Madereva pitieni hapa kuepuka fine za overspeed na speed camera

kiwatengu

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
15,243
2,000
Wakuu,

Msimu huu wa sikukuu nimeona baadhi ya madereva wakilalamika sana kuhusu kulipa fine barabarani kwa kuzidisha mwendo.

Kufuata sheria za barabarani ni jambo la kwanza, ila kuna matrafic wengine wanakera kweli kweli.

Download hii app hapa chini kwenye simu yako, itakujulisha uwepo wa speed kamera nusu kilometa kabla hujaifikia. Utaepuka fine kirahisi.

Nice holidays

Speed Cameras & Traffic Sygic - Android Apps on Google Play
 

Steven Nguma

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
1,076
2,000
Wakuu, msimu huu wa sikukuu nimeona baadhi ya madereva wakilalamika sana kuhusu kulipa fine barabarani kwa kuzidisha mwendo.
Kufuata sheria za barabarani ni jambo la kwanza, ila kuna matrafic wengine wanakera kweli kweli!!

Download hii app hapa chini kwenye simu yako, itakujulisha uwepo wa speed kamera nusu kilometa kabla hujaifikia. Utaepuka fine kirahisi.
Nice holidays

Speed Cameras & Traffic Sygic - Android Apps on Google Play
Inaonekana iko vizuri nimeshaipakua nitaleta mrejesho.ubarikiwe sana
 

CHAZA

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
7,424
2,000
Wakuu, msimu huu wa sikukuu nimeona baadhi ya madereva wakilalamika sana kuhusu kulipa fine barabarani kwa kuzidisha mwendo.
Kufuata sheria za barabarani ni jambo la kwanza, ila kuna matrafic wengine wanakera kweli kweli!!

Download hii app hapa chini kwenye simu yako, itakujulisha uwepo wa speed kamera nusu kilometa kabla hujaifikia. Utaepuka fine kirahisi.
Nice holidays

Speed Cameras & Traffic Sygic - Android Apps on Google Play
Inafanyaje kazi hii. Inapiga alarm ukikaribia au inafanyaje?
 

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
8,731
2,000
Hahahahah, dah twapenda unafuu! Nadhani inatumia Internet! Wht if ukiwa out of coverage
Inatumia GPS na sio internet

Speed Cameras by Sygic is the most accurate and easiest to use GPS based app, which lets you:

• See the speed limit for the road you are traveling on
• Get the real-time alerts of mobile radar traps and fixed speed cameras location
• Know about speed limit changes & exceeding the speed limit
• Drive more safely thanks to acoustic and visual warning
• Display speed limits and warnings also in other apps, such as Google Maps
• Track your mileage and useful driving stats using Trip log feature
• Record videos of your trips with the premium Dash Cam function
★★★★★ “It's a perfect driving companion.” - Tuaw.com

Get real-time alerts of 60,000+ fixed speed cameras & radar locations
► Know where the red-light cameras are hidden
► Know the location of fixed speed camera

Join other drivers & report new traps
► Report new traps, police radar, mobile camera with a single tap
► Get help from other drivers and stop worrying about speeding fines

The easiest to use speedometer, speed limit, trip log & dash cam app
► Beautifully designed app with essential features only
► Choose your metrics – km/h or mph & set your own speed alert

Keep track of useful statistics about your driving with Trip log
► Speedometer by Sygic is your perfect GPS mileage log tracker
► Track your mileage and view your driving history
► To have the best picture about your driving behavior, see the useful statistics in your Trip log


PREMIUM FEATUES

Speed limits
► Know the speed limit for the road you are travelling on
► Get the real-time alert when you exceed the speed limit
► Worldwide coverage of speed limits is available in 120 countries

Head-Up Display
► At night, info is projected directly into your line of sight - the windshield
► This allows you to process information faster and keep your attention on the road
► Works when it’s dark without any additional accessories or devices
► When HUD is running, tap on it to flip the screen and place under the windshield

Speed limits and warnings in other apps
► The app can display your current speed, speed limits, and warnings also in other apps (such as Google Maps)
► All information will be displayed as an overlay above the apps you choose

Premium speed cameras
► The world’s largest online speed cam database from premium providers
► 300 000+ real-time alerts of mobile speed cameras and police traps each month

The 1st speedometer app with integrated Dash Cam
► Record videos from your trips with Dash Cam (black box) feature
► Use the videos as evidence in case of an accident or an insurance fraud
► Record 5-minute videos in 1-minute segments, with the oldest video deleted
► Dash Cam (black box) feature records video and audio, including date, GPS coordinates & speed
► Head-up display mode let's you use your windshield as a state-of-the-art HUD device


* Sharing recorded videos by Dash Cam is forbidden by law in following countries: Slovakia, Austria, Spain, Switzerland, Luxembourg, Belgium and Portugal

Sygic | Bringing life to maps.
 

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,481
2,000
Wale jamaa wakisha kutageti hata uwe unatembea speed 20 wanajua wanavyoyaset makamera yao!
Yaani kikawaida inabidi ukiwaona wale jamaa uwe na amani lakini hapa ni tofauti maana ukiwaona unapaniki hata inaweza kutokea ajali!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom