Yaani umeeudi umwcharuka than bwfore uwiiii. Saaa kama ndo ulikabishiwa familia si watakoma wenyewe?
King'asti sasa hivi unafanya nini? au utakuwa umempa mgongo shemeji amalize peke yake halafu wewe ndani ya jf
mwanamke nyonga full kuipeperusha, hivi hujanionea mtu anayeitwa sweetylady?
Saa hizi unatafuta mke? Atakuwa mahali anapeperusha nyonga, ngoja akimaliza atarudi.
sasa wewe dogo sisi tuliokuwezesha unatutoaje?
hongera sana, kumbe kura yangu haikupotea, lol!
Kuna vimwali huku.....Utahitaji????
Welcome back my wife to b madame B,naandaa safari ili twende zetu botswana tukapumzike wakati suala la vikao vya harusi likiendelea.
Kuna vimwali huku.....Utahitaji????
Mungu wangu!! Umemuitaje?? Unapenda kesi zisizo na dhamana wewe! Anakuja Ruttashobolwa