Acha kiherehere!! Madaktari wanajua wanachokifanya!! Wanajua chanzo cha mgogoro na pia wanajua adui yao ni nani. Usijiingize katika mambo usiyoyajua!!Mkuu unaweza kutuambia hivi Waziri na Naibu Wazari wa Afya na Ustawi wa Jamii wanazuia vipi meza ya mazungumzo. Je kwa yale majibu waliyowapa ambayo hamkuyapenda, ndio msimamo wa serikali toka juu kwa nini wawajibike wao ilihali serikali imewaagiza wafanye walivyofanya?.. Kwa nini wasiwepo mezani kujibu hoja zenu ikiwa litazungumzwa ama kuongezwa neno tofauti na walivyofanya ama walivyoelekezwa!. Siku zote mazungumzoa yanahitaji pande mbili husika hata maswala ya Iraq huyo Assad hushiriki iweje swala hili liwe la madaktari na waziri mkuu tu au mnashindwa kusema mbele yao.