Mademu wakimya mnakera mnoo

Wangu mie aibu tu
10yrs in marriage ni aibu aibu aibuuu kwa kwenda mbele
Kwa wageni akisalimia tu anazama chumbani kumchomoa huko unahitaji greda na bludoza

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchunguze vizuri kuna mambo mengi sana yatakua yanaendelea ndani ya kichwa chake...

Binadamu kama hao ndiyo wanakufaga bila kujua hata tatizo ni nini...



Cc: mahondaw
 
Sasa huyo ndiyo mzuri oa kabisa.
 

Kama mtu hachepuki shida nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lmaoo
 
Binadamu bwana sijui Mungu atupe nini suraanayo shepu lipo iyondo kasoro yake broo ata wewe sidhani kama utakuwa sawa kila sehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…