Mademu wa mjini... Aka, sioi mie!

Museven

JF-Expert Member
Aug 22, 2011
629
447
Bora nionekane mshamba. Demu wa town sioi mie! Hivi mnajua jamani wanawake wengi wa mjini mmepoteza mvuto wa kuolewa! Sababu nini mnajua? Mmepoteza sifa moja muhimu sana inayomvutia sana mwanaume ukiwa nayo, nayo ni AIBU. Hamna aibu tena. Demu wa kijijini ukimpiga songi anaandika chini kwadole gumba, mara aokote nyasi, aume kucha..., si nyie wa mjini macho makavu utadhani unaongea na njemba nyenzako. Halafu unajuta demu ana umbo bomba, amekula pamba za ukweli..., subiri kauli yake sasa, utazimia. Matusi ya nguoni ni lugha yake ya kawaida. Anatukana kwa kutaja viungo kwa majina yake tena hadharani! Aisee, mi mjini sioi, bora niitwe mshamba. Mjirekebishe bwn, mnaboa!
 
haya bwana, kwani kuna aliomba aolewe na wewe maana hizo hasira du1

mh hebu niambie, uchaguzi ujao utagombea tena?
 
we kweli mshamba, kaoe tu shambani!!! Nani wa mjini cku izi utamdanganya sili,silali, sipumui,mapigo ya moyo yamesimama kwa ajili yako??? NENDA TU KATUFUTE HAO WACHORA CHINI!! Town tuachie sisi tu ndo tunawezana nao
 
hahahaha,,......nimechekajeeee
 
Bora nionekane mshamba. Demu wa town sioi mie! Hivi mnajua jamani wanawake wengi wa mjini mmepoteza mvuto wa kuolewa! Sababu nini mnajua? Mmepoteza sifa moja muhimu sana inayomvutia sana mwanaume ukiwa nayo, nayo ni AIBU. Hamna aibu tena. Demu wa kijijini ukimpiga songi anaandika chini kwadole gumba, mara aokote nyasi, aume kucha..., si nyie wa mjini macho makavu utadhani unaongea na njemba nyenzako. Halafu unajuta demu ana umbo bomba, amekula pamba za ukweli..., subiri kauli yake sasa, utazimia. Matusi ya nguoni ni lugha yake ya kawaida. Anatukana kwa kutaja viungo kwa majina yake tena hadharani! Aisee, mi mjini sioi, bora niitwe mshamba. Mjirekebishe bwn, mnaboa!

Wewe unatafuta mke kwenye disco na baani halafu unategemea nini.Lakini kama utaenda kutafuta mke nyumba za ibada utapata anayejiheshimu hata kama ni hapa hapa mjini.Halafu mimi huwa napenda msichana ambaye anaweza kukueleza waziwazi kuwa anakupenda hayo mambo ya kuona aibu, sijui kula nyasi, kuchora chini ni ya kizamani.Anaweza akawa anakula nyasi, anaona aibu, anachora chini kumbe ni kicheche.Kama kweli unataka mke muombe Mungu atakusaidia.
 
ha ha ha..+ nikinywa maji nakuona kwenye glasi..nimecheka sn
we kweli mshamba, kaoe tu shambani!!! Nani wa mjini cku izi utamdanganya sili,silali, sipumui,mapigo ya moyo yamesimama kwa ajili yako??? NENDA TU KATUFUTE HAO WACHORA CHINI!! Town tuachie sisi tu ndo tunawezana nao
 
umesema kweli, ila si aibu tu kaka itakayokufanya uoe binti wa kijijini, unaweza kuoa huyo mwenye aibu ukisha mleta mjini anakuwa mcharuko kuliko hata huyo wa mjini na aibu yote anaiacha mjini hukohuko! unadhani aibu hiyo ataendelea kuwa nayo daima?
Kwa upande wa matusi, kiukweli haipendezi aidha kwa mwanamke wala mwanaume kutukana. Na wewe mwenyewe unayedhani mwanamke mwenye aibu tena wa kijijini ndiye wa kuoa ukoje, una heshimika?

Ushauri wangu kwako, muombe Mungu akupe mke mwema, hata mjini wake wema wapo ila tulia na Mungu atakusaidia
 
Sasa kama mtu unakuja na mashairi ambayo hayaeleweki katika kutongoza unadhani utaambulia kitu?

Jipange kijana, kumtongoza mwanamke sio kama kuendesha baiskeli kunahitaji mashairi yaliyoenda shule. Mambo ya sili silali bila kukuona yameshapitwa na wakati. Kwa style hiyo hata huku unapokimbilia kuolea utaambulia patupu.

BTW kama una muda wakutosha njoo kwenye course yangu ya kutongozea upate mashairi yaliyoenda shule sio lupiga blaaa blaaa nyingi huku ukitegemea mtu akung'atie kucha au aandike chini.
 
Wengi wa hawa wanaoitwa wa mjini wametoka kijijini, huyo wa kijijini naye baadaye atageuka wa mjini... utaenda kuoa mwingine!!
 
Bora nionekane mshamba. Demu wa town sioi mie! Hivi mnajua jamani wanawake wengi wa mjini mmepoteza mvuto wa kuolewa! Sababu nini mnajua? Mmepoteza sifa moja muhimu sana inayomvutia sana mwanaume ukiwa nayo, nayo ni AIBU. Hamna aibu tena. Demu wa kijijini ukimpiga songi anaandika chini kwadole gumba, mara aokote nyasi, aume kucha..., si nyie wa mjini macho makavu utadhani unaongea na njemba nyenzako. Halafu unajuta demu ana umbo bomba, amekula pamba za ukweli..., subiri kauli yake sasa, utazimia. Matusi ya nguoni ni lugha yake ya kawaida. Anatukana kwa kutaja viungo kwa majina yake tena hadharani! Aisee, mi mjini sioi, bora niitwe mshamba. Mjirekebishe bwn, mnaboa!

[h=2]Mademu wa mjini... Aka, sioi mie! : Wewe mwenyewe demu halafu unataka kuoa demu. Wanaume huwa hawatumii neno " Aka". So ur thread is null and void[/h]
 
madem unamaanisha wanawake? huna adabu hawa mama zetu, wake zetu, shemegi zetu unaleta dharau....
 
Mla mla leo! Mla jana kala kiporo, na cha kesho hakiswii kibudu!! Nenda vijini kaoe, kila la kheri!
 
Sasa kama unataka wenye aibu si unajua wanapatikana wapi shida ya nini?
 
Mwanaume anayetumia neno " aka" huku kwetu tunamchanganya kwenye lile kundi la " Either".
 
Bora nionekane mshamba. Demu wa town sioi mie! Hivi mnajua jamani wanawake wengi wa mjini mmepoteza mvuto wa kuolewa! Sababu nini mnajua? Mmepoteza sifa moja muhimu sana inayomvutia sana mwanaume ukiwa nayo, nayo ni AIBU. Hamna aibu tena. Demu wa kijijini ukimpiga songi anaandika chini kwadole gumba, mara aokote nyasi, aume kucha..., si nyie wa mjini macho makavu utadhani unaongea na njemba nyenzako. Halafu unajuta demu ana umbo bomba, amekula pamba za ukweli..., subiri kauli yake sasa, utazimia. Matusi ya nguoni ni lugha yake ya kawaida. Anatukana kwa kutaja viungo kwa majina yake tena hadharani! Aisee, mi mjini sioi, bora niitwe mshamba. Mjirekebishe bwn, mnaboa!

kazi sana kubalisha watu kisa umepigwa kibuti na dada wa mjini ahaaa...
 
Wa mjini wakati unaongea anapapasa simu facebook,jf,sms!Wa kijijini ukiona amenza kukata vimajani na shingo inapinda pinda ujue umeshakubaliwa.Pia wa mjini Invoice huletwa mapema kabla hata hujakolea katika penzi.Pia hawachelewi kukwambia narudi kwetu usinibabaishe
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom