Madaraka ya kulevya na intelijensia ya kishenzi

Ila pia majigambo ya marehemu yalichangia kifo chake kwenye yale mahojiano yake na TV moja.... Hayakuwa majigambo mabaya bali ilikuwa kuwahakikishia wakenya kwamba mfumo alioujenga ni imara kiasi kwamba ili uweze kuhack ni lazima kiganja chake (kwa maana ya vidole) hii siri hakupaswa kuisema popote

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kama si kutumia viganja kwa maana ya vidole (si kidole) mtu anaweza kutumia njia au kiungo gani zaidi cha mwili ili kuweza kufanya hiyo hacking?

Hapa namaanisha hata asingetaja kuhusu kiganja chake ilikuwa ni rahisi watekaji wake kuamini kwamba viganja vyake ni muhimu ili ku access security mechanisms ya system husika. Pia kitaalamu sijui kama access kama hiyo uwa haihitaji uwepo wa mzunguko wa damu ya mhusika wa kiungo ili kufanikisha lengo la hacker?
 
Kule kutaja kulirahisisha kazi, kwakuwa jibu sasa lilikuwa wazi na hakukuwa na guess works tena! Finger prints haisomi mzunguko wa damu bali mistari ya ngozi vidoleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inauma sana ! nakumbuka maneno katika wimbo wa Lucky Dube -CRAZY WORLD nanukuu "LEADERS START THE WAR ANY TIME THEY WANT, SOME FOR THEIRE RIGHTS,SOME FOR FUN AND THEIRE OWN GLORY" Mwisho wa kunukuu
 
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Back
Top Bottom