The answer is not far off, it is the key beneficiaries of the outcome of Kenya's general elections.Kuna swali litahitaji majibu ya kina Who is behind Musando's death [emoji88]
Sent using Jamii Forums mobile app
The answer is not far off, it is the key beneficiaries of the outcome of Kenya's general elections.Kuna swali litahitaji majibu ya kina Who is behind Musando's death [emoji88]
Sent using Jamii Forums mobile app
It is sad. Politicians think they can do anything and get away with it.Kuna swali litahitaji majibu ya kina Who is behind Musando's death [emoji88]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya wanaandaa vurugu za uchaguziIs this democracy? Killing innocent people
Gharama ya kutumikaHizi habari za kifo cha Msando,zilivyoanza kutoka hazikumtaja huyo binti aliekuwa nae.Lakini mara baada ya taarifa kuwa alionekana na huyo binti kwenye gari yake hiyo siku ya Ijumaa iliyopita.Ndipo baadae habari zikatoka kuwa na huyo binti nae ameuawa.Kuna kitu nyuma ya pazia,kama ukitafakari kwa kina.KWA NINI HABARI ZILIZOTOLEWA AWALI ZILIMTAJA MSANDO PEKE YAKE?MWENYEZI MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU,MAHALA PEMA PEPONI,AMINA!
Mohamed Ally, hii lazima aruke nayo...Yule mwanahabari za kiuchunguzi wa Kenya (Jicho Pevu) sijui kama ataifanyiakazi hii kitu maana yupo vizuri sana
Yuko vizuri yule jamaa.....wangemzngua toka zamani mbonaa
Sio aliyeturoga alokurogaAfrica aliyeturoga kafa kitambo
Anagombea ubunge, yupo kwenye kampeni !Yule mwanahabari za kiuchunguzi wa Kenya (Jicho Pevu) sijui kama ataifanyiakazi hii kitu maana yupo vizuri sana
Kuna swali litahitaji majibu ya kina Who is behind Musando's death [emoji88]
Sent using Jamii Forums mobile app
A similar question was asked when Tom Mboya died. Who was behind Tom Mboya's death?Kuna swali litahitaji majibu ya kina Who is behind Musando's death [emoji88]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila pia majigambo ya marehemu yalichangia kifo chake kwenye yale mahojiano yake na TV moja.... Hayakuwa majigambo mabaya bali ilikuwa kuwahakikishia wakenya kwamba mfumo alioujenga ni imara kiasi kwamba ili uweze kuhack ni lazima kiganja chake (kwa maana ya vidole) hii siri hakupaswa kuisema popote
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ila hapa yatawapata wengine kwakuwa hatujawa bado na tume huru ya uchaguzi
Lengo limetimia[emoji25] [emoji25] [emoji25] kiganja hakijapatikana