Madaraka ya Kulevya: Kundi la Weusi wamemuimba nani?

Hawa vijana wawe waangalifu sana hasa mbele ya wenye Dola.

Wasidhani kua wanao Uhuru wa kuimba chochote watakacho.

Not to that extent.
 
Hahaha mara eti Kibinda... Mara Kajala... Yan macharii wa chuga washakuwa Wazaramo..
Hili saga ukiliangalia kwa makini unaona aliyeki nyuma ya huu mchezo ni clouds.
Muhimu Makonda kagombana na Clouds tegemea kuona nyimbo nyingi za wasanii wakimdiss Makonda.
 
Kwa wimbo huu soon tutasikia mtu na ndugu yake wametengan...hapa kuna msomi na aliyeenda shule kusoma.
 
Sasa kama ney kaachiwa na kuitwa huko hata hawa jamaa waitwe na wao na wengine nao watunge mawe yao
 
Yuko wapi Roma naye aje na mawe yake?
 
Hii ni kutokana na jamaa hawa kutoa wimbo wao wa "madaraka ya kulevya" na umeonekana kukubaliwa sana na watu...nashauri kama vip watoe T-shirt zenye maneno hayo [HASHTAG]#Madaraka[/HASHTAG] ya Kulevya, kuna uwezekano mkubwa wakapata wateja sana katika kipindi hiki ambapo wimbo wao upo 'hotcake'...
.
Asante.
.
Nimewaza tu mchana huu baada ya kumaliza kula na kunywa juisi ya ukwaju hapa kwa mama Ashibaye gengeni...
 
"vitumbua vinanijua ni bingwa wa kutia mchanga"
Bashite ni bingwa wa kuharibu maisha ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…