Vita ya Madawa ya kulevya sio ndogo na mtandao wa madawa ya kulevya ni mpana sana. Makonda anapigwa Bungeni, anapigwa mitandaoni na anapigwa vijiweni kwa mapambano yake na madawa ya kulevya. Hii inaonesha ni jinsi gani huu mtandao ulivyopenya bungeni, na jinsi vijana wanavyolipwa kuwasafisha wahusika na biashara ya madawa ya kulevya mitandaoni kumshughulikia makonda, wengine wamepandikizwa vijiweni kumsakama makonda.
Ukiachana na akina Mange Kimambi, Yericko Nyerere na Malisa GJ waliopewa fedha haramu za madawa kuwasafisha wauzaji madawa mitandaoni kwa kumchafua makonda, binafsi nimeshangazwa sana jinsi Bunge letu tukufu linavyodhoofisha vita ya madawa ya kulevya nchini.
Siamin kama haya ndio maazimio ya bunge zima kwa mtu aliyeweka roho yake rehani ili kuwaokoa vijana wa taifa hili kwa kupambana na madawa ya kulevya nchini….
i) Makonda aitwe bungeni kuhojiwa na Kamati.
ii) Waziri wa TAMISEMI apeleke mwongozo kwa Ma RC na DC kuwa wasiuchezee mhimili wa Bunge.
iii) Mamlaka ya Uteuzi wa RC Dar na DC (yaani Rais Magufuli) zichukue uamuzi haraka kuwavua Madaraka.
iv) Wabunge wanaotuhumiwa wasikamatwe bila kufuata taratibu za bunge.
Mwingine aliyetajwa pia kuhojiwa na Bunge ni DC wa Arumeru - Mh Mnyeti
Mbunge kusimama bungeni na kumchafua mtu bila ushahidi wowote kisa huyo mtu anapambana na maslahi yako(madawa ya kulevya) nje ya bunge ni usaliti kwa taifa, tunajua wabunge wana kinga wa yale wanayoongea bungeni ila tumieni hiyo kinga kuokoa taifa na si kuliharibu taifa. Nilitarajia wangeitumia hiyo kinga kuwataja wafanyabiashara wa madawa ya kulevya, mafisadi, wala rushwa nk ila si kupambana na akina makonda..
Bado siamini kama Bunge letu tukufu limetumia muda wake wa zaid ya masaa 3 kumjadili mpambanaji wa madawa ya kulevya na kumuwekea vikwazo katika mapambano hayo yenye tija kubwa kwa taifa letu
# Bunge linalinda maslahi ya nani katika hili sakata la wafanyabiashara ya madawa ya kulevya????
[HASHTAG]#tanzaniabilamadawainawezekana[/HASHTAG]
[HASHTAG]#umojawetundioushindiwetu[/HASHTAG]