shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,806
- 4,303
Inaweza kuwa moja lakini inahama hama...View attachment 450111 iringa kuna camera nying sana duuuh
Kama una makosa lazima uta panic manake guilty are afraid.Wale jamaa wakisha kutageti hata uwe unatembea speed 20 wanajua wanavyoyaset makamera yao!
Yaani kikawaida inabidi ukiwaona wale jamaa uwe na amani lakini hapa ni tofauti maana ukiwaona unapaniki hata inaweza kutokea ajali!
Nami niliaminiga hivyo kabla hayajanikuta, kosa langu likiwa ni kuukanyaga mstari wa watembea kwa miguu uliochorwa wakati wa wakoloni maana hauonekani bali lipo litaa nalo halifanyi kazi! Wenyewe wanakaa hapo wakijua mpitaji mpya hawezi kuona na wanatumia kukamilisha hesabu zao!Kama una makosa lazima uta panic manake guilty are afraid.
Mkuu mjini kuna kamera usithubutu kwenda kasi, afadhali tochi kuliko kamera Mkuuhivi kwanini mijini hamna tochi?
Uwe makini wakati mwingine.Nami niliaminiga hivyo kabla hayajanikuta, kosa langu likiwa ni kuukanyaga mstari wa watembea kwa miguu uliochorwa wakati wa wakoloni maana hauonekani bali lipo litaa nalo halifanyi kazi! Wenyewe wanakaa hapo wakijua mpitaji mpya hawezi kuona na wanatumia kukamilisha hesabu zao!
Ipo good sanaiko vizuri