Mademu wengi wanateseka juu yangu...

boflo ni wewe unanifanya nakula madawa nisiyohitaji eeh?....kwa kunifilm my big fat ass...lol:director::director::director::director::director:
 

Unawatesa Mademu kwa kujificha?
Boflo, are you Gay?
 
Boflo , hao wachunaji bwana wanataka uendelee kulipa bills zao
 
Last edited by a moderator:
duh,ni ufyuzi au shuzi??
Nimependa jina lako
huyu Boflo hana lolote apeche alolo a-be-che-de-a!!
kaemu unakokahangaisha ni kamoja tuuu afu unasema wako wengi ......ushuzi mtupu!!!

wacha nikanunue bolfo la ukwe'e nilikatekate nilitie jemu na tani bond ninywe chai ya maziwa ya cowbell.........
 
sasa Boflo, u want true love lakini unawatesa wadada unategemea nini? huoni kama matendo yanakinzana na desires au true love yako haiko kwa wadada?
 
Last edited by a moderator:
Boflo,what goes around comes around.
 
Last edited by a moderator:
sasa Boflo, u want true love lakini unawatesa wadada unategemea nini? huoni kama matendo yanakinzana na desires au true love yako haiko kwa wadada?

Geeez..what a good question!!!
 
Last edited by a moderator:
Kingkong hebu tupia namba yako ya simu kwa pm, nataka tuongee issue

Haaaaaaaaa Boflo unataka unipe mmoja nini? Ok nipe wawili bwana mchague m1 mweupe mwingine chokoleti kala.
 
Last edited by a moderator:

Subiri tu na wanao watafanyiwa hivihivi. What comes around, goes around..

 
siku zote uwa na ntaendelea kuwa dilema juu yako boflo unless nije kuprove tofauti
 
We umekutana na vitoto karibu kwenye CHAMPIONS LEAGUE! Pesa nakula na mzigo sikupi wala nini! Na nikikuona nakuchekea mpaka jino la mwisho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…