Madam Speaker kapendeza!!

Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,143
3,196
MBIOZAUHURU1.JPG
Hehe, unaweza kudhani ni binti wa miaka 40 kumbe bibi!
 
JF sasa imeingiliwa .. hawa watu wanapost utumbo kama huu futa bana ondoa hivi vitu hapa barazani inakuwa kama FB
 
Chezea vingast weweeeeeeeeeeee wanajua kutunza /.....................
 
JF sasa imeingiliwa .. hawa watu wanapost utumbo kama huu futa bana ondoa hivi vitu hapa barazani inakuwa kama FB
Teh teh, ni sehemu tu ya kuappreciate uzuri wa kiongozi wetu mhimu wa nchi. Doesn't she look sweet? Why cant you say thanks God for this beautiful leader of the nation?
 
Bi Kiroboto ana kamvuto ka kiaina, tatizo mpangilio wa meno yake, akicheka inakuwa baraaaa!
Afanye mpango meno yapangwe vizuri, akitupia na ka-mwanya hivi aaaaah!
 
Back
Top Bottom