Madame B mwaka wa 3 sasa ujanipa jibu

Madame B mwaka wa 3 sasa ujanipa jibu

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
Ilikuwa miaka 3 iliyopita, nilipokutana na mrembo hapa JF aitwae madame B,alinichanganya sana mpaka nikaamua kujitosa na kurusha ndoano yangu, ambayo iliishia kuelea tu nakusubiri muelekeo wa mawimbi.

Bado nasubiri jibu ambalo uliniahidi ifikapo mwaka huu utanipa.

Kokote ulipo jua nasubiri jibu hilo kwa hali na mali
 
JF bana, unaweza kuta huyo anayejiita Madame ni bonge la njemba, we jipendekeze tu upigwe pipe
 
si uende pale mlipokutana ukamuulize akh, bando linakata alafu mada za kipuuzi
 
Endelea kusubiri tu, mvumilivu hula mbivu atakupa jibu mwaya
 
uliambiwa utajibiwa mwaka huu sio??,sasa tuko mwezi wa ngapi saizi?.endelea kusubiri mwaka bado mbichi!
 
Ulimtongozea hapa mbele ya kadamnasi? kukubali kushindwa ni sehemu ya ushindi !endelea kuneng'eneka!sijui mpaka upigwe na mwiko au umwagiwe maji ya ukoko!
 
Jibu ni kwamba Madame B ni Mke wangu.
Sasa, Endelea kumsumbua nikutoe upepo.
 
Jibu ni kwamba Madame B ni Mke wangu.
Sasa, Endelea kumsumbua nikutoe upepo.

ni hatari kama kupanda mlima everest bila mtungi wa oksejeni,hasira mbaya halafu mke wa mtu ni hatari kama bomu la nyuklia.
Mi kimya sitaki ushahidi hapo,huuuu haaa maaaaaster.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom