Madakatari wa Tanzania ni wauaji wakubwa!

Madakatari wa Tanzania ni wauaji wakubwa!

Hizi mada za kiuwa ponda madaktari zimezidi sana sijui kuna bifu gani kati ya madr's na raia(wateja wao)
kibaya zaid sion mbadala wao ama kuna nia ya dhati ya kuwapa promo waganga wa kienyeji??
ama ile OFM ta Shigongo ina ubia humu ndani?? just thinking loud!!
 
Jazba mno... you should've stopped and think for a while before posting.. Katika nchi yoyote duniani madaktari wasio makini wapo, hata India wapo, na je tangu umezaliwa hadi umekuwa kufikia umri huo ulikuwa unatibiwa na madaktari wa wapi!? Uganda, Botswana au Ufaransa!?? Think twice..
mwl mwenzangu Baba V kwanza mtoa mada ahajasema alikuwa anaumwa nini lkn kwa mfano alikwa tayari meshaonyesha tatizo la inflamation ama ana psoriasis je dr kakosea kumpa hii dozi??

mtoa mada anajua kwamba dawa zote zina side effects?? na kwamba hizo haziepukiki??
mtoam mada anajua kwamba kupewa dawa ni moja ila kutibika ugonjwa ni jambo jingine??
 
Last edited by a moderator:
Hivi ndugu zangu wwngine tumekuwa wakali sana pengine kwa kukosa maarifa, mtoa mada hajasema alikuwa anaumwa nini mpaka daktari akamwandikia hy dawa, lkn tumekuwa wakali kama pilipili!
Hivi wakina mama hawatumii dawa za uzazi wa mpango ? Je anajua au tunajua madhara yake?
Hivi wagonjwa wa moyo hawatumii dawa za moyo ? Na tunajua madhara yake? Na mwisho hz ARVS tunajua madhara yake!
Nilichomwelewa mtoa mada alitaka daktari amweleze madhara ya madawa husika kipengele kwa kipengele nna hakika angetibiwa peke yake mwezi mzima.

We tuko pamoja aisee
 
Niliwahipewa amodiaquine na daktari, ilichonifanya kidogo nikarushe ngumi kwa daktari , ilinitesa wiki mbili nzima , lakini ndo dawa niliotakiwa kupewa kulingana na ugonjwa wangu , na sasa siitaki tena dawa hii, kuna muda tuwaambie madaktari sio mpaka watuulize ,.
 
huyo jamaa story yake ni ya uongo anajikanyaga kama kapuya 1.kasema aliambiwa injection chaajabu sijui amemeza IM or IV?? teh teh umenichekesha pili 2.hamna dawa duniani haina contra-indications nakutuma kuanzia leo uwe unasoma leaflet za dawa zote utaliona hilo
3.usiwe mpuuzi kufanya general judgement kwenye masuala sensitive kama ya medicine(utabibu) mchano wake ni mkubwa kuliko madhara so far medical professionals they are not politicians for spinning issues
 
mwl mwenzangu Baba V kwanza mtoa mada ahajasema alikuwa anaumwa nini lkn kwa mfano alikwa tayari meshaonyesha tatizo la inflamation ama ana psoriasis je dr kakosea kumpa hii dozi??

mtoa mada anajua kwamba dawa zote zina side effects?? na kwamba hizo haziepukiki??
mtoam mada anajua kwamba kupewa dawa ni moja ila kutibika ugonjwa ni jambo jingine??


Amefanyiwa circumcission!!!?????
Alielezwa nini kinaweza kutokea wakati wa procedure???!!!
 
Last edited by a moderator:
Hizi mada za kiuwa ponda madaktari zimezidi sana sijui kuna bifu gani kati ya madr's na raia(wateja wao)
kibaya zaid sion mbadala wao ama kuna nia ya dhati ya kuwapa promo waganga wa kienyeji??
ama ile OFM ta Shigongo ina ubia humu ndani?? just thinking loud!!

Madaktari wanapaswa kujiuliza ni kwa nini.Naamini pia ni wachache sana wanaoingia kwenye mitandao kama hii kwani wanaamini wako 'busy!'sana na issue za 'muhimu'pengine wale wachache wanaweza kupeleka ujumbe kwa wenzao ili wafanye utafiti kulikoni?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
naomba nimshauri mtoa mada kua next time akipewa dawa ambayo haijui, isome kwanza kabla ya kuitumia kama ulivyofanya kwenye hii. nina mifano mingi sana kuhusu uzembe unaofanywa na madaktari wetu, haijalishi ni private hospital au government, wote wako sawa.
ninachojua mimi, mtu yoyote mwenye chuma mwilini, haruhusiwi kamwe kuingia kwenye CT Scan. Kuna mama alipoteza maisha kwa vile tu daktari hakuuliza kama ana chuma mwilini. mama wa watu aliingizwa kwenye ile kitu maana ni kama kaburi, alitoka mfu.
kuna rafiki yangu mimba iliharibika kwa kupewa dawa ambayo mja mzito haruhusiwi kunywa na daktari hakuuliza hayo, mdada wa watu akanywa na kupoteza uja uzito wao.
ni wangapi wenye allergy ya sulphur wamepoteza maisha yao only kwa sababu tu daktari katoa dawa zenye sulphur bila kumuuliza mgonjwa?
makosa ya daktari wetu ni mengi mno. tatizo wamejaa kiburi mno, hata kama wewe unajua ukajaribu kumuelekeza, lazima ajibu utumbo.
kuna binti alipata allergy ya samaki akavimba mwili mzima kama puto, kwenda kwenye moja ya private hospital maarufu hapa Dar alitundikiwa drip chupa 4 eti ku dilute sumu mwilini. daktari mzima anashindwa kujua dawa ya allergy ni nini...!!! mpaka next day alipoingia shift daktari mwingine wa KIHINDI nadhani kasoma nje ya nje na kushikwa na mshangao kua kwanini hakupewa dawa fulani, alimwanbindika hiyo dawa hata nusu saa haikupita mwili ulirudia hali ya kawaida.
kwa vile tuna mitandao naomba tu tusiwaamini hawa madaktari wetu wa kizazi cha dotcom, ni wazembe mno na hakuna wajuacho zaidi ya kupita pita kwenye corridors wakiuza sura na makoti meupe na stethoscope shingoni.
sitaki kuamini kua eti kwa sababu wanakua na wagonjwa wengi kupita kiasi, si kweli, mwenye kujali kazi yake atatulia, ataongea na mgonjwa kwa kirefu kujua allergy alizonazo, na mengine mengi kabla ya kutoa dawa. Mbona madaktari wa kihindi wanaweza, kwanini sisi tusiweze, ni uzembe tu!!! wa serikali watasema mishahara midogo hivyo hawawajibiki vizuri, na wa private hospitals watatuambia nini?
 
Pole sana, ila wazazi wajitahidi kuwaeleza madaktar matatizo yote ya watoto wao hata yale yasiyo na ulazima wa kuwaambia.
You never know when the snake is pregnant..
 
mwl mwenzangu Baba V kwanza mtoa mada ahajasema alikuwa anaumwa nini lkn kwa mfano alikwa tayari meshaonyesha tatizo la inflamation ama ana psoriasis je dr kakosea kumpa hii dozi??

mtoa mada anajua kwamba dawa zote zina side effects?? na kwamba hizo haziepukiki??
mtoam mada anajua kwamba kupewa dawa ni moja ila kutibika ugonjwa ni jambo jingine??

Ninachokiona hapa ni UTANZANIA na kasumba ya kulaumu na kuhukumu hata katika tusiyoyajua..
 
Last edited by a moderator:
atakuwa alikutana na daktari wa uwazi huyu! sie wanatusaidia sana tu; kila sekta hapa ina shida zake, ila si kwamba madaktari wamesomea ama wanatibu wamedhamiria kuua. Hiyo unayoiita madhara pembeni sijui kama uliielewa sawasawa na nadhani daktari wako kama si yule wa uwazi alikuwa anayajua sana hayo yote na bado akaiona hiyo dawa ingekufaa wewe. Tusaidiane badala ya kudharauliana hivyo kwani taaluma zote zina changamoto zake na hakuna iliyo 100% perfect.
 
kwa hiyo ulipona baada ya kutumia hiyo dawa au ukutumia kabisa kwa kuogopa hayo uliyoaandika hapo juu?
 
kwa hiyo ulipona kwa kutumia hiyo dawa au ukutumia kabisa kwa kugopa hayo uliyoandika hapo juu?
 
Nakubali kugeneralize ni mbaya. Lkn kuna madaktari tz hata wale wenye uzoefu kwa simple mistake wamesababisha vifo (na hawakubali kabisa). Nimempoteza mtu wa karibu sana kutokana na uzembe wa dr. katika operation ya fibroids - hata miezi mitatu haijaisha. Alimwambia kabisa dr. kwenye follow-up checkup baada ya operesheni hawezi kula, akila anatapika. Dr hajamcheck tena akasema ni kawaida, alikaa siku 2 tu, she died and still young. Kuna wazembe na hawajali kabisa, na hii ilikuwa private hosp.
 
Tatizo lingine lipo kwa wazazi, wazazi wengi ndoto zao ni watoto wao kuwa madaktari, mainjinia au wanasheria. Kila mzazi anawaza makubwa kwa mtoto wake bila hata kupembua uwezo wa ubongo wa huyo mwanae.
Sera za serikali nazo chafu, zinataka kuongeza idadi ya madaktari bila kuandaa mazingira ya chuo kama zinavyofanya kwenye shule za kata na vyuo vikuu vinavyoibuka kama utititri na kuadmit wanafunzi wengi pasi na vitendea kazi na walimu wa kutosha.
Ukienda pale saint Augustine *Nyegezi* mwanza kwenye baadhi ya lectures utachoka hata kuona, wanafunzi hadi pa kukaa shida.
Vyuo vya afya karibu vyote ni hakuna walimu wa kutosha, hakuna vifaa vya kufundishia, walimu/lectures wanalipwa malipo duni na wanazunguka vyuo vyote Tanzania kufundisha.
Pia sheria za kulinda maslahi ya wagonjwa hakuna, sheria za kulinda mazingira ya kazi ya madaktari hakuna, madaktari wananyanyasika na utawala kuanzia hospital za serikali hadi za private.
Pale muhimbili hivi karibuni nilikuta mgogoro mkubwa wa mgawanyo wa hela za bima ya afya. Madaktari na manesi walilipwa hela kiduchu na wahasibu na social workers ambao wanakaa maofisini na kula kiyoyozi walijimegea fungu la kutosha, hali hii ilileta mgomo baridi wa manesi katika ghorofa lote la upasuaji pale muhimbili na kufanya wagonjwa wetu wachelewe kupata huduma.
Madaktari wengi wanajuta kuwa madaktari, ndo maana utafiti unaonyesha wanafanya kazi tofauti na waliosomea.
In short haka kanchi ketu kameoza kila idara.
Sijui tutakimbilia wapi.
 
Katika hili nashindwa kuwatetea madaktari, na pia nashindwa kuwasema vibaya.

Walimfanyia jamaa yangu operation ya apendix na wakakosea upande - wakamchanachana tumbo zima - wakamwaribu hadi mfumo wa uzazi; jamaa yangu yupo anaishi maisha ya shida sana.

walimuuguza mpenzi wangu kwa muda wa wiki mbili akiwa hajitambui - mpenzi wangu alipona na hadi sasa naishi naye kwa amani.
 
naomba nimshauri mtoa mada kua next time akipewa dawa ambayo haijui, isome kwanza kabla ya kuitumia kama ulivyofanya kwenye hii. nina mifano mingi sana kuhusu uzembe unaofanywa na madaktari wetu, haijalishi ni private hospital au government, wote wako sawa.
ninachojua mimi, mtu yoyote mwenye chuma mwilini, haruhusiwi kamwe kuingia kwenye CT Scan. Kuna mama alipoteza maisha kwa vile tu daktari hakuuliza kama ana chuma mwilini. mama wa watu aliingizwa kwenye ile kitu maana ni kama kaburi, alitoka mfu.
kuna rafiki yangu mimba iliharibika kwa kupewa dawa ambayo mja mzito haruhusiwi kunywa na daktari hakuuliza hayo, mdada wa watu akanywa na kupoteza uja uzito wao.
ni wangapi wenye allergy ya sulphur wamepoteza maisha yao only kwa sababu tu daktari katoa dawa zenye sulphur bila kumuuliza mgonjwa?
makosa ya daktari wetu ni mengi mno. tatizo wamejaa kiburi mno, hata kama wewe unajua ukajaribu kumuelekeza, lazima ajibu utumbo.
kuna binti alipata allergy ya samaki akavimba mwili mzima kama puto, kwenda kwenye moja ya private hospital maarufu hapa Dar alitundikiwa drip chupa 4 eti ku dilute sumu mwilini. daktari mzima anashindwa kujua dawa ya allergy ni nini...!!! mpaka next day alipoingia shift daktari mwingine wa KIHINDI nadhani kasoma nje ya nje na kushikwa na mshangao kua kwanini hakupewa dawa fulani, alimwanbindika hiyo dawa hata nusu saa haikupita mwili ulirudia hali ya kawaida.
kwa vile tuna mitandao naomba tu tusiwaamini hawa madaktari wetu wa kizazi cha dotcom, ni wazembe mno na hakuna wajuacho zaidi ya kupita pita kwenye corridors wakiuza sura na makoti meupe na stethoscope shingoni.
sitaki kuamini kua eti kwa sababu wanakua na wagonjwa wengi kupita kiasi, si kweli, mwenye kujali kazi yake atatulia, ataongea na mgonjwa kwa kirefu kujua allergy alizonazo, na mengine mengi kabla ya kutoa dawa. Mbona madaktari wa kihindi wanaweza, kwanini sisi tusiweze, ni uzembe tu!!! wa serikali watasema mishahara midogo hivyo hawawajibiki vizuri, na wa private hospitals watatuambia nini?
Hivi allergy kama ya sulphur ni Emergency?kwann mgonjwa mwenyewe asiseme me nina tatizo hili ama lile..wabongo tunalaum mpaka inakera ati..
 
Madaktari wetu ni wazuri, ila tatizo tuna wa overdose kiasi kwamba hadi wanachanganyikiwa katika utendaji kazi wao. Daktali mmoja anapo hudumia wagonjwa zaidi ya 200 kwa siku... unategemea nini? na kama ujuavyo kazi zao hutumia akili zaidi.
 
Back
Top Bottom