Mademu wengi wanateseka juu yangu...

We umekutana na vitoto karibu kwenye CHAMPIONS LEAGUE! Pesa nakula na mzigo sikupi wala nini! Na nikikuona nakuchekea mpaka jino la mwisho
Nini champions league,kuna mangunguta yameshindikana kitaa kwa kula hela za watu na kuwapiga chanuo lakini kwangu wanaliwa mzigo na hela sitoi hata buku!
 
Nini champions league,kuna mangunguta yameshindikana kitaa kwa kula hela za watu na kuwapiga chanuo lakini kwangu wanaliwa mzigo na hela sitoi hata buku!

Kwa hiyo unataka ligi na mimi?
 
Wanataka ku-prove ule uvumi kama ni kweli...so unavyowatosa ndio wana-tick boxes its official this nikka is ....
 
duh hii strategy yako iko poa sana boflo...lol....
 
ww mtata sana, kwa nn niweke monitor kitchen?
Kwa kuwa wewe ni msimbe uliyekomaa unayejipikilisha mwenyewe jikoni usiyetaka kuoa mke wa kukusaidia majukumu ya nyumbani.
 
mmmh Boflo style yako balaa!! umesema unatafuta true love but kwa style hii c kila mwanamke atakuona sio mwaminifu!!?
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuwa wewe ni msimbe uliyekomaa unayejipikilisha mwenyewe jikoni usiyetaka kuoa mke wa kukusaidia majukumu ya nyumbani.

Nimemuuliza Kaunga ....mbona unajibu ww..

au wewe na Kaunga ni mashostito????????
 
Dunia hii ya leo iliyojaa kila aina ya maradhi ya zinaa bado baadhi yetu wanadamu wanajisifia ngono. Eeeh Mola msamehe huyu mja wako.
 
Nimemuuliza Kaunga ....mbona unajibu ww..

au wewe na Kaunga ni mashostito????????

Ahaah hivi sikukujibu? I thought unazo monitor kila sehemu bathroom included, na jikoni najua ungekuwa unapata breakfast maana Kongosho alikuwa na mpango wa kuwahi usubuhi hapo kwako ili awe no moja!

You know my shostito are you and Erotica, huyo mwingine anijipendekeza tu! LOL
 
Last edited by a moderator:
Tatizo wanawake wa siku hizi wamekuwa ving'ang'anizi sana,mpaka tunaogopa hata kuwatongoza.Ukimpata mnakubaliana kwamba wewe ni rafiki yangu tu ila nina mchumba wangu mkisha do baadaye anataka akuharibie ili usije kumwoa huyo mchumba wako.Kila saa sms haziishi,iwe usiku,mchana ili mradi vurugu tupu.Ukimkatia mawasiliano anaanza vitisho eti ntaona kama utamwoa huyo mchumba wako.Jamani kina dada badilikeni unapompata mtu akikueleza ukweli ana mchumba wake usinogewe kiasi kwamba unataka ufanye na mapinduzi amwache wake wa zamani akuchukue wewe.
 
Dunia hii ya leo iliyojaa kila aina ya maradhi ya zinaa bado baadhi yetu wanadamu wanajisifia ngono. Eeeh Mola msamehe huyu mja wako.
Maradhi umeyaona wewe.Ndege zinaanguka kila siku na kuua abiria wote lakini unapishana na maelfu kwa maelfu ya watu airport wanapanda hizo ndege.Kwa hiyo watu wasipande ndege kwa sababu inaweza kupata hitilafu angani/kuanguka na kuua abiria wote?
 
Ndio maana tunashangaa inakuwaje Mawala advocate anatengeneza mahela mengi kiasi kile....ni matumizi ya vichwa vyetu ndio yanayotutofautisha.
 
Ndugu HorsePower umenena sawa laikini inawezekana ndugu Ubungoubungo amekasirishwa na tabia ya boflo ya kutesa wanawake maana amesema mwenyewe kuwa ukitaka kumtesa mwanamke ufanye nini. ulitakiwa ujaribu kufikiri je kama mambo hayo yalishamkuta Ubungo unafikiri jibu lingekua ni nini?
 
Wana Jf mm
esikia maneno ya hekima hayo!!!!!!!!!!!!!!

hasa wewe Kaunga ndio una tabia hii, toka siku nilipokupeleka dinner seacliff, unataka kuning'an'gania....

umeona nakukwepa, unataka kunitega kwa binti yako.....loooh
 
Last edited by a moderator:

Wana Jf mm
esikia maneno ya hekima hayo!!!!!!!!!!!!!!

hasa wewe Kaunga ndio una tabia hii, toka siku nilipokupeleka dinner seacliff, unataka kuning'an'gania....

umeona nakukwepa, unataka kunitega kwa binti yako.....loooh

Jamani usipogombewa si utaanza kujifeel unworthy; leave my binti out of this au ndio unamuharibia kwa georgeallen nini?
 
Last edited by a moderator:
si huna nguvu za kiume wewe punga? nimeshangaa kwenye post ile nyingine kuhusu yule mtetea shoga wa uganda na wewe umetetea sana ushoga,...wewe nawe ni shoga huna jipya....mnatakiwa kuchomwa moto hapa tz...hamfai kuishi.

umekosea sana mkuu.
 
mmmh! haya maneno nafikiri ni kwa wote wawili ke na me
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…