Madaktari watakiwa kusimamia maamuzi ya 3/3/2012; - Uongozi wa Mgomo wa Madaktari

Mkuu unaweza kutuambia hivi Waziri na Naibu Wazari wa Afya na Ustawi wa Jamii wanazuia vipi meza ya mazungumzo. Je kwa yale majibu waliyowapa ambayo hamkuyapenda, ndio msimamo wa serikali toka juu kwa nini wawajibike wao ilihali serikali imewaagiza wafanye walivyofanya?.. Kwa nini wasiwepo mezani kujibu hoja zenu ikiwa litazungumzwa ama kuongezwa neno tofauti na walivyofanya ama walivyoelekezwa!. Siku zote mazungumzoa yanahitaji pande mbili husika hata maswala ya Iraq huyo Assad hushiriki iweje swala hili liwe la madaktari na waziri mkuu tu au mnashindwa kusema mbele yao.
Acha kiherehere!! Madaktari wanajua wanachokifanya!! Wanajua chanzo cha mgogoro na pia wanajua adui yao ni nani. Usijiingize katika mambo usiyoyajua!!
 
Na ndipo tunapotaka tuwafikishe! Tuliwaambia hii nchi haiwezi kutawalika, wakadhani tunatania. Ona sasa walivyonywea. Ari, Nguvu na Kasi zaidi ya JK vimeliwa na nini? Kasi na Viwango vya Samwel Sitta vimepotelea wapi??
Ewe TUMBIRI!!
 
[COLOR=#FF0000 said:
Acha kiherehere!! Madaktari wanajua wanachokifanya!! Wanajua chanzo cha mgogoro na pia wanajua adui yao ni nani. Usijiingize katika mambo usiyoyajua!!
[/COLOR]

Sio ugomvi Mkuu, mbona wote tupo kwenye harakati zilezile tu!!!
 
Atakayevumilia mpaka mwisho ndiye atakaye okoka! Zidisheni mshikamano govt inapo retaliate. Historia itawakumbuka pia.
 
Mkuu unaweza kutuambia hivi Waziri na Naibu Wazari wa Afya na Ustawi wa Jamii wanazuia vipi meza ya mazungumzo. Je kwa yale majibu waliyowapa ambayo hamkuyapenda, ndio msimamo wa serikali toka juu kwa nini wawajibike wao ilihali serikali imewaagiza wafanye walivyofanya?.. Kwa nini wasiwepo mezani kujibu hoja zenu ikiwa litazungumzwa ama
kuongezwa neno tofauti na walivyofanya ama walivyoelekezwa!. Siku zote mazungumzoa yanahitaji pande mbili husika hata maswala ya Iraq huyo Assad hushiriki iweje swala hili liwe la madaktari na waziri mkuu tu au mnashindwa kusema mbele yao.

Kulingana na maelezo ya mheshimiwa Pinda, hawa wamekaa muda mfupi sana hapo wizarani ( kamwaka tu), na hawayajui matatizo ya madaktari ambayo ni ya muda mrefu. Kwa kauli hii tu, achilia mbali kauli zao wenyewe zinazoonyesha mapungufu yao, inaonyesha kabisa hawa watu ni incompitent, na inawezekana wakachukua hata miaka kumi bila kugundua matatizo ya sector ya afya, sasa kuna faida gani ya wao kuwepo hapo?
 
Naunga mkono madaktari ninawatakia heri katika harakati zenu. Vitisho ni kawaida kwenye serikali za Madikteta. Kuwe wamoja mpaka mwisho huu ni ukombozi wa wengi na waajiriwa wengi wanaoteseka na kunyanyaswa na viongozi wadhalimu.
 
Mkuu unaweza kutuambia hivi Waziri na Naibu Wazari wa Afya na Ustawi wa Jamii wanazuia vipi meza ya mazungumzo. Je kwa yale majibu waliyowapa ambayo hamkuyapenda, ndio msimamo wa serikali toka juu kwa nini wawajibike wao ilihali serikali imewaagiza wafanye walivyofanya?.. Kwa nini wasiwepo mezani kujibu hoja zenu ikiwa litazungumzwa ama kuongezwa neno tofauti na walivyofanya ama walivyoelekezwa!. Siku zote mazungumzoa yanahitaji pande mbili husika hata maswala ya Iraq huyo Assad hushiriki iweje swala hili liwe la madaktari na waziri mkuu tu au mnashindwa kusema mbele yao.

Mwisho wa siku chochote kitakachokubaliwa kwenye majadiliano Waziri wa Afya na naibu wake ndio watakaotakiwa kusimamia utekelezaji.

Bahati mbaya hawa wanaotakiwa kujiuzulu ndio wamekuwa kikwazo cha utekelezaji wa suluhu zote za matatizo zilizotakiwa kutekelezwa katika kipindi kilichopita. Sasa hivi haiwezekani wawe ''wamezaliwa upya'' kuweza kutekeleza suluhu mpya itakayofikiwa sasa.

Hii ni sababu moja katika sababu nyingi za kutaka hawa watu wakae pembeni.

Iwapo walikuwa wanatumwa na wakubwa wao basi kwa uamuzi huu tuliochukua itapeleka ujumbe kwao na kwa aliyewatuma.

Enzi zile za vita za majambia askari wa adui walikuwa wanauawa wote kasoro mmja au wawili ambao walikuwa wanakatwa masikio au viungo vingine lakini walikuwa wanabakishiwa uwezo wa kutembea na kuzungumza ili wafikishe ujumbe kwa Jemadari wao kwamba wenzetu wote wameteketea kasoro sisi tu na hali zetu ndio hizi unavyotuona. Tumetumwa tulete ujumbe kwako kwamba usijaribu kupeleka chokochoko tena.

Nafikiri nimetoa majibu yanayotosheleza swali lako.
Asante kwa kunisoma...
 
Wewe ni Kenge, na sijui ni nini huelewi Bibi wewe

Mkuu unaweza kutuambia hivi Waziri na Naibu Wazari wa Afya na Ustawi wa Jamii wanazuia vipi meza ya mazungumzo. Je kwa yale majibu waliyowapa ambayo hamkuyapenda, ndio msimamo wa serikali toka juu kwa nini wawajibike wao ilihali serikali imewaagiza wafanye walivyofanya?.. Kwa nini wasiwepo mezani kujibu hoja zenu ikiwa litazungumzwa ama kuongezwa neno tofauti na walivyofanya ama walivyoelekezwa!. Siku zote mazungumzoa yanahitaji pande mbili husika hata maswala ya Iraq huyo Assad hushiriki iweje swala hili liwe la madaktari na waziri mkuu tu au mnashindwa kusema mbele yao.
 
TAARIFA YA TATHMINI YA MGOGORO WA MADAKTARI TOKA TAREHE 03.03.2012
Uongoziunapenda kutoa taarifa kwa madaktari wote nchi nzima kuwa hali ya ushirikiano na umoja miongoni mwetu imeendelea kuimarika sana, hospitali mbalimbali zimeendelea kushiriki katika kushinikiza madai yetu kutekelezwa ili madaktari waweze kutoa huduma za afya.
Ni muhimu ikafahamika kuwa mpaka sasa Serikali haijatoa jibu la msing...i juu ya utekelezaji wa hatua muhimu ya kuendelea na mazungumzo, na hilo ni juu ya Kuwajibika kwa Waziri na Naibu Wazari wa Afya na Ustawi wa Jamii kwa lengo la kupisha meza ya mazungumzo.
Pia tumepata taarifa kupitia vyanzo visivyo rasmi juu ya Mhe, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kukutana na kuzungumza na Wazee wa Dar es Salaam, hivyo basi tuna imani Mhe, Rais atatumia hekima na busara katika kumaliza mgogoro huu ambao umedumu kwa muda mrefu sasa.
Mwisho, tunapenda kutoa rai kwa madaktari wote kuendelea kusimamia maamuzi tuliyokubaliana tarehe tatu, kwa mabadiliko yoyote tutafanya sote kwenye kikao itakapobidi.

Imetolewa uongozi.
08.03.2012

kwani Serikali ya JK iliwahi kutekeleza lipi? wao kusema wanaweza kutenda hawawezi hilo watanzania lazima mulielewe.
 
You are kidding yourself.

Ministers and other many government official are elected or apointed by President.They are people with regular minimum qualifications and many of them dont even qualify to be the bosses of their own families.
As far as CCM Government is concern my Dog of Chihuahua breed can make a very Good Minister of Health or even hold a position of Mr Pinda.
The biggest Job you have once you are elected to hold a position in any Ministry of CCM Government is To Do Nothing.
Just do nothing you will be hailed by all CCM comrades that you are "Mwenzetu" " Unakubalika" and "Umejipanga"
Hiiiiii! Hiiiii!
Who can not hold a position in CCM Government if the most important job is to do Nothing??

Who?

Even Emptiness of Vacuum can be apponted to hold a very important position in CCM Government and still do wonderful jobs.



Drs hassle and spend many sleepless night for many years to acquire their skills,know how and experience.
They have special and rare skills, that is a bitter truth which we have admit, they somehow Hold Mpini.

You can be in Jamhuri or Congo street right now and whistle so that the first 2 things to turn will be appointed Misters in the health Ministry. I am assuring you that the things will go there and do a better job more than 2 crooks we have right now in the Ministry.
However,the same is not True for Drs.
We dont elect or appoint Dr, I will say like Kikwete said about Teachers, Drs are Manufactured in a special foundry. Hiiiii! Hiiiii!

Mponda and Nkya can resign and Go to Hell and Rot nothing bad will happen to the Ministry of Health or our society.

But we can not afford to let Drs go because it is more than Too expensive.

At the same time we can not allow CCM to turn our government to a PLAYBOY CLUB.




kuna mwananchi ameuliza kuna hasara gani mawaziri hawa wakijiuzulu?
kuna hasara gani madaktari wakigoma kurudi kazini?
 
Safi! Na ikishindikana hii mshinikize na waziri mkuu kujiuzulu! Nchi inakuwa kama familia yatima inayoongozwa na mtoto 12 yrs old! Hela kidogo badala ya kununua sembe waokote kuni na kuhemea mboga, wao wanaleta za kununua candies manake hakuna costs za kupika!
 
Ila inauma! Assume Mponda angekuwa Baba yako?.........Nkya mama yako?.....

Ningewa-disown kwa kutenda na kuendeleza upuuzi huu! kwanini wang'ang'anie madaraka ilhali hawakubaliki na kuendelea kusababisha maumivu kwa watanzania kwa ajili ya matumbo yao?
 
mkuu moja ya makubaliano kati ya madoctor na serikali ilikua ni kusimamishwa kazi kwa hao mawaziri ili kupisha meza ya mazungumzo, so serikali walitakiwa waplay their party and not fooling around. tatizo la serikali yetu ni viongozi utendaji wao kuishia midomoni and na siyo utendaji halisi.
 
Mimi naona hawa jamaa wangejiuzulu tu, Kwani kina Karamagi, Msabaha na Mzee wako wapi, Wajiuzulu tu halafu mukulu aje kusema ni AJARI YA KISIASA kwani kuna la Ajabu
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom