MADAM SPEAKER: Rai...

MADAM SPEAKER: Rai...

Dhambi ni aibu mbele za Mungu lakini Haki huinua Taifa. Bila haki taifa haliwezi kuinuliwa ikiwa kuna dhambi za makusudi na Mungu hapendi kuona watu wanawanyanyasa watu kwa maslahi yao. Tutaendelea kuomba Mungu sio kiziwi atajibu kwa mapigo 10 ya wamisri.
 
Mmmmmmmmmh salma atakusikia mama yenu huyu ambae bado anaamini CCM ndio Nchi!!!
 
Nakumbuka kipindi cha sitta kuna siku aliachiwa bunge jioni moja hivi,yaani alikuwa anatoa majibu ya hovyo full ubabe nilipoona anapigiwa chapuo kuwa spika nilisikitika sana so personally sishangai kwa mwendo anaokwenda nao:crying:
 
Yani Angel huwa unakasirika kama mimi, huwa ananiudh sana huyu bi kidude anavyoliendesha bunge utadhan ni mwenyekit wa familia, hana lolote na atakiona 2015 atakapokuwa anarudisha kadi ya CCM kuja CDM na hatutampokea, akatafute mchumba kwanza.
 
Dada yangu AshaDii

Tatizo la CCM ni kwamba huwa wanatafuta majibu mepesi kwa maswali magumu. Kuhusu hiyo nafasi ya Spika, CCM was supposed kuteua mtu makini, mwenye uelewa wa kutosha na anayeweza ku-counter hoja za wapinzani kwa namna ambayo haiwezi kukiweka Chama au serikali au Spika mwenyewe kwenye matatizo. Ukiangalia jinsi Madam Speaker anavyoendesha Bunge, tayari watu washaanza kusema heri ya Job Ndugui. Sasa kama Spika anaweza kufunikwa na Job Ndugai, basi hilo ni boya kabisa.

Shida ninayoiona kwa watu wa CCM ni kwamba huwa hawapendi kuweka mtu ambaye anaweza kuwaambia ukweli, na once ukianza kwenda kinyume nao watakuchukia na kukusukia zengwe ili uondoke. Mawakili wanaoshinda kesi, sio kwamba mtuhumiwa anakuwa hana kosa, bali ni namna ambavyo wanaweza kujenga hoja ya kumtetea mteja mpaka akaonekana hajatenda kosa. Sasa ukiweka Wakili Boya huwezi kushinda kesi, maana badala ya kukutea anaweza kuishia kukuangamiza. Hicho ndicho kinachotokea Bungeni chini ya uongozi wa Makinda na sasa hata Boyo jingine (Job Ndugai) anaonekana ana afadhali zaidi.

Anyway, kama anafanya damage kwa CCM nadhani CC watakuwa wamejifunza, next time hawatakuja kurudia kuweka boya kwa visingizio ambavyo havina kichwa wala miguu, may be watakuwa makini. Kwa kifupi Strategists wa CCM wameishiwa, kila move wanayofanya ina backfire.

Ila hapo mwishoni uliposema, "hana hata chembe ya busara" imebidi nicheke tu ....
 
Last edited by a moderator:
Hivi hakuna kifungu inachozungumzia kutokuwa na imani na speaker?nadhani speaker aking'olewa itakuwa rahisi kung'oa wegine
 
Ukimya wa makinda kutangaza nia ya uspika hali akijua MH.SAMUEL SITA alishatangaza nia na ukigeugeu wake ni vitu ambayo mimi vinanishangaza kabisa. huyu mama anafikiri bunge ni kuendesha SACCOS. STUPID KABISA. YAANI UNAONGOZWA NA KIKWETE KWANINI UNAZUIA HOJA ZA UTETEZI WA WANYONGE. SASA WATU WMEJUA ALIGOMBEA NAFASI ILE ILI ANYONGE HAKI ZETU. NGUVU YA UMMA NA HASIRA WALIZO NAZO WANANCHI HAZITAMUACHA AOGELEE UKUBWA HIVIHIVI . LAZIMA LITAMPATA LA KUMPATA ANACHEZEA NCHI YETU . HIVI UKIWA SPIKA WA BUNGE KUNA WA KUMUOGOPA ZAIDI YA WANCHI NA MUNGU WAKO. ANNA S. MAKINDA KIKWTE NI MKUBWA MWENZIO SAWA NA JAJI MKUU NA RAIS . AFTERALL JK HAKUKUCHAGUA UNAMUOGOPEA NINI ACHA UPILATO HUTALIPWA BALI UTAPATILIZWA KWA UOVU ULIOUTENDA KTK KITI CHA ENZI.
It is a wonderful piece.... Salute to you Madam!

Madame Speaker is a "Disgrace" to CCM, to herself, to Women na wananchi in Particular.... Toka mwanzo alitaka afanye ile kazi kwa kuonesha/kujionesha kua anaweza na NOTHING can go wrong. Akasahau na hakutambua kua haya mambo as much as yategemea ushauri katika jopo lake la pembeni la washauri Muhimu zaidi ni relying on one's Intelligence, Insticts and honor. Angetenda haki kwa kufuata what is right and what na what is wrong.... badala yake matendo yake ni kua she always wants to prove kua anaweza/yeye ndie yeye/yupo strong (ambayo haelewi maana yake for Ubabe sio kua strong).

Kwa upande mwingine naona tusimlaumu saana.... Ukweli ni kwamba HAWEZI, HAFAI, wala hana the intelligence required for the job. Huwezi kukimbiza upepo... kama HUWEZI - HUWEZI tu! Na kwa kweli as sad as it is to say... katika wanawake ambao wanawakilisha mahala mbali mbali katika nafasi nyeti hapa nchini... Katuangusha na katutia aibu. Sio kwa wanawake tu bali na Wananchi kwa Ujumla... she is useless kwa kweli.... Sad.
 
Binadamu tupo wa aina nyingi. Hujaona mwanamke analea mimba miezi 9 halafu anatupa mtoto chooni, kwenye mfuko wa rambo; anazaa, analea, ikifika wiki, miezi, miaka anatupa mtoto?

Huyu Mama anaweza kuwa wa aina hiyo au kubwa zaidi, anaweza hata kuwa mchawi. Mchawi hutoa kikoa (mtu) wake kwanza. Huyu Mama amewatoa kikoa wanawake wenzake na Watanzania kwa jumla.

Mchawi..! yamekuwa haya .. ha ha haa, sred nyingine unabakia unacheka tu..
 
Mchawi..! yamekuwa haya .. ha ha haa, sred nyingine unabakia unacheka tu..
Usishangae sana. Uchawi si lazima huyu Mama yetu aruke na ungo au kiwafanya watu misukule. Uchawi ni pamoja na kukosa huruma, kutokuwa na haya na kusaliti kile chenye thamani. Tanzania imesalitiwa.
 
Dada yangu AshaDii

Tatizo la CCM ni kwamba huwa wanatafuta majibu mepesi kwa maswali magumu. Kuhusu hiyo nafasi ya Spika, CCM was supposed kuteua mtu makini, mwenye uelewa wa kutosha na anayeweza ku-counter hoja za wapinzani kwa namna ambayo haiwezi kukiweka Chama au serikali au Spika mwenyewe kwenye matatizo. Ukiangalia jinsi Madam Speaker anavyoendesha Bunge, tayari watu washaanza kusema heri ya Job Ndugui. Sasa kama Spika anaweza kufunikwa na Job Ndugai, basi hilo ni boya kabisa.

Shida ninayoiona kwa watu wa CCM ni kwamba huwa hawapendi kuweka mtu ambaye anaweza kuwaambia ukweli, na once ukianza kwenda kinyume nao watakuchukia na kukusukia zengwe ili uondoke. Mawakili wanaoshinda kesi, sio kwamba mtuhumiwa anakuwa hana kosa, bali ni namna ambavyo wanaweza kujenga hoja ya kumtetea mteja mpaka akaonekana hajatenda kosa. Sasa ukiweka Wakili Boya huwezi kushinda kesi, maana badala ya kukutea anaweza kuishia kukuangamiza. Hicho ndicho kinachotokea Bungeni chini ya uongozi wa Makinda na sasa hata Boyo jingine (Job Ndugai) anaonekana ana afadhali zaidi.

Anyway, kama anafanya damage kwa CCM nadhani CC watakuwa wamejifunza, next time hawatakuja kurudia kuweka boya kwa visingizio ambavyo havina kichwa wala miguu, may be watakuwa makini. Kwa kifupi Strategists wa CCM wameishiwa, kila move wanayofanya ina backfire.

Ila hapo mwishoni uliposema, "hana hata chembe ya busara" imebidi nicheke tu ....

Nakubaliana na wewe kwa uliosema hapa.... As much as umesema hilo ni tatizo.... Hio ni part tu ya mlolongo wa matatizi ya wana CCM, We can write a volume kwa matatizo walio nao.... Naomba tu niseme hapo in blue, IMO sio kwamba hawana strategies... They are really good at strategizing na ndio maana they have survived this much; Major prob ni mkanganyiko na mpasuko ulo pelekea groups within the party and subgroups.... Hivo whatever strategies ambazo mostly hua manipulative zina bounce kwa mtindo huo.

Hapo mwisho I am glad I made you laugh....lol. Hopefully a laughter in support of the comment....
 
Nice piece of work, nimeipenda kazi yako, nitakufuatilia katika threads zako, big up dada.
 
Acheni kumuonea wivu nyie ! Hivyo angekuwa mzazi wako ungesema hayo ? Wakati mwingine mue mnafikiria cha kusema. :mod:
 
Hata wewe ni mtoto wake ! Mtakuja kuwa kama Libya, wamemua gadafi sasa wanajutia. :A S 103:
 
Binadamu tupo wa aina nyingi. Hujaona mwanamke analea mimba miezi 9 halafu anatupa mtoto chooni, kwenye mfuko wa rambo; anazaa, analea, ikifika wiki, miezi, miaka anatupa mtoto?

Huyu Mama anaweza kuwa wa aina hiyo au kubwa zaidi, anaweza hata kuwa mchawi. Mchawi hutoa kikoa (mtu) wake kwanza. Huyu Mama amewatoa kikoa wanawake wenzake na Watanzania kwa jumla.

kama huyu mama aliyetelekeza mtoto kwenye mnazi...
ubize gani huu.jpg
 
Ya LEO kali zaidi

wakuu naona nchimbi katoa hoja ya kuhairisha bajeti na bunge limekubali. ni aibu kubwa kwa makinda kwani kakataa nini na sasa kakubali nini. ni aibu kubwa kwa magamba. wananchi wanaona kila kitu kinavyokwenda na serikali yao dhalimu inavyowafanyia.
 
Back
Top Bottom