Madereva pitieni hapa kuepuka fine za overspeed na speed camera

hii app ni ya kwel,,,
ina kuonyesha spid inayotakiwa kutumika katika eneo husika
ina sense camera za polis kwaa kupiga alam
inakuonyesha route ya barabara...tangu nimeijua trafik huwa ni kuwapungia tu,,,maana hata ajifiche alam ikishagonga unapunguza spid
Ntajaribu halafu ntaleta mrejesho
 
Mkuu hata kama utafuata sheria, hawa jamaa wakiamua kudili na ww huna ujanja, maana wanakupiga camera hata kabla hujakifikia kibao cha alama ya 50
Ukishapigwa fine kwa kuOverspeed sehemu isiyo ba speed limit unastahili kupigwa na makofi kwa sababu hujui haki zako kisheria.
 
Mkuu hata kama utafuata sheria, hawa jamaa wakiamua kudili na ww huna ujanja, maana wanakupiga camera hata kabla hujakifikia kibao cha alama ya 50

Na ukipigwa fine kwa mtindo huo kirahisi unakuwa mzembe wa mwisho ukiacha kubishana.
 
Hi all,
Hebu aliyetumia hii APP atupe mrejesho kama inafanya kazi kwa GPRS, internet, n.k
 
Kwa bongo ha apply kabisa...labdda ungesema izo speed torch za trafic nazo wawe wanatumia gps...road zetu nyngng hazijakua updated na details zote pili trafic bongo hawaeleweki unaeza amka asubuhi ikakuta ametesha tochi getini kwako hawana sehemu maalum...kama mtu anapanda juu ya mti sasa hiyo software itamuonaje?
 
Back
Top Bottom