Madaktari waliomshambulia askari wajisalimishe - Kamanda Kova

nilitumia saikolojia kumsoma Kova alichokuwa akikiongea, kwa kweli Kova ameongea uongo na ni dhahiri kabisa yeye na maafisa wenzake wa polisi wanaujua ukweli halisi wa tukio.

mkasa uliompata Jerry Muro umenikumbusha ya kwamba kamanda Kova sio mtu muadilifu kwenye jeshi la polisi.
 
Hivi kwa nini Kova akiwa anatoa taarifa kwa waandishi wa habari, asiwe anaiandaa kwa maandishi? Maana naona akiongea freestyle anajichanganya tuu na kutufanya tumtilie mashaka zaidi kwenye usahihi wa anachokisema.
 
Ingefaa atoe tamko kuwa wajisalimishe kwanza wale waliomshambulia Uli, then hao madokta waliomzonga huyo kachero baadaye. Vinginevyo Kova angekaa kimya tu.
 
Dah!!!!!! kamanda kova bana, anaripoti kwamba dr uli alikuwa kafungwa kamba za mikono na miguu, wakamtupa porini then akaweza kujisogeza hadi barabarani, sawa lakini je, alijisogezaje wakati kafungwa miguu na mikono? alitambaa kijeshi kamanda?
 
Akili ndogo tu inatosha kukuambia ukweli kuhusu jambo hili la Dr. Ulimboka, nchi imemshinda baba wa house but I hope the eviction show is near around the angle.
 
mi nina imani sana na kamanda kovo, endelea kufanya kazi usipunguze molari na maneno ya watu, kazi ya ulinzi ni ngumu
 
I wish these pipo hate to be used (Kova & Mwema). Do not get used for their sake plz. Ni aje ni aje yani au ndo elimu ya hata haki zao kiutendaji hazijulikani. Ajira za ujomba bana tabu tupu.
 
Kova bana nae anakuwa kama ze comedy
tsup again ma uncle???
Vua gwanda uncle tukupe ukuu wa mkoa 2015
 
Back
Top Bottom