata sheria za barabarani ni jambo la kwanza, ila kuna matrafic wengine wanakera kweli kweli.
Download hii app hapa chini kwenye simu yako, itakujulisha uwepo wa speed kamera nusu kilometa kabla hujaifikia. Utaepuka fine kirahisi.
Nice holidays
Speed Cameras & Traffic Sygic - Android Apps on Google Play
karibu mkuu!
Sasa nguvu yote hii ni ili ukimbize gari tani yako,Siku hizi nikiwa naenda zangu home Mby natoka saa Tisa/10 kunakucha nipo ruaha Mbuyuni naanza kupambana na wa Iringa huku Moro Pwani ni kutembea saaana By the way kuna kifaa kinaitwa Speed Trap detector (HICHO PICHANI) hicho aka'e kwenye shimo, juu ya msunobari,kwenye karavati au vichakani au popote utamjua tu!