Hebu kuweni fair, yaani Vincent anarudishwa nyumbani na Salma (mpiga-gita)anabaki hata bila kuingizwa danger zone huku mama Rita anasema hakuna kama huyo na master J anakenua meno tu wakati taaluma inanyewa hivi hivi?
Sipendi kuamini kuwa kuna watu wameandalia ushindi siku nyingi lakini mkiendelea na upuuzi huu sisi wapiga kura tutaanza kuwapigia ninyi kura za kukosa imani nanyi. Angalia mlivyombeba yule Salma (mhindi) amewashinda kubeba mgongoni mwishoe mmeamua kumbwaga kwa uchungu sana. Huyo hakustahili hata kuingia BSS 21 bora, ni dada anaye temea mate tu kwenye kipanza sauti na sauti ya kuua ngoma za masikio ya watu.
As for Salama Jabir huwa hatumchukulii serious maana inategemea kaamkaje na nani kampa kaneno ka kumzuzua perfomer. Lakini kwa Master J (mtaalam wa muziki) na Madam Rita (Chief Judge) angalieni sana mnahatarisha biashara yenu, maana siku za usoni hakuna atakayetoa udhamini kwa kuwa na upendeleo wa wazi namna hii.
Sikilizeni, mimi simfahamu yeyote katika washiriki lakini nawashauri kuwa hivi nyote watatu kaeni mahala m-playback episode ya Jumapili 07/10 mumsimilize Vincent as compared to the others Wavulana kwa wasichana (mtaona Kijana ana sauti ya mvuto, kaimba vizuri, good choice of song with a lot of feelings, anatawala steji, anaimba mistari ya kutosha sio kama wengine wanaimba kidogo tu halafu kudance na kuchombeza viungo yaaa!! yeeee!! n.k. Yaani hata ingawa Wababa namkubali lakini kwa episode ya Jumapili alifunikwa na Vincent maana alikuwa na wimbo wa kubore na hakuna cha maana cha kumsifia kwa siku hiyo na ndivyo ilivyokuwa kwa wengine wachache ambao hakika walikuwa off tune na wamewekwa tu danger zote.
Msibweteke na jina la mtu au alifanya vipi mwanzoni, toeni comments za ukweli kufuatana na performance ya siku hiyo! dada mpiga gitaa anaweza kuwa musician kwa kuweza kuchalaza nyuzi lakini kwa sauti na hata kutamka maneno hawezi anaumauma maneno na anaimba sauti isiyo na mvuto tena yenye pitch ya chini sana kila siku na kujificha chini ya kivuli cha usanii. Naye mumsikilize yeye toka episode ya mwanzo mtaliona hili waziwazi na mtaona aibu kwa kumsimamia na kumsalute wakati ni mweupe.
The more you stand for professionalism, truth & fairness, the more we shall support this Epiq BSS-programme & Benchmark production Ltd.:A S embarassed:
Hebu kuweni fair, yaani
Vincent anarudishwa nyumbani na Salma (mpiga-gita)anabaki hata bila
kuingizwa danger zone huku mama Rita anasema hakuna kama huyo na master J
anakenua meno tu wakati taaluma inanyewa hivi hivi?
Sipendi kuamini kuwa kuna watu wameandalia ushindi siku nyingi lakini
mkiendelea na upuuzi huu sisi wapiga kura tutaanza kuwapigia ninyi kura
za kukosa imani nanyi. Angalia mlivyombeba yule Salma (mhindi)
amewashinda kubeba mgongoni mwishoe mmeamua kumbwaga kwa uchungu sana.
Huyo hakustahili hata kuingia BSS 21 bora, ni dada anaye temea mate tu
kwenye kipanza sauti na sauti ya kuua ngoma za masikio ya watu.
As for Salama Jabir huwa hatumchukulii serious maana inategemea kaamkaje
na nani kampa kaneno ka kumzuzua perfomer. Lakini kwa Master J (mtaalam
wa muziki) na Madam Rita (Chief Judge) angalieni sana mnahatarisha
biashara yenu, maana siku za usoni hakuna atakayetoa udhamini kwa kuwa
na upendeleo wa wazi namna hii.
Sikilizeni, mimi simfahamu yeyote katika washiriki lakini nawashauri
kuwa hivi nyote watatu kaeni mahala m-playback episode ya Jumapili 07/10
mumsimilize Vincent as compared to the others Wavulana kwa wasichana
(mtaona Kijana ana sauti ya mvuto, kaimba vizuri, good choice of song
with a lot of feelings, anatawala steji, anaimba mistari ya kutosha sio
kama wengine wanaimba kidogo tu halafu kudance na kuchombeza viungo
yaaa!! yeeee!! n.k. Yaani hata ingawa Wababa namkubali lakini kwa
episode ya Jumapili alifunikwa na Vincent maana alikuwa na wimbo wa
kubore na hakuna cha maana cha kumsifia kwa siku hiyo na ndivyo
ilivyokuwa kwa wengine wachache ambao hakika walikuwa off tune na
wamewekwa tu danger zote.
Msibweteke na jina la mtu au alifanya vipi mwanzoni, toeni comments za
ukweli kufuatana na performance ya siku hiyo! dada mpiga gitaa anaweza
kuwa musician kwa kuweza kuchalaza nyuzi lakini kwa sauti na hata
kutamka maneno hawezi anaumauma maneno na anaimba sauti isiyo na mvuto
tena yenye pitch ya chini sana kila siku na kujificha chini ya kivuli
cha usanii. Naye mumsikilize yeye toka episode ya mwanzo mtaliona hili
waziwazi na mtaona aibu kwa kumsimamia na kumsalute wakati ni mweupe.
The more you stand for professionalism, truth & fairness, the more
we shall support this Epiq BSS-programme & Benchmark production
Ltd.:A S embarassed:
BSS-Bongo Star Fake.
Sina la kuchangia kwa sababu vipindi vya kijinga kama hivyo huwa sina muda navyo sawa na kipindi cha mkasi.
Vicent hakustaili kutoka wamemuonea maana hata kwenye danger zone hakuepo kuna kale kavula keupe sijui kanaitwa nani mfupi ana pank alikua danger zone last time yule ndio alitakiwa atoke wamembeba itakua Madam anamtaka
uwe mkweli we ndiye unamtaka yule dogo now unamuonea wivu madam!!:eyebrows: