Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,413
- 31,402
Nimepata notification ya Freeland , nilikuwa mgodini nachimba kidogoLabda Nguruvi3 hakupata notification yako.
nimepata chenga za 'Tanzanite' tugawane kidogo
Swali la Ugomvi: Mnaounga mkono polisi kupiga raia kwa jina la 'amani na utulivu" jibuni hili...
Madikteta wote duniani hufanana
Hatuhamishi magoli, hakuna nafasi sasa tunatumia uwanja wa cricket kucheza baseball
Unapanga magoli tofauti kidogo!
Au wa Rugby kuwa America Football. Hatuhamishi tena! tumefika