comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 8,227
- 5,950
Madeleka ulisema kwamba Bunge halina mamlaka ya Kujadili au kupitisha Makubaliano, lakini lina mamlaka ya kufanya hivyo kwenye mikataba tu.
Huu sio ukweli, Bunge linauwezo pia wa kujadili mpango wowote, achilia mbali makubaliano au mkataba, bali mpango wowote na kisha kuutungia sheria.
Haya mambo ya kusoma kifungu kimoja na kuacha kingine aliyesema Jerry Silaha
jana kwenye mkutanoWake na waandishi wa habari, lengo lenu ni kupotosha umma wa Watanzania, na hii sio nzuri.
Madeleka tunajua wazi kwamba unaitaka Tabora Mjini 2025, Mzee Slaa anaitaka Karatu 2025 na Mwambukusi anaita Mbeya Mjini 2025, hivyo msitumie jukwaa la DPW kujiimarisha kisiasa, semeni ukweli hata Mungu atawasaidia kwani uwongo hautawapeleka kokote.