KERO Responded Madanguro Dar, Serikali za mitaa mnalipwa?

KERO Responded Madanguro Dar, Serikali za mitaa mnalipwa?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
ayo uliotaja machache
1.masaku mbagala
2.m/nyamala kwa mama zachaa
3.goba ngao
4.lubumbashi mbezi
5.Tegeta nyuki
6.boko basihaya
7.mwenge 5N
8.K/KOO PALACE
9.KIMARA MWISHO DARAJANI
10.magomeni mapipa
11.kawe ukwamani
12.Hyena stadium Manzese
Mh hiyo kimara mwisho sidhani kama ni kweli mkuu, au kuna chimbo karibu na darajani?
 
Madanguro yamekuwa kama biashara rasmi, Leo nitataja madanguro Jijini na kuwauliza mamlaka za Serikali za mitaa kama nao ni sehemu ya huu uchafu.

1. Tandika Sokoni,
2. Temeke Sudani,
3. Temeke Sokota (Sugar Ray),
4. Buguruni Sokoni,
5. Manzese Uwanja wa Fisi,
6. Manzese Mferejini,
7. Mwananyamala Hospitali,
8. Msasani Macho,
9. Temeke Kata 14,
10. Ubungo Riverside,
11. Temeke/Chang'ombe Usalama,
12. Sinza Mori, soccer city, Kitambaa cheupe,
13. Sinza Afrika Sana,
14. Manzese Tiptop (Lambo),
15. Buguruni Sewa bar,
16. Oysterbay- Elements,
17. Coco beach,
18. Ubungo Riverside,
19. Sinza Meeda,
20. Velvet (zamani Corner bar)

NB: Tukisema wenyeviti wa Serikali za mitaa na wajumbe mnapewa rushwa na Hawa makahaba tutakuwa tunakosea?

**Huduma hii inahusisha hadi watoto chini ya miaka 18 kwa gharama ya TSH 3,000 tu (chumba na zana).


====

Meya Songoro aongoza operesheni vunja madanguro, makahaba 24 wakamatwa. Danguro 150 zavunjwa Mwananyamala
Bora uhimize matumizi sahihi ya kondom kama kweli una uchungu na taifa lako
 
Back
Top Bottom