Kwahiyo huyo daktari ndio sample yako ya kuwajudge madaktari wa Tanzania?
Kaka umetibiwa na madaktari wangapi Tanzania? Kaka kila dawa iliyopo duniani ina madhara, labda iwe food suppliment tu. Kuna madhara mazuri na mabaya. Mfano Viagra ilikuwa inatumika kutibu pressure ya mapafu, na athari zake ni kutanua mishipa ya penis na kuacha damu ijazane kule na hapo wapata penile erection. Ni muhimu kwa daktari na mfamasia kukwambia madhara ya dawa lakini si kila mgonjwa utakesha naye umsomee gazeti kama hilo ulilo paste. Kuna vingine vitamtisha mgonjwa japo chance yake ya kutokea ni nil, lakini matisho yakasababisha dawa isitumike. Unajua balance ya risk vs benefit?
Pia madhara yaliyoorodheshwa si lazima yakupate. Unakuta labda yanatokea kwa watu watatu katika elfu moja. Hii ni profession bwana. Si rahisi kama uonavyo. Ni sawa na civil engineer akitoa ratio ya mchanga na cement au millimetres za nondo za kutumia. Usikurupuke kulaumu au ku generalize.
Naunga mkono kabisa kwamba kuna uwezekano kabisa kwa baadhi ya watoa huduma kushindwa kutoa elimu kabisa kuhusu madhara yaambatanayo na matumizi ya dawa fulani ,lkn kwa huyu mtoa mada yeye alichofanya ni ku download phamacology ya Dexamethasone na kuitungia story yenye heading potoshi yenye uchonganishi kati ya jamii na jimuiya nzima ya madaktari wa Tanzania ,kwa kudhihirisha hilo ni pale alipopewa dawa ya sindano baada ya kushauriwa na Nesi yeye akaenda kuimeza !ni afadhari angesema angalau kabla ya kuinywa ningesema tena hakupata maelezo ya kutosha kwa kuwa injection Dexamethasone iko kwenye liquid form .Kweli naanza kuamini ya Wahenga kwamba "njia ya MUONGO ni fupi "kuna sehemu tu ktk uongo wake atajikwaa a.k.a Kujikanyaga .Huyu jamaa nlimfuatilia tangu kwenye post ya juzi...nafahamu comment zake...alichofanya nikukaa chini kuamua kumuiga mwenzake...na kutunga then akaweka na google kidogo...na kuna watu wanamsupport.....nlishasema tuache ujuaajikama kitu hujui uliza ....alafu pia ukiwa muongo na mnafki uwe na kumbukumbu .....Anasema NURSE alimwambia ni SINDANO....akapewa Akafika nyumbani AKATAKA kuimeza.......Hata km kuna madaktari wanadharau(kwa hulka yao mbaya) lakini namana hii unafanya daktari mwingine na mwinginwe na mwingine ambaye hana hata mpango wa kudharau mtu adhidi kukudharau kwa sababau ya mambo kama haya hata kama ni SHUTMA za kutunga UJIPANGE BASI....Mnafanya JF inaonekana ni chaka la vilaza
Du sindano umemeza?
Kuna Dr. yuko hosp moja maarufu Mikocheni ni wa kike na jina lake linaanza na J. huyu usipende kabisa akuhudumie. naona ndio wale waliopata marks za chupi. ni jeuri ana kiburi halafu ubongo ni mweupe. juzi kaniandikia antibiotic mbili tofauti badala ya moja kua pain killer.
naomba nimshauri mtoa mada kua next time akipewa dawa ambayo haijui, isome kwanza kabla ya kuitumia kama ulivyofanya kwenye hii. nina mifano mingi sana kuhusu uzembe unaofanywa na madaktari wetu, haijalishi ni private hospital au government, wote wako sawa.
ninachojua mimi, mtu yoyote mwenye chuma mwilini, haruhusiwi kamwe kuingia kwenye CT Scan. Kuna mama alipoteza maisha kwa vile tu daktari hakuuliza kama ana chuma mwilini. mama wa watu aliingizwa kwenye ile kitu maana ni kama kaburi, alitoka mfu.
kuna rafiki yangu mimba iliharibika kwa kupewa dawa ambayo mja mzito haruhusiwi kunywa na daktari hakuuliza hayo, mdada wa watu akanywa na kupoteza uja uzito wao.
ni wangapi wenye allergy ya sulphur wamepoteza maisha yao only kwa sababu tu daktari katoa dawa zenye sulphur bila kumuuliza mgonjwa?
makosa ya daktari wetu ni mengi mno. tatizo wamejaa kiburi mno, hata kama wewe unajua ukajaribu kumuelekeza, lazima ajibu utumbo.
kuna binti alipata allergy ya samaki akavimba mwili mzima kama puto, kwenda kwenye moja ya private hospital maarufu hapa Dar alitundikiwa drip chupa 4 eti ku dilute sumu mwilini. daktari mzima anashindwa kujua dawa ya allergy ni nini...!!! mpaka next day alipoingia shift daktari mwingine wa KIHINDI nadhani kasoma nje ya nje na kushikwa na mshangao kua kwanini hakupewa dawa fulani, alimwanbindika hiyo dawa hata nusu saa haikupita mwili ulirudia hali ya kawaida.
kwa vile tuna mitandao naomba tu tusiwaamini hawa madaktari wetu wa kizazi cha dotcom, ni wazembe mno na hakuna wajuacho zaidi ya kupita pita kwenye corridors wakiuza sura na makoti meupe na stethoscope shingoni.
sitaki kuamini kua eti kwa sababu wanakua na wagonjwa wengi kupita kiasi, si kweli, mwenye kujali kazi yake atatulia, ataongea na mgonjwa kwa kirefu kujua allergy alizonazo, na mengine mengi kabla ya kutoa dawa. Mbona madaktari wa kihindi wanaweza, kwanini sisi tusiweze, ni uzembe tu!!! wa serikali watasema mishahara midogo hivyo hawawajibiki vizuri, na wa private hospitals watatuambia nini?
Bora umemaliza Mada maana leo mm nimecheka sana hasa niliposoma alichoCopy na kuPaste kwetuMtoa mada ni mnafiki na mpuuzi hajui anachokiandika.
mtoa mada shirikisha akili yako kabla hujaandika utumbo wako. Kama una akili timamu kwa taarifa yako hakuna dawa ambayo haina madhara duniani. Ukinunua dawa yoyote ile jaribu kusoma leaflet yake utakuta madhara/ side effects. Na madhara yaliyoandikwa sio lazima yatokee. Mgonjwa huyu anaweza kupata madhara na mwingine hasipate. Wewe toka umezaliwa hujawahi kutibiwa tanzania? Ulikufa leo umetokea jehanamu ukaona huo uuaji wa madaktari?Au kwa vile unajua kiingereza kidogo umeamua kuingia mtandaoni na kuanza kuropoka? Wangekuwa madaktari wauaji wewe ungezaliwa. Bibi au babu yako sio angekufa hata baba yako hasingezaliwa
kama ilivyo kwenye fani zingine kwenye taaluma ya udaktari pia kuna mapungufu yake..na sio vizuri kugeneralize
pia kila dawa ina contraindication zake,ukitafuta dawa ambayo haina madhara utakufa ukitafuta..alafu mleta mada hebu tueleze ulipomeza hiyo dawa(sijui sindano) ulipona..?ilikuletea madhara yoyote..?
Huyu jamaa nlimfuatilia tangu kwenye post ya juzi...nafahamu comment zake...alichofanya nikukaa chini kuamua kumuiga mwenzake...na kutunga then akaweka na google kidogo...na kuna watu wanamsupport.....nlishasema tuache ujuaajikama kitu hujui uliza ....alafu pia ukiwa muongo na mnafki uwe na kumbukumbu .....Anasema NURSE alimwambia ni SINDANO....akapewa Akafika nyumbani AKATAKA kuimeza.......Hata km kuna madaktari wanadharau(kwa hulka yao mbaya) lakini namana hii unafanya daktari mwingine na mwinginwe na mwingine ambaye hana hata mpango wa kudharau mtu adhidi kukudharau kwa sababau ya mambo kama haya hata kama ni SHUTMA za kutunga UJIPANGE BASI....Mnafanya JF inaonekana ni chaka la vilaza
Naunga mkono kabisa kwamba kuna uwezekano kabisa kwa baadhi ya watoa huduma kushindwa kutoa elimu kabisa kuhusu madhara yaambatanayo na matumizi ya dawa fulani ,lkn kwa huyu mtoa mada yeye alichofanya ni ku download phamacology ya Dexamethasone na kuitungia story yenye heading potoshi yenye uchonganishi kati ya jamii na jimuiya nzima ya madaktari wa Tanzania ,kwa kudhihirisha hilo ni pale alipopewa dawa ya sindano baada ya kushauriwa na Nesi yeye akaenda kuimeza !ni afadhari angesema angalau kabla ya kuinywa ningesema tena hakupata maelezo ya kutosha kwa kuwa injection Dexamethasone iko kwenye liquid form .Kweli naanza kuamini ya Wahenga kwamba "njia ya MUONGO ni fupi "kuna sehemu tu ktk uongo wake atajikwaa a.k.a Kujikanyaga .
Huyu jamaa nlimfuatilia tangu kwenye post ya juzi...nafahamu comment zake...alichofanya nikukaa chini kuamua kumuiga mwenzake...na kutunga then akaweka na google kidogo...na kuna watu wanamsupport.....nlishasema tuache ujuaajikama kitu hujui uliza ....alafu pia ukiwa muongo na mnafki uwe na kumbukumbu .....Anasema NURSE alimwambia ni SINDANO....akapewa Akafika nyumbani AKATAKA kuimeza.......Hata km kuna madaktari wanadharau(kwa hulka yao mbaya) lakini namana hii unafanya daktari mwingine na mwinginwe na mwingine ambaye hana hata mpango wa kudharau mtu adhidi kukudharau kwa sababau ya mambo kama haya hata kama ni SHUTMA za kutunga UJIPANGE BASI....Mnafanya JF inaonekana ni chaka la vilaza
Past medical History na kama.kuna allergy unataka mgonjwa ndio akuambie????!!!!
Hebu jibu kwa busara!!!!!!!Majibu haya yanaongeza chuki!!!!!
Kimya ni busara pia
Ozie umemjibu tpaul vizuri ila mimi bado nipo upande wake, at least Dr. angepata ABC kuhusu mgonjwa kama vile allerg, etc. Ozie na wengine mtakaomjibu huyu mtoa mada ninawasihi tujadili kwa amani na kushauri madaktari wetu kwa hekima - ingawa siyo kila Dr. ni kilaza ila wengi wa Madaktari hapa Tz wanakula simbi, wameiba paper za NECTA na wengi wao tumesoma nao tulikuwa tukinunua paper za NECTA so hapa hakuna ubishi kuwa baadhi yao ni vilaza tu kama sisi maafisa magereza. mfano hapa MOI kuna mtoto wa dada yangu kafariki juzi baada ya kupewa dose kubwa ya nusu kaputi hapa kumbe alikuwa na alerg na hiyo dawa. huu ulikuwa uzembe wa daktari kutotuuliza kama mtoto wetu ana alerg au la. angekuwa mjukuu Kikwete wangefanya hivyo? namalizia kwa kusema kuwa baadhi ya Dr. WANAJISKIA SANA KUWA WAO HAWAHITAJI KUULIZWA AU KUSHAURIWA.....WANA LAANA. AFADHALI WANGEKUWA ASKARI POLISI. NDO MAANA WENYE HELA ZAO HAWANA TIME NANYINYI WANAENDA ZAO INDIA, UK, SA. nk! VILAZA WAKUBWA MTAKUFA KWA LAANA!!!