Madakatari wa Tanzania ni wauaji wakubwa!

Madakatari wa Tanzania ni wauaji wakubwa!

Ozie umemjibu tpaul vizuri ila mimi bado nipo upande wake, at least Dr. angepata ABC kuhusu mgonjwa kama vile allerg, etc. Ozie na wengine mtakaomjibu huyu mtoa mada ninawasihi tujadili kwa amani na kushauri madaktari wetu kwa hekima - ingawa siyo kila Dr. ni kilaza ila wengi wa Madaktari hapa Tz wanakula simbi, wameiba paper za NECTA na wengi wao tumesoma nao tulikuwa tukinunua paper za NECTA so hapa hakuna ubishi kuwa baadhi yao ni vilaza tu kama sisi maafisa magereza. mfano hapa MOI kuna mtoto wa dada yangu kafariki juzi baada ya kupewa dose kubwa ya nusu kaputi hapa kumbe alikuwa na alerg na hiyo dawa. huu ulikuwa uzembe wa daktari kutotuuliza kama mtoto wetu ana alerg au la. angekuwa mjukuu Kikwete wangefanya hivyo? namalizia kwa kusema kuwa baadhi ya Dr. WANAJISKIA SANA KUWA WAO HAWAHITAJI KUULIZWA AU KUSHAURIWA.....WANA LAANA. AFADHALI WANGEKUWA ASKARI POLISI. NDO MAANA WENYE HELA ZAO HAWANA TIME NANYINYI WANAENDA ZAO INDIA, UK, SA. nk! VILAZA WAKUBWA MTAKUFA KWA LAANA!!!

Nyie mlimwambia dr allergy ya mtoto?co unatokwa tu povu..Hapo inaonesha wote hamkua aware na hicho kitu So why put blame only to one person.?sometyms allergy inatokea tu...hata Kwa jithada za precaution kibao kufanyika..
 
hakuna dawa hata moja ambayo haina madhara kinachoangaliwa ni madhala kiasi gani na faida ya dawa husika kwa ugonjwa unaotibiwa
 
Nyie mlimwambia dr allergy ya mtoto?co unatokwa tu povu..Hapo inaonesha wote hamkua aware na hicho kitu So why put blame only to one person.?sometyms allergy inatokea tu...hata Kwa jithada za precaution kibao kufanyika..

Past medical History na kama.kuna allergy unataka mgonjwa ndio akuambie????!!!!
Hebu jibu kwa busara!!!!!!!Majibu haya yanaongeza chuki!!!!!

Kimya ni busara pia
 
Kaka umetibiwa na madaktari wangapi Tanzania? Kaka kila dawa iliyopo duniani ina madhara, labda iwe food suppliment tu. Kuna madhara mazuri na mabaya. Mfano Viagra ilikuwa inatumika kutibu pressure ya mapafu, na athari zake ni kutanua mishipa ya penis na kuacha damu ijazane kule na hapo wapata penile erection. Ni muhimu kwa daktari na mfamasia kukwambia madhara ya dawa lakini si kila mgonjwa utakesha naye umsomee gazeti kama hilo ulilo paste. Kuna vingine vitamtisha mgonjwa japo chance yake ya kutokea ni nil, lakini matisho yakasababisha dawa isitumike. Unajua balance ya risk vs benefit?
Pia madhara yaliyoorodheshwa si lazima yakupate. Unakuta labda yanatokea kwa watu watatu katika elfu moja. Hii ni profession bwana. Si rahisi kama uonavyo. Ni sawa na civil engineer akitoa ratio ya mchanga na cement au millimetres za nondo za kutumia. Usikurupuke kulaumu au ku generalize.

Kwenye red hapo! Hako ka-professional nakapendaga kwa sababu risk zake siyo kama hiyo wajameni.
 
mtoa mada shirikisha akili yako kabla hujaandika utumbo wako. Kama una akili timamu kwa taarifa yako hakuna dawa ambayo haina madhara duniani. Ukinunua dawa yoyote ile jaribu kusoma leaflet yake utakuta madhara/ side effects. Na madhara yaliyoandikwa sio lazima yatokee. Mgonjwa huyu anaweza kupata madhara na mwingine hasipate. Wewe toka umezaliwa hujawahi kutibiwa tanzania? Ulikufa leo umetokea jehanamu ukaona huo uuaji wa madaktari?Au kwa vile unajua kiingereza kidogo umeamua kuingia mtandaoni na kuanza kuropoka? Wangekuwa madaktari wauaji wewe ungezaliwa. Bibi au babu yako sio angekufa hata baba yako hasingezaliwa
 
kama ilivyo kwenye fani zingine kwenye taaluma ya udaktari pia kuna mapungufu yake..na sio vizuri kugeneralize
pia kila dawa ina contraindication zake,ukitafuta dawa ambayo haina madhara utakufa ukitafuta..alafu mleta mada hebu tueleze ulipomeza hiyo dawa(sijui sindano) ulipona..?ilikuletea madhara yoyote..?
 
Mbona unajichanganya? Umemwambia mfamasia akupe dawa ya sindano (kwa maelekezo) ya nurse kwani hapo huoni wewe pia ni zezeta, halafu mfamasia kakupa dexamethasone ya Sindano (kwa maelezo yako) ila ukafika nyumbani ukameza na hapa unaonesja oral- ulimeza Sindano? Kama hutaki dawa yenye side effects ungeenda kwa Kalumanzira tena huko ndo utakufa kwa local herb poisoning! Unadhani kwa nini wanasheria hupoteza kesi ni kwa sababu hawajui sheria? Daktari hukupa dawa kwa maelezo uliyompa so kama ulimweleza dalili zinazotibiwa kwa dawa hizo kwa nini ulaumu? Halafu inaonekana hukuwa unaumwa maana kama dawa hujatumia mbona uko hai? Huo uuaji umetoka wapi wakati hujafa? Muwe mnaacha lawama za kipuuzi na kudharau fani za wengine..Mainjinia wanaoua kwa mighorifa mibovu hamuwaoni?
Juzi kati nilikuwa naumwa nikaenda hospitali moja kubwa tu ya serikali. Nilikutana na daktari mmoja mwanamke, anayeonekana kabisa kwamba hajiamini na kazi yake na wala hajui alifanyalo. Niligundua kwamba hajiamini ama kwa sababu hana maarifa ya kutosha au ni kanjanja (divisheni 5!). Baada ya vipimo, daktari huyu aliniandikia dawa na kunielekeza niende nikaichukue pharmacy.

Nilipofika pharmacy, mfamasia akashindwa anipe dawa gani kwani kwenye maelekezo dr hakuandika kama ni dawa niliyopaswa kupewa ni sindano au ya vidonge. Ilinibidi nirudi kwa daktari kumuomba aandike upya ila nilikuta tayari ameishaondoka kwani muda wa kazi ulikuwa umekwisha. Basi, ikanibidi nirudi tena kwa mfamasia tushauriane cha kufanya. Mfamasia akasisitiza kwamba hawezi kunipa dawa bila kujua kama ni ya vidonge au sindano. Nikamuuliza tufanyeje. Akaninishauri niende jengo la pili nimtafute daktari yeyote nitakayemkuta nimuombe anisadie kutatua tatizo hilo. Ikanibidi nifanye kama nilivyoelekezwa.

Kwenye hilo jengo la pili sikubahatika kukutana na daktari yeyote ili nilibahatika kukutana na nurse mzoefu ambaye aliniambia kwamba dawa ile kwa kawaida hutolewa kama sindano. Niliporudi kwa mfamasia nikamwambia nimekutana na ‘dakari’ amesema dawa inayotakiwa ni ya sindano (ili kupunguza mlolongo wa kupata dawa maana siku yenyewe ilikuwa Ijumaa—nisingepata dawa ingebidi nikae hadi Jumatatu!). Mfamasia akanipa dawa yangu nikasepa.

Kabla ya kumeza ile dawa ilinibidi kwanza nihakikishe kwamba najiridhisha kuhusu matumizi yake pamoja na madhara yanayoambatana na utumiaji wa dawa ile, kitu ambacho sikugusiwa kabisa na yule dakatari wangu. Dawa niliyopewa ina madhara makubwa yanayoambatana na matumizi yake kama inavyoonyesha hapa:
………………………………………………………………………………………………………
Dexamethasone
Generic Name: dexamethasone (oral) (dex a METH a sone)
Brand Name: Baycadron, Dexamethasone Intensol, DexPak 10 Day Taperpak, DexPak 13 DayTaperpak, DexPak 6 DayTaperpak, Dexpak Jr. Taperpak, Zema Pak 10-Day, Zema Pak 13-Day, Zema Pak 6-Day
What is dexamethasone?
Dexamethasone is a corticosteroid that prevents the release of substances in the body that cause inflammation.
Dexamethasone is used to treat many different inflammatory conditions such as allergic disorders, skin conditions, ulcerative colitis, arthritis, lupus, psoriasis, or breathing disorders.
Dexamethasone may also be used for purposes not listed in this medication guide.
Important information about dexamethasone
You should not use this medication if you are allergic to dexamethasone, or if you have a fungal infection anywhere in your body.
Before taking dexamethasone, tell your doctor about all of your medical conditions, and about all other medicines you are using. There are many other diseases that can be affected by steroid use, and many other medicines that can interact with steroids.
Your dexamethasone dosage may change if you have any unusual stress such as a serious illness, fever or infection, or if you have surgery or a medical emergency. Tell your doctor about any such situation that affects you during treatment.
Dexamethasone can weaken your immune system, making it easier for you to get an infection or worsening an infection you already have or have recently had. Tell your doctor about any illness or infection you have had within the past several weeks.
Avoid being near people who are sick or have infections. Call your doctor for preventive treatment if you are exposed to chicken pox or measles. These conditions can be serious or even fatal in people who are using steroid medication.
Do not receive a "live" vaccine while you are taking dexamethasone. Vaccines may not work as well while you are taking a steroid.
Do not stop using dexamethasone suddenly, or you could have unpleasant withdrawal symptoms. Talk to your doctor about how to avoid withdrawal symptoms when stopping the medication.
Wear a medical alert tag or carry an ID card stating that you take dexamethasone. Any medical care provider who treats you should know that you are using a steroid.
Before taking dexamethasone
You should not use this medication if you are allergic to dexamethasone, or if you have a fungal infection anywhere in your body.
Dexamethasone can weaken your immune system, making it easier for you to get an infection. Steroids can also worsen an infection you already have, or reactivate an infection you recently had. Before taking dexamethasone, tell your doctor about any illness or infection you have had within the past several weeks.
To make sure you can safely take dexamethasone, tell your doctor if you have any of these other conditions:
• liver disease (such as cirrhosis);
• kidney disease;
• a thyroid disorder;
• diabetes;
• a history of malaria;
• tuberculosis;
• osteoporosis;
• a muscle disorder such as myasthenia gravis;
• glaucoma or cataracts;
• herpes infection of the eyes;
• stomach ulcers, ulcerative colitis, or diverticulitis;
• depression or mental illness;
• congestive heart failure; or
• high blood pressure
Tell your doctor if you are pregnant or plan to become pregnant while using this medication.
Dexamethasone can pass into breast milk and may harm a nursing baby. Do not use this medication without telling your doctor if you are breast-feeding a baby.
Dexamethasone can affect growth in children. Talk with your doctor if you think your child is not growing at a normal rate while using this medication.
How should I take dexamethasone?
Take dexamethasone exactly as prescribed by your doctor. Do not take in larger or smaller amounts or for longer than recommended. Follow the directions on your prescription label.
Your doctor may occasionally change your dose to make sure you get the best results.
Your steroid medication needs may change if you have unusual stress such as a serious illness, fever or infection, or if you have surgery or a medical emergency. Tell your doctor about any such situation that affects you.
This medication can cause unusual results with certain medical tests. Tell any doctor who treats you that you are using dexamethasone.
Do not stop using dexamethasone suddenly, or you could have unpleasant withdrawal symptoms. Talk to your doctor about how to avoid withdrawal symptoms when stopping the medication.
Wear a medical alert tag or carry an ID card stating that you take dexamethasone. Any medical care provider who treats you should know that you are using steroid medication.
Store at room temperature away from moisture and heat.
What happens if I miss a dose?
Call your doctor for instructions if you miss a dose of dexamethasone.
Long-term use of high steroid doses can lead to symptoms such as thinning skin, easy bruising, changes in the shape or location of body fat (especially in your face, neck, back, and waist), increased acne or facial hair, menstrual problems, impotence, or loss of interest in sex.
What should I avoid while taking dexamethasone?
Avoid being near people who are sick or have infections. Call your doctor for preventive treatment if you are exposed to chicken pox or measles. These conditions can be serious or even fatal in people who are using steroid medication such as dexamethasone.
Do not receive a "live" vaccine while using dexamethasone. The vaccine may not work as well during this time, and may not fully protect you from disease. Live vaccines include measles, mumps, rubella (MMR), oral polio, rotavirus, typhoid, varicella (chickenpox), H1N1 influenza, and nasal flu vaccine.
Avoid drinking alcohol while you are taking dexamethasone.
Dexamethasone side effects
Get emergency medical help if you have any of these signs of an allergic reaction to dexamethasone: hives; difficulty breathing; swelling of your face, lips, tongue, or throat.
Call your doctor at once if you have a serious side effect such as:
• problems with your vision;
• swelling, rapid weight gain, feeling short of breath;
• severe depression, unusual thoughts or behavior, seizure (convulsions);
• bloody or tarry stools, coughing up blood;
• pancreatitis (severe pain in your upper stomach spreading to your back, nausea and vomiting, fast heart rate);
• low potassium (confusion, uneven heart rate, extreme thirst, increased urination, leg discomfort, muscle weakness or limp feeling); or
• dangerously high blood pressure (severe headache, blurred vision, buzzing in your ears, anxiety, confusion, chest pain, shortness of breath, uneven heartbeats, seizure).
Less serious dexamethasone side effects may include:
• sleep problems (insomnia), mood changes;
• acne, dry skin, thinning skin, bruising or discoloration;
• slow wound healing;
• increased sweating;
• headache, dizziness, spinning sensation;
• nausea, stomach pain, bloating;
• muscle weakness; or
• changes in the shape or location of body fat (especially in your arms, legs, face, neck, breasts, and waist).
This is not a complete list of side effects and others may occur. Call your doctor for medical advice about side effects. You may report side effects to FDA at 1-800-FDA-1088.
What other drugs will affect dexamethasone?
Many drugs can interact with dexamethasone. Below is just a partial list. Tell your doctor if you are using:
• aspirin (taken on a daily basis or at high doses);
• a diuretic (water pill);
• a blood thinner such as warfarin (Coumadin);
• cyclosporine (Gengraf, Neoral, Sandimmune);
• insulin or diabetes medications you take by mouth;
• ketoconazole (Nizoral);
• rifampin (Rifadin, Rifater, Rifamate, Rimactane); or
• seizure medications such as phenytoin (Dilantin) or phenobarbital (Luminal, Solfoton).
This list is not complete and other drugs may interact with dexamethasone. Tell your doctor about all medications you use. This includes prescription, over-the-counter, vitamin, and herbal products. Do not start a new medication without telling your doctor.

………………………………………………………………………………………………………
Hapa ndipo nilipokuja kugundua kuwa kumbe sio tu kwamba watu wanakufa kwa kukosa matibabu ila wengi wao hufa kwa kukosa maelekezo sahihi ya dawa kutoka kwa madaktari uchwara, hasa kwenye hospitali na zahanati za serikali. Hebu tazama hiyo orodha ndefu ya madhara ya pembezoni ya dawa hii, halafu imagine daktari anampa mgonjwa dawa kama pipi bila kumpa taarifa kama hizo! Hivyo, basi madakatri wengi wa hospitali za umma ni wauaji wakubwa!
 
Ozie umemjibu tpaul vizuri ila mimi bado nipo upande wake, at least Dr. angepata ABC kuhusu mgonjwa kama vile allerg, etc. Ozie na wengine mtakaomjibu huyu mtoa mada ninawasihi tujadili kwa amani na kushauri madaktari wetu kwa hekima - ingawa siyo kila Dr. ni kilaza ila wengi wa Madaktari hapa Tz wanakula simbi, wameiba paper za NECTA na wengi wao tumesoma nao tulikuwa tukinunua paper za NECTA so hapa hakuna ubishi kuwa baadhi yao ni vilaza tu kama sisi maafisa magereza. mfano hapa MOI kuna mtoto wa dada yangu kafariki juzi baada ya kupewa dose kubwa ya nusu kaputi hapa kumbe alikuwa na alerg na hiyo dawa. huu ulikuwa uzembe wa daktari kutotuuliza kama mtoto wetu ana alerg au la. angekuwa mjukuu Kikwete wangefanya hivyo? namalizia kwa kusema kuwa baadhi ya Dr. WANAJISKIA SANA KUWA WAO HAWAHITAJI KUULIZWA AU KUSHAURIWA.....WANA LAANA. AFADHALI WANGEKUWA ASKARI POLISI. NDO MAANA WENYE HELA ZAO HAWANA TIME NANYINYI WANAENDA ZAO INDIA, UK, SA. nk! VILAZA WAKUBWA MTAKUFA KWA LAANA!!!

Imagine dawa haitakiwi kunywewa na mwenye fungus.
 
Continuation of silly stories from laymen and ignorant people, let them abuse but at the end of the day they will come back coz am sure even ability to attend treatment at Peramiho mission hospital they don't have. At the end of the day they will come back
 
Mkuu hapo unapaswa kujifunza jambo, sio kila mvaa koti jeupe na medical doctor, aliye na degree. Tusilaumu sana ,tulaumu mifumo yetu na tujilaumu sisi wenyewe, fani zetu za afya kuna mvaa koti jeupe aliyesoma mwaka mmoja, miaka miwili, miaka mitatu, miaka minne, miaka sita na intern, kuna waliosoma mika sita na uzoefu kazini, kuna wanaosoma specialization, kuna specialist, kuna walio superspecialize
mimi binafsi naamini ubora wa huduma unaongezeka kwa rank niliyoionyesha, mara nyingi madaktari kuanzia level ya degree ni wachache sana , hospital zetu nyingi zimejazwa na level chini ya degree, referal hospitals pekee ndo unauhakika wa kuonwa na mtu mwenye level ya degree na kuendelea kwa 95%
tusionyeshe dharau kazi ya udaktari inamagumu yake ,japo haimaanishi ndo wafanye makosa,mkuu inawezekana uliyemkuta ni level ya chini kabisa, mchango wao unaheshimiwa la sivyo taifa lingeteketea kabisa
note: Generalization hapa si jambo la kuvumilika ,matazamo tuu mkuu wangu
 
Huyu jamaa nlimfuatilia tangu kwenye post ya juzi...nafahamu comment zake...alichofanya nikukaa chini kuamua kumuiga mwenzake...na kutunga then akaweka na google kidogo...na kuna watu wanamsupport.....nlishasema tuache ujuaajikama kitu hujui uliza ....alafu pia ukiwa muongo na mnafki uwe na kumbukumbu .....Anasema NURSE alimwambia ni SINDANO....akapewa Akafika nyumbani AKATAKA kuimeza.......Hata km kuna madaktari wanadharau(kwa hulka yao mbaya) lakini namana hii unafanya daktari mwingine na mwinginwe na mwingine ambaye hana hata mpango wa kudharau mtu adhidi kukudharau kwa sababau ya mambo kama haya hata kama ni SHUTMA za kutunga UJIPANGE BASI....Mnafanya JF inaonekana ni chaka la vilaza
 
Tuwe tunashirikisha ubongo zaidi katika kutoa maada, tusipende kukurupuka na kutoa hukumu kwa watu wanao okoa maisha yetu, kwa sababu tu ya chuki zetu binafsi
 
Uzembe wa daktari mmoja isiwe ndio hukumu ya madaktari wote bongo. Kwa hiyo kwa kuwa watanzania wachache wanadakwa na unga, basi watanzania wote ni wauza unga?
 
Kuwa daktari ni changamoto,naile report ya sikika hata hawa waliobaki siwatakimbia wote nao?prof majimarefu watanzania tutaangamia
 
Madaktari wetu ni wazuri, ila tatizo tuna wa overdose kiasi kwamba hadi wanachanganyikiwa katika utendaji kazi wao. Daktali mmoja anapo hudumia wagonjwa zaidi ya 200 kwa siku... unategemea nini? na kama ujuavyo kazi zao hutumia akili zaidi.
Mkuu hii ni namba za kitakwimu tu...kiuhalisia ni daktari yupi wa kitanzania katika majukumu yake ya kawaida anahudumia wagonjwa zaidi ya mia mbili 200,wakifika 50 tu kwa siku basi huyo ni miongoni mwa madaktar wachache wenye wito seuze hiyo mia mbili????.
Ukiniambia idadi hiyo inajumlisha pia wagonjwa anaohudumia ktk vijiwe vyake vingine vitano kwa siku inaweza kukaribia kidogo...
kwa uchache ni kwamba mleta mada ameleta mada kwa jazba kubwa lakini pia madaktari wetu wengi wa kisasa ni janga lingine la taifa katika swala zima la tiba.
kwa uchache wa sababu zifuatazo.
1.Wanaona wao ndio wenye taaluma muhimu kuliko yoyote yule Tanzania wakati ukweli wengi wao wa kisasa ni watupu kichwani
2.Hawatilii maanani maadili kabisa ya kazi yao,ni rahisi sana kwa hivi sasa siri ya mgonjwa kuikuta kwenye vijiwe vyetu kama stori ya kawaida
3.Hawashauriki na hawana muda wa kumsikiliza mgonjwa vile wanadhani madesa waliyomeza ndio kila kitu na wao tu ndio wajuvi
4.Hawana wito wa kazi hii wako kimaslahi zaidi,ingawa pia ni makanjanja.....ni bora usiwe kanjanja watu wakutafute upate maslahi wao wengi wanalazimisha deals kutoka kwa wagonjwa hata kama deals hizo mwisho wa siku hazitomsaidia mgonjwa katika matatizo yake.

 
Kuna changamoto zinapelekea hayo mnayolalamikia.Ideally hata paracetamol mgonjwa anapaswa kuelezwa madhara yanayoweza kutokea!!Recommended history taking and physical examination time isn't less than 40min,achilia mbali muda wa kumuelimisha mgonjwa.Siyo rahisi kutenda ipasavyo,tunajaribu kufanya yale ya lazima kwa mgonjwa husika.Hata hivyo sikatai ukweli kuwa wapo wanaozingua!!
 
Kuna changamoto zinapelekea hayo mnayolalamikia.Ideally hata paracetamol mgonjwa anapaswa kuelezwa madhara yanayoweza kutokea!!Recommended history taking and physical examination time isn't less than 40min,achilia mbali muda wa kumuelimisha mgonjwa.Siyo rahisi kutenda ipasavyo,tunajaribu kufanya yale ya lazima kwa mgonjwa husika.Hata hivyo sikatai ukweli kuwa wapo wanaozingua!!

Niliwahi kwenda kwenye hospital moja inayoendeshwa/milikiwa na taasisi ya kidini, ki ukweli niliamini kuwa kuna madaktari wanaojua kazi yao ipasavyo!! Aliniuliza maswali hadi ya ki binafsi,nikamweleza naye akanieleza,kabla hata ya kunipima nilianza kuelewa uzito na wepesi wa tatizo langu,at the time ananipa dawa nilishapona kwa asilimia nyingi mno,hadi nikatamani niwe yeye,alinipa na namba yake ya simu ili in case nikiwa na shaka lolote nimpigie Asap!! Ila naye nilikuja elezwa kuwa amekimbilia nje ya nchi,ikaniuma sana.
 
Back
Top Bottom