Kimbito nyama
Senior Member
- Apr 10, 2012
- 157
- 38
Hizo busara baada ya kwenda Ikulu? wameufyata, waziri yuleyule na naibu yuleyule. Si walijidai kumpa ultimatum Rais?
Cheza na dola wewe?
Wewe ni mmojawapo wazee wa DSM au ni kilaza tu wa kawaida kama hao mawaziri wako uliowataja? hao mawaziri unaowataja unajua wanamahusiano ya aina gani sasa na watumishi wa Afya? Dr. Chitage amesha eleza vyema kinachoendelea, wewe baki kupiga makofi diamond tu? hawa ni walewale wanaougua wanakufa kabla ya kufika kwa daktari! hata hivyo wewe ni mgonjwa.