Mademu wakimya mnakera mnoo

Mkuu demu mkimya sana hata mm cmpendi unafikiri unakaa na bubu ndani
 
wanawake wanaoongea ongea sana wanaboa....hata kwenye mambo ya kikubwa yeye anaweka mada za vikoba sijui madeni yake laaah
 
Mzee unazingua.... Hiyo bahati natamani Sana ingenikuta. Wenzio tunachelewa kurudi home kisa kelele.... Wewe umepata lulu unakereka nayo..... Naomba tubadilishane boss.....
 
Kama nimimi namnywa makofi akili ikae sawa over
 
Daaah mkuu angenifaa huyo. Sipendagi kelele kabisa
 
Picha yake tuone hizo sifa kedekede ulizimwaga hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…