Madaraka ya kulevya na intelijensia ya kishenzi

Madaraka ya kulevya na intelijensia ya kishenzi

Kushika positions nyeti za nchi zinazolinda maslahi ya watu wachache kwenye hizi nchi zetu za kiafrica ni risk kubwa - ukienda tofauti nao tu wanakutoa roho tena kwa kifo cha mateso, na ndiyo maana wasomi wengi Nguli wa kiafrica wanaamua kufanya kazi nchi za wenzetu, Africa bado ni tatizo.

Kwa mfano Marehemu kwa uwezo wa elimu ya werevu wake angeweza kabisa kufanya kazi Kampuni hata ya Cisco ama Microsoft kule Marekani ila kwa uzalendo wake aliamua kubaki nchini mwake na kutumia uwezo wake aliyopewa na mwenyezi Mungu kwa maslahi ya wakenya wote.

Sasa hebu ona average ya maslahi ya wafanyakazi wa Cisco na Microsoft - na si maslahi tu bali unaishi kwa amani kuliko hapa Africa unaishi kama digidigi kisa umeshika nafasi nyeti ya ulaji wa watu. Sasa mtu akiamua kuitosa nchi yake na kufanya kazi kwa wenzetu anaonekana si mzalendo, mjali tumbo lake.


"Average salary of Cisco employees. The average salary of Cisco employees is$85,000 per year.The average bonus of Cisco is $10,000.

Microsoft ranked second for median starting salaries just behind Nvidia Corp, which led the ranking at $99,400.
 
Ebana Mkuu Mshana inahuzunisha Sana.
Hakika malipo ni hapa duniani.
Naamini hata wao watapata madhira na yatawaumiza kama yalivyomuumiza Cris Musando na familia yake kwa ujumla.

Halafu Mshana hii imeonyesha dunia jinsi wakenya wasivyo wastarabu, na wasio kua na utu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jirani kachemka vibaya sana.....
Screenshot_20170801-141512.png


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha ha ha! sicheki kwa wema! ila nitaendelea kusema kuwa "waafrika sisi ni matatizo" yale tunayohubiri kwenye kampeni kuwa ndo matatizo wala sio! Hayo ni matokeo ya matatizo yaliyo ndani yetu.. kama ndani yetu pakiwa safi basi hata nje yetu pia itakuwa.. nitaendelea kusema wazungu hawatuzarau kwasababu ya ngozi yetu bali ujinga wetu lkn ngozi ni pitio tu,ndio maana waonapo mwafrika fulani atafaa kwa matumizi yao humchukua!.

kwa haya yanayotokea hakukuwa na haja kwa mababu zetu kupigania uhuru wetu ambao leo hii tunautumia kama hivi!
kama tunahitaji kuomba msamaha basi wakwanza kbs kuwaomba msamaha ni hao waliotupigania uhuru wetu..

nitasikitishwa kama wauwaji hawatapatikana na kufanyiwa haki yao wkt mazingira ni mepesi kbs kuidentify nani aliemuuwa,kwanza kbs walitakiwa kujua hivyo vitisho vinatoka kwa nani.. hlf wkt anauliwa hao walinzi walikuwa wapi..? do you think hawajui chochote..? ha ha ha! rais wa nchi husika usipolisemea hili na kutia nguvu yako nitapata kigugumizi kwako na usalama wa nchi yako.
 
Back
Top Bottom