Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

Kuna hii myth eti madaktari wanapigania kuboreshwa huduma za afya!

Hawana cha huduma za afya wala nini kwao muhimu ni pesa tu hata ikibidi watu wafe wao wapate pesa!

Huo ni mtazamo wako na mtazamo wa watanzania wengi ambao kwao huduma za afya sio muhimu, hata kama mkilazwa chini pamoja na watu wenye TB na magonjwa mengine ya kuambikiza kwa sababu hakuna vitanda vya kutosha ni bora tu... unaonyesha wewe ni mpenda pesa sana ndio maana hutakaa uweze kuelewa mtu mwingine anayediriki kugoma kazi ili hospitali zetu ziboreshwe...
 
Mie si dr. ila kiuhalisia hawa jamaa wanauwezo mzuri wa ku-analyse mambo,na pia wanauwezo mzuri kiakili,kwawale waliobahatika kusoma shele za mchepuo wa sayansi kwa kidato cha 5 na 6. utakumbuka watu hawa walikua maranyingi hawana makuu na walikua wakiwaza masomo tu. Pia wengi wao walifanya vizuri mpaka kuingia katika fani ya udaktari...kwani wahitimu wa kidato cha sita walikua wengi na nafasi zilikua chache...SO SI HAFIKIANI NA USEMI WAKUA SIASA INAWASUKUMA, HUU NI UDHAIFU WA MTU BINAFSI AMBAYE ANASHINDWA KUANGALIA HALI HALISI YA MWENENDO MZIMA WA SERIKALI KWA KUSHINDWA KUWEKA UWIANO SAWA WA MGAWANYO WA RASILIMALI YA NCHI HII ILIKILA MMOJA AJIONE ANAFAIDIKA NAYO....NA SIO WATU WACHACHE WALIOKO JUU AMBAO WAMETENGENEZA ELITE YAO NAKUZIBA MIANYA KWA WALIOWENGI...HII NCHI IMEKUA KAMA RUSSIA KABLA YA PUTIN,,,INAENDESHWA NA ,,,,TANZANIAN OLIGARCHY....WHO RULE BY BY IRON LAW OF OLIGARCHY
 
Nilishawahi kusema uwezo wetu wa kuyatafakari mambo una walakini mkubwa.Kuna propaganda za upotoshaji wa tz juu ya hatua hewa zinazochukuliwa na serikali juu ya uborshaji wa huduma za afya.Nakumbuka madoc walipotoa nia yao ya kugoma serikali haikusema lolote ni nini walichokitekeleza kwenye makubaliano.Aidha PM alisema madai yao yameshaanza kutekelezwa na muda mfupi baadae madaktari wakasema PM ni mwongo,cha ajabu PM akakaa kimya kama hajasikia kitu.
Hivi alisema(hata kama kaomba msamaha) litakalokuwa na liwe ina maana madaktari wakiendelea kugoma Wtz tuendelee kufa kwa sababu ya pinda,huyu ni pm wa nanmna gani!!!!!!! anatusaidia nini!!!!!!!!tutamkumbuka kwa lipi!!!!!!!!!!!!Watz tuansubiri nini kuandamana kuwa hatumtaki huyu pm,,,,tumechoshawa naye,,,,,simpigii debe nishawahi kuwasikia watu wakinongona kuna siku tutamkumbuka lowasa edwardi.
 
Hao madaktari wahukumiwe kifo kwa kila mgonjwa atae kufa kuanzia amri ya mahakama ya kuwata warudi kazini ilipotolewa.
We zomba kichwa kama ncha ya kinyesi, takataka gani hizi unaandika
 
Hao madaktari wahukumiwe kifo kwa kila mgonjwa atae kufa kuanzia amri ya mahakama ya kuwata warudi kazini ilipotolewa.

na Baba ako aukumiwe kifo ujui kuwa watoto wa Dr tunashindia mchicha
 
Dah..Get well soon Dr..can't imagine what you went through but ishallaah mwenyezi mungu atakuponya na tutakusaidia kuwaumbua vizuri
 
speacilists at MNH -TOTAL TOOLS DOWN,Watamtibu mgonjwa mmoja tu-jemedari ulimboka stephen.

watamlaza kitanda cha serikali au chake binafsi, watamtibu kwa dawa zilizoagizwa na serikali au za binafsi, the same goes for tools and knowledge.............jeeez, ukifikiria sana serikali haikimbiliki.....teh teh teh....lets say wewe uliyepost hii kitu, unatoka hapo ulipo, ghafla unapata ajali, ama stroke, ama bila kujua, unaangukiwa na kitu kinakuvunja mkono, unapelekwa hospitali, afu unaambiwa maneno uliyoyaweka hapo juu, unadhani masikhara, unakaa siku ya kwanza, then wiki, then mwezi, bila kuhudumiwa, will you still support this move??ok, tuseme u r too smart and too careful kupata ajali, wat abt your mom, dad,bro, sister, relative, close friend??............UNADHANI IKITOKEA, UTAENDA KWA DAKTARI UKAMWAMBIA UNASUPPORT MOVE YAO, WEWE NI MWENZAO, HIVYO WAKUSAIDIE, NA WATAKUELEWA???
 
Kuna hii myth eti madaktari wanapigania kuboreshwa huduma za afya!

Hawana cha huduma za afya wala nini kwao muhimu ni pesa tu hata ikibidi watu wafe wao wapate pesa!
Acha wapiganie chao uwezo wanao, wewe unaonekana teacher, acha wanaume wapigane.
 
watamlaza kitanda cha serikali au chake binafsi, watamtibu kwa dawa zilizoagizwa na serikali au za binafsi, the same goes for tools and knowledge.............jeeez, ukifikiria sana serikali haikimbiliki.....teh teh teh....lets say wewe uliyepost hii kitu, unatoka hapo ulipo, ghafla unapata ajali, ama stroke, ama bila kujua, unaangukiwa na kitu kinakuvunja mkono, unapelekwa hospitali, afu unaambiwa maneno uliyoyaweka hapo juu, unadhani masikhara, unakaa siku ya kwanza, then wiki, then mwezi, bila kuhudumiwa, will you still support this move??ok, tuseme u r too smart and too careful kupata ajali, wat abt your mom, dad,bro, sister, relative, close friend??............UNADHANI IKITOKEA, UTAENDA KWA DAKTARI UKAMWAMBIA UNASUPPORT MOVE YAO, WEWE NI MWENZAO, HIVYO WAKUSAIDIE, NA WATAKUELEWA???
Umeongea mengi, kwa taarifa yako, responsibility ya kujua afya za wananchi ziko vizuri ni ya serikali, madaktari ni mawakala tu, msiwalizimishe kufanya kazi, serikali itafute alternative, wakiamua wanaacha kazi wote mtawalizimisha kufanya? Blame ur weak president and its government, doctors are right and will continue being so!!!
 
Meningitis,ni habari ya kweli?maana mgomo wa madaktari sio kitu cha mzaha,na hapa ulipofikia kiasi cha kuteka mtu na kumpiga,kumfanyia unyama wa kila aina, eti tu kwa sababu mnapingana kimtizamo katika kuboresha huduma za afya,katika kuleta mapindizu ktk sector ya afya,mapinduzi yenye tija kwa wananchi,hasa walio na kipato cha chini na kati,leo hii watu wanadiriki kufanya hayo,ni mambo yasiyokubalika hata kidogo,nayalaani sana matendo haya ya kinyama.

Sasa hii habarai kama ni ya kweli kwangu mimi ni habari njema sana,tena sana,naomba hata wauuguzi na manesi waeweke tool down nawenyewe ili bunduki na ufisadi wao ukatibu watu hospitalini.uongo wa serikali,propaganda na maovu yote tumechoka,na ndio maana nasema taarifa hii iwe ya kweli.

Hiyo habari ya kweli kabisa. Ukitaka kujua ukweli tembelea mwenyewe Muhimbili utaona. Ila wakikuhisi wewe ni polisi umekwisha
 
"Liwalo na liwe" na "Dhaifu" itabidi wavae kanzu nyeupe ili wakatibu watz......vinginevo wajiuzulu mara moja
 
Hakuna diplomasi njema kama kuwa wa kweli na wenu uwazi, tutazame ni nani anawachochea hawa madaktari kugoma hata baadaya kutimiziwa masharti yao mengi? Jee, Ulimboka ni kibaraka wa watu fulani, kama ndio, kwanini asiuliwe kwa kuwa kibaraka? ikiwa vibaka tu tunawaua huyu kibaraka anaepelekea wagonjwa wetu kuendelea kuteseka kwanini asiuliwe? yeye na wenzake wanaomtumia kwa kuwa anapewa na kaahidiwa kuwa atalipwa?
Naomba utaje madai yaliyotekelezwa na hiyo serikali ukiachilia mbali lile la kuongeza posho ya uchunguzi wa maiti ambayo haikuombwa.......hujui inaonyesha serikali inafurahia wewe ukifa kuliko kuwa hai. Jiulize kwanini wamefanya hili?
 
Inashangaza sn kuona mtu analaumu huo mgomo wa madaktari na ht kushangilia kitendo alichofanyiwa kiongozi wao, ikiwa unajua nn maana ya kiongozi basi sioni sababu ya watu kushangilia kitendo hcho eti kwa kigezo ya kwamba ndugu zetu wanakufa mahospitalini mi nadhani wote kwa pamoja tungeishinikiza serikali iweze kutatua huo mgogoro kwa kutekeleza madai ya hao madaktari kwani ni ya msingi tena sn na huo uwezo wanao na waache kukata matawi wakati mzizi wa mgogoro ni serikali, tunajifunza kukiwa na tatizo basi tafuta mzizi wa hlo tatizo ili uung'oe na sikulalamika tu, jaman shule hamjaenda ht akili ya kujua mambo yanayokuzunguka pia huna? Tupo pamoja madaktari bingwa kwan hyo ni fani mliyosomea na ht cku moja msiruhusu watu wawadharau na kuwakandamiza maana km kukesha na kuumwa mbu pamoja na purukushan za mitihan mlipata tena sn na niwakati wenu wa kuweza kuyafanyia kazi yale yote mliyoyapigania kipindi mnasoma mkiwa katika mazingira bora ya kazi na vifaa vya kutosha ili msidumaze taaluma yenu
 
Kuna hii myth eti madaktari wanapigania kuboreshwa huduma za afya!

Hawana cha huduma za afya wala nini kwao muhimu ni pesa tu hata ikibidi watu wafe wao wapate pesa!
Naona umekuwa mgumu kukubaliana na hali halisi. Vipi kwa wabunge na mawaziri wanaolipwa mishahara mikubwa bire na hili ambalo madaktari wanaomba kwa ajili ya manufaa ya mimi na wewe,,,,kwa nini tuende tukatibiwe India na sio Muhimbili? Anachopigania Ulimboka ni kwa manufaa ya mwananchi wa hali ya chini..tunahitaji huduma bora mahospitalini...Jamani tujaribu kuacha ushabiki usiojenga kwenye mambo muhimu kwa ajili ya taifa letu
 
wewe kweli maundumula hivi unajua hata dai moja la madaktari au ulikuwa umelala umekuta ma great thinker wana jadili ukaona nawewe japo uonekane umechangia hivi ulisha wahi kwenda kutibiwa kwenye hizo hospitali ambazo madaktari wana goma?ulisha wahi kupewa panadol dawa zingine ukaambiwa nenda kanunue huko mbele ya safari? ulisha wahikuandikiwa vipimo vya x-ray halafu kufika chumba cha x-ray unaambiwa mishine iliharibika siku nyingi hata wao wamesha sahau nilini na hawajui itatengenezwa lini? ulisha wahi kulala kitanda kimoja wagonjwa wanne?au unaongea tu kwakuwa una uhuru wa kuongea majitu mapotosha ji kama nyinyi nita waomba moods wawe wanatoa thread zenu umenichefua sana mwanangu kama vipi kaa kimya sio lazima kuchangia......
Kuna hii myth eti madaktari wanapigania kuboreshwa huduma za afya!

Hawana cha huduma za afya wala nini kwao muhimu ni pesa tu hata ikibidi watu wafe wao wapate pesa!
 
Kama unajua mgomo unawagusa watu wachini, hao watu wachini inabidi ndio waishinikize serikali ili iwapatie uduma za afya.Big up specialist
 
Back
Top Bottom