moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,944
Simpo madam
Nywele zimekatwa
No mekapu'
Kitenge cha kawaida'
Kuchamba kwa wingi.
Nywele zimekatwa
No mekapu'
Kitenge cha kawaida'
Kuchamba kwa wingi.
Wanyiramba nao ni shida sanaUongozi wa hivi Una walakini
Kwanza hiyo skafu..
Ni kujionesha mzalendo sana?Hizo ni dalili za usanii
Pili anaposema kuna watu wanataka atumbuliwe ina maana hajui sio kila anaekupinga anataka cheo chako?
Wengine wanakupinga sababu njia unazotumia sio sahihi..
Utakuja leta masihara usipo ambiwa.
Anataka atembelee nyota ya aliyekuwa RC wa Tabora, Aggrey Mwanri. Sasa yeye anakera haburudishi
🤣 🤣 🤣 duhDishi kimeelekea uelekeo tofauti hapaa
🤣🤣🤣Anataka atembelee nyota ya aliyekuwa RC wa Tabora, Aggrey Mwanri. Sasa yeye anakera haburudishi
Ni mzima. Ila kubali tu kwamba kuna watu hawataki maisha ya shobo (kujiona)Sidhani kama mzima kichwani aisee....
Im sorry
Huyu Mama kwangu mimi ni mtendaji bora zaidi awamu hii...
Mteuzi ndivyo anavyotakaSijui ana matatizo gani huyu. Akipunguza uweruweru wake mbona naona ni mtendaji mzuri tu