madawa ya kulevya

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
kwa takribani wiki nne sasa kama sio tano tumekuwa tukisikia watuhumiwa wa madawa ya kulevya wakikamatwa na kitengo maalumu cha kuzuia madawa ya kulevya.....hivi bei madawa yale hiki kitengo kinazazipata wapi? maana kila siku utasikia tumekamata Heroin kilo 2 zenye thamani ya milion 67...............naomba ufahamu wadau
 
yaani umenichekesha sana mkuu. hivi umewaza nini lakini? nitakupa stori nilitaka kuingizwa mjini na mtu buguruni juu ya haya makitu nilikimbiaje?
 
Hivi wewe ukitaka kujuwa bei ya lawalawa unaipata wapi?
 
Back
Top Bottom