Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,621
- 860,797
- Thread starter
- #21
Tutakapoamua kulimalizaTatizo ni uroho wa madaraka tu wa viongozi wa kiafrika. Hili tatizo sijui litaisha lini??!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutakapoamua kulimalizaTatizo ni uroho wa madaraka tu wa viongozi wa kiafrika. Hili tatizo sijui litaisha lini??!!
Shida hamna hata dalili mkuu za kufikia hayo maamuzi.
Ndio tatizo la kuvamia storyMkuu aliyepewa ulinzi wa polisi zaidi ya sita na magari mawili sio marehemu Musando
Moja ya pande mbili za siasa...Kuna swali litahitaji majibu ya kina Who is behind Musando's death [emoji88]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu ya rutto ilitengenezwa ili kujustify hili tukio mauaji ya musando,ionekane kuwa sio wao waliotenda sababu hata wao pia wamevamiwa,rejea umafia walioufanya kipindi cha kesi ICC mpaka kushinda kesi utagundua how ruthless our leaders are.kuvamiwa kwa Rutto ni kuonyesha hata kwa mtu yoyote wanaweza kuingia tu 'system at work'
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Dark continent
So sad! Tuwaombee majirani zetu Kenya wavuke salama Mtihani huo wa uchaguzi, maana hizo sio dalili nzuri kabisa!Pamoja na kwamba marehemu hana haki lakini damu ya mtu haiendi bure! Karma is bitch.... And this bush has a story to tell....!!!! [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
View attachment 555112
Chris Musando RIP kafa kifo cha mateso makubwa, Mtaalam mwandamizi wa mambo ya ICT kwenye tume ya uchaguzi Kenya
Ni mmojawapo wa watu wachache sana nchini Kenya aliyekuwa anajua servers za tume ya uchaguzi Kenya zilipo
Siku chache zilizopita aliteuliwa KUKAIMU nafasi nyeti ya usimamizi kitengo cha ICT kwenye tume ya uchaguzi Kenya, mtangulizi wake alilazimishwa kwenda likizo ya mwezi mmoja. Alikubali uteuzi lakini pengine uzalendo kwa nchi yake ulimfanya asikubaliane na matakwa ya kundi fulani (kundi la madaraka ya kulevya)
Alianza kupokea vitisho siku chache baada ya uteuzi, alichukua hatua stahiki kwa kuripoti kituo kikuu cha polisi na akapewa ulinzi maalum wa askari wasiopungua sita wenye silaha na magari mawili (chase cars)
Mara ya mwisho alionekana ijumaa jioni akitoka kazini na ujumbe waje wa mwisho (hausemwi) aliutuma usiku wa manane kuamkia jumamosi kwenda kwa rafiki yake! Mwili wake ulikuja kuokotwa nje ya jiji la Nairobi vichakani ukiwa na majeraha mgongoni kichwani usoni tumboni na mkono mmoja ukiwa umevunjwa kabisa... Dalili za kifo cha mateso sana...
Pamoja naye alikuwa na mwanamke ambaye hajatambulika(most likely alitumika kama chambo). Kwa maslahi ya wachache Chris ameacha mjane na yatima, amewaacha ndugu jamaa na marafiki, ameondoka na elimu na utaalam wake mkubwa, maisha yake yamekatishwa kwa ajili ya uroho wa wachache
Sikuwahi kukufahamu kabla lakini nimeumia....
Intelijensia ya kufuatilia wazalendo kisha kuwatesa na hatimaye kuwamaliza ni intelijensia ya hovyo kabisa.... JIRANI KACHEMKA MBAYA
View attachment 555120
Sent using Jamii Forums mobile app
Yote ni ili fulani akae madarakani.
Hii thread imefanya nikumbuke kuna mtu anaitwa Ben saa nane hajulikani alipo na maisha yanaendelea.
Unataka kuniambia Jamaa wa JUBELEE... wanahisi Sanduku la KURA halielekei upande wao wanaamua kutumia mbinu za medani ?Ishu ya rutto ilitengenezwa ili kujustify hili tukio mauaji ya musando,ionekane kuwa sio wao waliotenda sababu hata wao pia wamevamiwa,rejea umafia walioufanya kipindi cha kesi ICC mpaka kushinda kesi utagundua how ruthless our leaders are.
Usahihi wa habari;huo ulinzi mbona kama nimesikia jana ndo hao IBC staff's wanademand before walikuwa hawana anyway ndo maana wanasema politics is dirty game RIP