Bora nionekane mshamba. Demu wa town sioi mie! Hivi mnajua jamani wanawake wengi wa mjini mmepoteza mvuto wa kuolewa! Sababu nini mnajua? Mmepoteza sifa moja muhimu sana inayomvutia sana mwanaume ukiwa nayo, nayo ni AIBU. Hamna aibu tena. Demu wa kijijini ukimpiga songi anaandika chini kwadole gumba, mara aokote nyasi, aume kucha..., si nyie wa mjini macho makavu utadhani unaongea na njemba nyenzako. Halafu unajuta demu ana umbo bomba, amekula pamba za ukweli..., subiri kauli yake sasa, utazimia. Matusi ya nguoni ni lugha yake ya kawaida. Anatukana kwa kutaja viungo kwa majina yake tena hadharani! Aisee, mi mjini sioi, bora niitwe mshamba. Mjirekebishe bwn, mnaboa!
we kweli mshamba, kaoe tu shambani!!! Nani wa mjini cku izi utamdanganya sili,silali, sipumui,mapigo ya moyo yamesimama kwa ajili yako??? NENDA TU KATUFUTE HAO WACHORA CHINI!! Town tuachie sisi tu ndo tunawezana nao

Sasa kama unataka wenye aibu si unajua wanapatikana wapi shida ya nini?
ha haaaa, ina maana na sisi hatutaki kuolewa na "wa kike"?Huo mwandiko wa kichwa cha habari ni kama wa kike vilee.