Madakatari wa Tanzania ni wauaji wakubwa!

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
27,198
Reaction score
27,822
Juzi kati nilikuwa naumwa nikaenda hospitali moja kubwa tu ya serikali. Nilikutana na daktari mmoja mwanamke, anayeonekana kabisa kwamba hajiamini na kazi yake na wala hajui alifanyalo. Niligundua kwamba hajiamini ama kwa sababu hana maarifa ya kutosha au ni kanjanja (divisheni 5!). Baada ya vipimo, daktari huyu aliniandikia dawa na kunielekeza niende nikaichukue pharmacy.

Nilipofika pharmacy, mfamasia akashindwa anipe dawa gani kwani kwenye maelekezo dr hakuandika kama ni dawa niliyopaswa kupewa ni sindano au ya vidonge. Ilinibidi nirudi kwa daktari kumuomba aandike upya ila nilikuta tayari ameishaondoka kwani muda wa kazi ulikuwa umekwisha. Basi, ikanibidi nirudi tena kwa mfamasia tushauriane cha kufanya. Mfamasia akasisitiza kwamba hawezi kunipa dawa bila kujua kama ni ya vidonge au sindano. Nikamuuliza tufanyeje. Akaninishauri niende jengo la pili nimtafute daktari yeyote nitakayemkuta nimuombe anisadie kutatua tatizo hilo. Ikanibidi nifanye kama nilivyoelekezwa.

Kwenye hilo jengo la pili sikubahatika kukutana na daktari yeyote ila nilibahatika kukutana na nurse mzoefu ambaye aliniambia kwamba dawa ile kwa kawaida hutolewa kama sindano. Niliporudi kwa mfamasia nikamwambia nimekutana na dakari amesema dawa inayotakiwa ni ya sindano (ili kupunguza mlolongo wa kupata dawa maana siku yenyewe ilikuwa Ijumaanisingepata dawa ingebidi nikae hadi Jumatatu!). Mfamasia akanipa dawa yangu nikasepa.

Kabla ya kutumia ile dawa ilinibidi kwanza nihakikishe kwamba najiridhisha kuhusu matumizi yake pamoja na madhara yanayoambatana na utumiaji wa dawa ile, kitu ambacho sikugusiwa kabisa na yule dakatari wangu. Dawa niliyopewa ina madhara makubwa yanayoambatana na matumizi yake kama inavyoonyesha hapa:

Dexamethasone
Generic Name: dexamethasone (oral) (dex a METH a sone)
Brand Name: Baycadron, Dexamethasone Intensol, DexPak 10 Day Taperpak, DexPak 13 DayTaperpak, DexPak 6 DayTaperpak, Dexpak Jr. Taperpak, Zema Pak 10-Day, Zema Pak 13-Day, Zema Pak 6-Day
What is dexamethasone?
Dexamethasone is a corticosteroid that prevents the release of substances in the body that cause inflammation.
Dexamethasone is used to treat many different inflammatory conditions such as allergic disorders, skin conditions, ulcerative colitis, arthritis, lupus, psoriasis, or breathing disorders.
Dexamethasone may also be used for purposes not listed in this medication guide.
Important information about dexamethasone
You should not use this medication if you are allergic to dexamethasone, or if you have a fungal infection anywhere in your body.
Before taking dexamethasone, tell your doctor about all of your medical conditions, and about all other medicines you are using. There are many other diseases that can be affected by steroid use, and many other medicines that can interact with steroids.
Your dexamethasone dosage may change if you have any unusual stress such as a serious illness, fever or infection, or if you have surgery or a medical emergency. Tell your doctor about any such situation that affects you during treatment.
Dexamethasone can weaken your immune system, making it easier for you to get an infection or worsening an infection you already have or have recently had. Tell your doctor about any illness or infection you have had within the past several weeks.
Avoid being near people who are sick or have infections. Call your doctor for preventive treatment if you are exposed to chicken pox or measles. These conditions can be serious or even fatal in people who are using steroid medication.
Do not receive a "live" vaccine while you are taking dexamethasone. Vaccines may not work as well while you are taking a steroid.
Do not stop using dexamethasone suddenly, or you could have unpleasant withdrawal symptoms. Talk to your doctor about how to avoid withdrawal symptoms when stopping the medication.
Wear a medical alert tag or carry an ID card stating that you take dexamethasone. Any medical care provider who treats you should know that you are using a steroid.
Before taking dexamethasone

Dexamethasone can weaken your immune system, making it easier for you to get an infection. Steroids can also worsen an infection you already have, or reactivate an infection you recently had. Before taking dexamethasone, tell your doctor about any illness or infection you have had within the past several weeks.
To make sure you can safely take dexamethasone, tell your doctor if you have any of these other conditions:
liver disease (such as cirrhosis);
kidney disease;
a thyroid disorder;
diabetes;
a history of malaria;
tuberculosis;
osteoporosis;
a muscle disorder such as myasthenia gravis;
glaucoma or cataracts;
herpes infection of the eyes;
stomach ulcers, ulcerative colitis, or diverticulitis;
depression or mental illness;
congestive heart failure; or
high blood pressure
Tell your doctor if you are pregnant or plan to become pregnant while using this medication.
Dexamethasone can pass into breast milk and may harm a nursing baby. Do not use this medication without telling your doctor if you are breast-feeding a baby.
Dexamethasone can affect growth in children. Talk with your doctor if you think your child is not growing at a normal rate while using this medication.
How should I take dexamethasone?
Take dexamethasone exactly as prescribed by your doctor. Do not take in larger or smaller amounts or for longer than recommended. Follow the directions on your prescription label.
Your doctor may occasionally change your dose to make sure you get the best results.
Your steroid medication needs may change if you have unusual stress such as a serious illness, fever or infection, or if you have surgery or a medical emergency. Tell your doctor about any such situation that affects you.
This medication can cause unusual results with certain medical tests. Tell any doctor who treats you that you are using dexamethasone.
Do not stop using dexamethasone suddenly, or you could have unpleasant withdrawal symptoms. Talk to your doctor about how to avoid withdrawal symptoms when stopping the medication.
Wear a medical alert tag or carry an ID card stating that you take dexamethasone. Any medical care provider who treats you should know that you are using steroid medication.
Store at room temperature away from moisture and heat.
What happens if I miss a dose?
Call your doctor for instructions if you miss a dose of dexamethasone.
Long-term use of high steroid doses can lead to symptoms such as thinning skin, easy bruising, changes in the shape or location of body fat (especially in your face, neck, back, and waist), increased acne or facial hair, menstrual problems, impotence, or loss of interest in sex.
What should I avoid while taking dexamethasone?
Avoid being near people who are sick or have infections. Call your doctor for preventive treatment if you are exposed to chicken pox or measles. These conditions can be serious or even fatal in people who are using steroid medication such as dexamethasone.
Do not receive a "live" vaccine while using dexamethasone. The vaccine may not work as well during this time, and may not fully protect you from disease. Live vaccines include measles, mumps, rubella (MMR), oral polio, rotavirus, typhoid, varicella (chickenpox), H1N1 influenza, and nasal flu vaccine.
Avoid drinking alcohol while you are taking dexamethasone.
Dexamethasone side effects
Get emergency medical help if you have any of these signs of an allergic reaction to dexamethasone: hives; difficulty breathing; swelling of your face, lips, tongue, or throat.
Call your doctor at once if you have a serious side effect such as:
problems with your vision;
swelling, rapid weight gain, feeling short of breath;
severe depression, unusual thoughts or behavior, seizure (convulsions);
bloody or tarry stools, coughing up blood;
pancreatitis (severe pain in your upper stomach spreading to your back, nausea and vomiting, fast heart rate);
low potassium (confusion, uneven heart rate, extreme thirst, increased urination, leg discomfort, muscle weakness or limp feeling); or
dangerously high blood pressure (severe headache, blurred vision, buzzing in your ears, anxiety, confusion, chest pain, shortness of breath, uneven heartbeats, seizure).
Less serious dexamethasone side effects may include:
sleep problems (insomnia), mood changes;
acne, dry skin, thinning skin, bruising or discoloration;
slow wound healing;
increased sweating;
headache, dizziness, spinning sensation;
nausea, stomach pain, bloating;
muscle weakness; or
changes in the shape or location of body fat (especially in your arms, legs, face, neck, breasts, and waist).
This is not a complete list of side effects and others may occur. Call your doctor for medical advice about side effects. You may report side effects to FDA at 1-800-FDA-1088.
What other drugs will affect dexamethasone?
Many drugs can interact with dexamethasone. Below is just a partial list. Tell your doctor if you are using:
aspirin (taken on a daily basis or at high doses);
a diuretic (water pill);
a blood thinner such as warfarin (Coumadin);
cyclosporine (Gengraf, Neoral, Sandimmune);
insulin or diabetes medications you take by mouth;
ketoconazole (Nizoral);
rifampin (Rifadin, Rifater, Rifamate, Rimactane); or
seizure medications such as phenytoin (Dilantin) or phenobarbital (Luminal, Solfoton).
This list is not complete and other drugs may interact with dexamethasone. Tell your doctor about all medications you use. This includes prescription, over-the-counter, vitamin, and herbal products. Do not start a new medication without telling your doctor.

Hapa ndipo nilipokuja kugundua kuwa kumbe sio tu kwamba watu wanakufa kwa kukosa matibabu ila wengi wao hufa kwa kukosa maelekezo sahihi ya dawa kutoka kwa madaktari uchwara, hasa kwenye hospitali na zahanati za serikali. Hebu tazama hiyo orodha ndefu ya madhara ya pembezoni ya dawa hii, halafu imagine daktari anampa mgonjwa dawa kama pipi bila kumpa taarifa kama hizo! Hivyo, basi madakatri wengi wa hospitali za umma ni wauaji wakubwa!
 
Kaka umetibiwa na madaktari wangapi Tanzania? Kaka kila dawa iliyopo duniani ina madhara, labda iwe food suppliment tu. Kuna madhara mazuri na mabaya. Mfano Viagra ilikuwa inatumika kutibu pressure ya mapafu, na athari zake ni kutanua mishipa ya penis na kuacha damu ijazane kule na hapo wapata penile erection. Ni muhimu kwa daktari na mfamasia kukwambia madhara ya dawa lakini si kila mgonjwa utakesha naye umsomee gazeti kama hilo ulilo paste. Kuna vingine vitamtisha mgonjwa japo chance yake ya kutokea ni nil, lakini matisho yakasababisha dawa isitumike. Unajua balance ya risk vs benefit?
Pia madhara yaliyoorodheshwa si lazima yakupate. Unakuta labda yanatokea kwa watu watatu katika elfu moja. Hii ni profession bwana. Si rahisi kama uonavyo. Ni sawa na civil engineer akitoa ratio ya mchanga na cement au millimetres za nondo za kutumia. Usikurupuke kulaumu au ku generalize.
 
  • Hapa hii tittle yapaswa kufanyiwa editing "Madakatari wa Tanzania ni wauaji wakubwa!"
 
eh... pole nenda kamshitaki katika baraza la madaktari
 
Unaposema ni wauwaji hiyo ni hukumu kubwa mno sikatai madaktari wazembe wapo lakini nijuavyo mie daktari anatakiwa kutibu wagonjwa kadhaa kwa siku bt madaktari wetu wanatibu mara tatu ya idadi wanayotakiwa so kila mgonjwa anayeingia apewe maelezo ya dawa inavotakiwa huyu docta atafeint. Wapunguziwe majukumu hasa idadi ya wagonjwa au wawepo wakutosha ili waweze kufanya kazi yao ipasavyo.
Na kila dawa ina advantage na disadvantage but huwezi kuziapply kwa kila mtu.kuna general questions ambayo mgojwa yeyote ataulizwa kwa matumizi ya dawa yeyote but kama dawa husika ina tatizo fulani ambalo ni kubwa then ni obvious atakuambia.ila stil ni ngumu kumuuliza mgonjwa kma ana matatizo yote hayo au allegies ambazo wabongo hatuna tabia ya kucheck

Muhimu kama hukuridhishwa na doctor wa mwanzo ni bora kutafuta dr mwingine au kwenda hosp nyingine kuliko kulazimisha kutumia dawa ambayo tayari huna imani nayo wala dr aliyekupa humuamini
 
Ozie umemjibu tpaul vizuri ila mimi bado nipo upande wake, at least Dr. angepata ABC kuhusu mgonjwa kama vile allerg, etc. Ozie na wengine mtakaomjibu huyu mtoa mada ninawasihi tujadili kwa amani na kushauri madaktari wetu kwa hekima - ingawa siyo kila Dr. ni kilaza ila wengi wa Madaktari hapa Tz wanakula simbi, wameiba paper za NECTA na wengi wao tumesoma nao tulikuwa tukinunua paper za NECTA so hapa hakuna ubishi kuwa baadhi yao ni vilaza tu kama sisi maafisa magereza. mfano hapa MOI kuna mtoto wa dada yangu kafariki juzi baada ya kupewa dose kubwa ya nusu kaputi hapa kumbe alikuwa na alerg na hiyo dawa. huu ulikuwa uzembe wa daktari kutotuuliza kama mtoto wetu ana alerg au la. angekuwa mjukuu Kikwete wangefanya hivyo? namalizia kwa kusema kuwa baadhi ya Dr. WANAJISKIA SANA KUWA WAO HAWAHITAJI KUULIZWA AU KUSHAURIWA.....WANA LAANA. AFADHALI WANGEKUWA ASKARI POLISI. NDO MAANA WENYE HELA ZAO HAWANA TIME NANYINYI WANAENDA ZAO INDIA, UK, SA. nk! VILAZA WAKUBWA MTAKUFA KWA LAANA!!!
 
Umejieleza vizuri tumekuelewa vema ila tatizo 'umegeneralize tatizo' sio madaktari wote ni wabaya wapo ambao ni makini na taaluma zao.
 
Juzi kati nilikuwa naumwa nikaenda hospitali moja kubwa tu ya serikali. Nilikutana na daktari mmoja mwanamke, anayeonekana kabisa kwamba hajiamini na kazi yake na wala hajui alifanyalo. Niligundua kwamba hajiamini ama kwa sababu hana maarifa ya kutosha au ni kanjanja (divisheni 5!). Baada ya vipimo, daktari huyu aliniandikia dawa na kunielekeza niende nikaichukue pharmacy.

Nilipofika pharmacy, mfamasia akashindwa anipe dawa gani kwani kwenye maelekezo dr hakuandika kama ni dawa niliyopaswa kupewa ni sindano au ya vidonge. Ilinibidi nirudi kwa daktari kumuomba aandike upya ila nilikuta tayari ameishaondoka kwani muda wa kazi ulikuwa umekwisha. Basi, ikanibidi nirudi tena kwa mfamasia tushauriane cha kufanya. Mfamasia akasisitiza kwamba hawezi kunipa dawa bila kujua kama ni ya vidonge au sindano. Nikamuuliza tufanyeje. Akaninishauri niende jengo la pili nimtafute daktari yeyote nitakayemkuta nimuombe anisadie kutatua tatizo hilo. Ikanibidi nifanye kama nilivyoelekezwa.

Kwenye hilo jengo la pili sikubahatika kukutana na daktari yeyote ili nilibahatika kukutana na nurse mzoefu ambaye aliniambia kwamba dawa ile kwa kawaida hutolewa kama sindano. Niliporudi kwa mfamasia nikamwambia nimekutana na ‘dakari’ amesema dawa inayotakiwa ni ya sindano (ili kupunguza mlolongo wa kupata dawa maana siku yenyewe ilikuwa Ijumaa—nisingepata dawa ingebidi nikae hadi Jumatatu!). Mfamasia akanipa dawa yangu nikasepa.

Kabla ya kumeza ile dawa ilinibidi kwanza nihakikishe kwamba najiridhisha kuhusu matumizi yake pamoja na madhara yanayoambatana na utumiaji wa dawa ile, kitu ambacho sikugusiwa kabisa na yule dakatari wangu. Dawa niliyopewa ina madhara makubwa yanayoambatana na matumizi yake kama inavyoonyesha hapa:
………………………………………………………………………………………………………
Dexamethasone
Generic Name: dexamethasone (oral) (dex a METH a sone)
Brand Name: Baycadron, Dexamethasone Intensol, DexPak 10 Day Taperpak, DexPak 13 DayTaperpak, DexPak 6 DayTaperpak, Dexpak Jr. Taperpak, Zema Pak 10-Day, Zema Pak 13-Day, Zema Pak 6-Day
What is dexamethasone?
Dexamethasone is a corticosteroid that prevents the release of substances in the body that cause inflammation.
Dexamethasone is used to treat many different inflammatory conditions such as allergic disorders, skin conditions, ulcerative colitis, arthritis, lupus, psoriasis, or breathing disorders.
Dexamethasone may also be used for purposes not listed in this medication guide.
Important information about dexamethasone
You should not use this medication if you are allergic to dexamethasone, or if you have a fungal infection anywhere in your body.
Before taking dexamethasone, tell your doctor about all of your medical conditions, and about all other medicines you are using. There are many other diseases that can be affected by steroid use, and many other medicines that can interact with steroids.
Your dexamethasone dosage may change if you have any unusual stress such as a serious illness, fever or infection, or if you have surgery or a medical emergency. Tell your doctor about any such situation that affects you during treatment.
Dexamethasone can weaken your immune system, making it easier for you to get an infection or worsening an infection you already have or have recently had. Tell your doctor about any illness or infection you have had within the past several weeks.
Avoid being near people who are sick or have infections. Call your doctor for preventive treatment if you are exposed to chicken pox or measles. These conditions can be serious or even fatal in people who are using steroid medication.
Do not receive a "live" vaccine while you are taking dexamethasone. Vaccines may not work as well while you are taking a steroid.
Do not stop using dexamethasone suddenly, or you could have unpleasant withdrawal symptoms. Talk to your doctor about how to avoid withdrawal symptoms when stopping the medication.
Wear a medical alert tag or carry an ID card stating that you take dexamethasone. Any medical care provider who treats you should know that you are using a steroid.
Before taking dexamethasone
You should not use this medication if you are allergic to dexamethasone, or if you have a fungal infection anywhere in your body.
Dexamethasone can weaken your immune system, making it easier for you to get an infection. Steroids can also worsen an infection you already have, or reactivate an infection you recently had. Before taking dexamethasone, tell your doctor about any illness or infection you have had within the past several weeks.
To make sure you can safely take dexamethasone, tell your doctor if you have any of these other conditions:
•liver disease (such as cirrhosis);
•kidney disease;
•a thyroid disorder;
•diabetes;
•a history of malaria;
•tuberculosis;
•osteoporosis;
•a muscle disorder such as myasthenia gravis;
•glaucoma or cataracts;
•herpes infection of the eyes;
•stomach ulcers, ulcerative colitis, or diverticulitis;
•depression or mental illness;
•congestive heart failure; or
•high blood pressure
Tell your doctor if you are pregnant or plan to become pregnant while using this medication.
Dexamethasone can pass into breast milk and may harm a nursing baby. Do not use this medication without telling your doctor if you are breast-feeding a baby.
Dexamethasone can affect growth in children. Talk with your doctor if you think your child is not growing at a normal rate while using this medication.
How should I take dexamethasone?
Take dexamethasone exactly as prescribed by your doctor. Do not take in larger or smaller amounts or for longer than recommended. Follow the directions on your prescription label.
Your doctor may occasionally change your dose to make sure you get the best results.
Your steroid medication needs may change if you have unusual stress such as a serious illness, fever or infection, or if you have surgery or a medical emergency. Tell your doctor about any such situation that affects you.
This medication can cause unusual results with certain medical tests. Tell any doctor who treats you that you are using dexamethasone.
Do not stop using dexamethasone suddenly, or you could have unpleasant withdrawal symptoms. Talk to your doctor about how to avoid withdrawal symptoms when stopping the medication.
Wear a medical alert tag or carry an ID card stating that you take dexamethasone. Any medical care provider who treats you should know that you are using steroid medication.
Store at room temperature away from moisture and heat.
What happens if I miss a dose?
Call your doctor for instructions if you miss a dose of dexamethasone.
Long-term use of high steroid doses can lead to symptoms such as thinning skin, easy bruising, changes in the shape or location of body fat (especially in your face, neck, back, and waist), increased acne or facial hair, menstrual problems, impotence, or loss of interest in sex.
What should I avoid while taking dexamethasone?
Avoid being near people who are sick or have infections. Call your doctor for preventive treatment if you are exposed to chicken pox or measles. These conditions can be serious or even fatal in people who are using steroid medication such as dexamethasone.
Do not receive a "live" vaccine while using dexamethasone. The vaccine may not work as well during this time, and may not fully protect you from disease. Live vaccines include measles, mumps, rubella (MMR), oral polio, rotavirus, typhoid, varicella (chickenpox), H1N1 influenza, and nasal flu vaccine.
Avoid drinking alcohol while you are taking dexamethasone.
Dexamethasone side effects
Get emergency medical help if you have any of these signs of an allergic reaction to dexamethasone: hives; difficulty breathing; swelling of your face, lips, tongue, or throat.
Call your doctor at once if you have a serious side effect such as:
•problems with your vision;
•swelling, rapid weight gain, feeling short of breath;
•severe depression, unusual thoughts or behavior, seizure (convulsions);
•bloody or tarry stools, coughing up blood;
•pancreatitis (severe pain in your upper stomach spreading to your back, nausea and vomiting, fast heart rate);
•low potassium (confusion, uneven heart rate, extreme thirst, increased urination, leg discomfort, muscle weakness or limp feeling); or
•dangerously high blood pressure (severe headache, blurred vision, buzzing in your ears, anxiety, confusion, chest pain, shortness of breath, uneven heartbeats, seizure).
Less serious dexamethasone side effects may include:
•sleep problems (insomnia), mood changes;
•acne, dry skin, thinning skin, bruising or discoloration;
•slow wound healing;
•increased sweating;
•headache, dizziness, spinning sensation;
•nausea, stomach pain, bloating;
•muscle weakness; or
•changes in the shape or location of body fat (especially in your arms, legs, face, neck, breasts, and waist).
This is not a complete list of side effects and others may occur. Call your doctor for medical advice about side effects. You may report side effects to FDA at 1-800-FDA-1088.
What other drugs will affect dexamethasone?
Many drugs can interact with dexamethasone. Below is just a partial list. Tell your doctor if you are using:
•aspirin (taken on a daily basis or at high doses);
•a diuretic (water pill);
•a blood thinner such as warfarin (Coumadin);
•cyclosporine (Gengraf, Neoral, Sandimmune);
•insulin or diabetes medications you take by mouth;
•ketoconazole (Nizoral);
•rifampin (Rifadin, Rifater, Rifamate, Rimactane); or
•seizure medications such as phenytoin (Dilantin) or phenobarbital (Luminal, Solfoton).
This list is not complete and other drugs may interact with dexamethasone. Tell your doctor about all medications you use. This includes prescription, over-the-counter, vitamin, and herbal products. Do not start a new medication without telling your doctor.

………………………………………………………………………………………………………
Hapa ndipo nilipokuja kugundua kuwa kumbe sio tu kwamba watu wanakufa kwa kukosa matibabu ila wengi wao hufa kwa kukosa maelekezo sahihi ya dawa kutoka kwa madaktari uchwara, hasa kwenye hospitali na zahanati za serikali. Hebu tazama hiyo orodha ndefu ya madhara ya pembezoni ya dawa hii, halafu imagine daktari anampa mgonjwa dawa kama pipi bila kumpa taarifa kama hizo! Hivyo, basi madakatri wengi wa hospitali za umma ni wauaji wakubwa!

Mtoa mada ni mnafiki na mpuuzi hajui anachokiandika.
 
Kuna Dr. yuko hosp moja maarufu Mikocheni ni wa kike na jina lake linaanza na J. huyu usipende kabisa akuhudumie. naona ndio wale waliopata marks za chupi. ni jeuri ana kiburi halafu ubongo ni mweupe. juzi kaniandikia antibiotic mbili tofauti badala ya moja kua pain killer.
 
Daktari ni kama professional yeyote. Shule na vyuo wanavyosoma wote tunavifahamu na hata walimu wao wengine tunawafahamu. Sitarajii makubwa sana manzuri kutoka kwa jhawa watu...............in short tunafahamiana.

Nani asiyejua MUHAS, KAIRUKI na IMTU????????????? doctors wachache sana kutoka hivyo vyuo wako vinzuri na wanajulikana eti
 
Uzembe,dharau,upuuzi,ushamba,nyodo na kiburi kwa madaktari husababisha vifo kwa wagonjwa.Ngoja nikusimulie kisa hiki:
Nilikua musoma mwaka juzi,nikaugua tumbo nusu ya kufa,nikaenda gvt hospital,nikapimwa na kuambiwa nina ascaris minyoo na kupewa midawa kibao,kila nilipotumia hizo dawa hali ilizidi kuwa mbaya mpaka nikazimia,nikarudishwa hapo hosp.,tukamkuta yule yule dr.,akasema hakuna shida dawa ndo inafanya kazi tusiwe na wasi,hali ilizidi kuwa mbaya nikakaribia kufa kbs,ikabidi nipelekwe priv.dispensar(AIC),baada ya vipimo dr.alisema nina typhoid kali sn na kwamba zile dawa nilopewa mwanzo ni vice vessa na ugonjwa na ni kali sn ,nikapewa dawa zingine,after 3days nikarecover.
Juzi kati mama mkwe alizidiwa ghafla ucku,tukamkimbiza priv.hosp.,tulipofika dr. alichofanya ni kumtundikia drip ya maji na kusepa,mama alizidi kutaabika tu,nikamfuata na kumuuliza tatizo la mgonjwa,akanijibu nisimfundishe kazi tusubiri asubuhi,niliuwasha moto pale,kuona hivyo alichukua vifaa na kwenda kumshughulikia mgonjwa,
 
Hivi ndugu zangu wwngine tumekuwa wakali sana pengine kwa kukosa maarifa, mtoa mada hajasema alikuwa anaumwa nini mpaka daktari akamwandikia hy dawa, lkn tumekuwa wakali kama pilipili!
Hivi wakina mama hawatumii dawa za uzazi wa mpango ? Je anajua au tunajua madhara yake?
Hivi wagonjwa wa moyo hawatumii dawa za moyo ? Na tunajua madhara yake? Na mwisho hz ARVS tunajua madhara yake!
Nilichomwelewa mtoa mada alitaka daktari amweleze madhara ya madawa husika kipengele kwa kipengele nna hakika angetibiwa peke yake mwezi mzima.
 
Jazba mno... you should've stopped and think for a while before posting.. Katika nchi yoyote duniani madaktari wasio makini wapo, hata India wapo, na je tangu umezaliwa hadi umekuwa kufikia umri huo ulikuwa unatibiwa na madaktari wa wapi!? Uganda, Botswana au Ufaransa!?? Think twice..
 
usiwahukumu madaktari wote kwa uzembe wa daktari mmoja hivi anajua mtu anayeokoa maisha yako unatakiwa kumuheshimu zaidi ya sanaaa
 
Back
Top Bottom