CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Ile seat yako ndani ya moyo wangu bado ipo,ebu rudi mpenzi bado nakupenda.Mie na Pacha wangu........... tutakutoa knock out
mie roho "kuniuma" ile mbaya...Ila ntafanya nini? Najuuuuta kukufahamu, huzuni hii na kushtakiwa kusingekuwepo.Bt naamini one day YES.
Hahahahahaha!
Nimecheka mpaka mpaka basi lol!
Ile seat yako ndani ya moyo wangu bado ipo,ebu rudi mpenzi bado nakupenda.
Mie sijui kupiga ngumu,hasira zangu zote huwa zinaisha pindi ntakapo kukabidhi ATM card yangu na kisha kukuta umechota vi 'M' kadhaa lol!
mie roho "kuniuma" ile mbaya...Ila ntafanya nini? Najuuuuta kukufahamu, huzuni hii na kushtakiwa kusingekuwepo.Bt naamini one day YES.
Dume langu dume langu,
Kila siku makelele,
Likitaka kuni do,
Lazima lipige makelele...----
Sos: njenje