Madai ya Uchochezi na Masalio ya Fikra za Kikoloni ndani ya Watawala na Watawaliwa

Labda Nguruvi3 hakupata notification yako.
Nimepata notification ya Freeland , nilikuwa mgodini nachimba kidogo
nimepata chenga za 'Tanzanite' tugawane kidogo

Swali la Ugomvi: Mnaounga mkono polisi kupiga raia kwa jina la 'amani na utulivu" jibuni hili...

Madikteta wote duniani hufanana

Hatuhamishi magoli, hakuna nafasi sasa tunatumia uwanja wa cricket kucheza baseball

Unapanga magoli tofauti kidogo!

Au wa Rugby kuwa America Football. Hatuhamishi tena! tumefika
 
Nimepata notification ya Freeland , nilikuwa mgodini nachimba kidogo
nimepata chenga za 'Tanzanite' tugawane kidogo

Swali la Ugomvi: Mnaounga mkono polisi kupiga raia kwa jina la 'amani na utulivu" jibuni hili...

Madikteta wote duniani hufanana

Hatuhamishi magoli, hakuna nafasi sasa tunatumia uwanja wa cricket kucheza baseball

Unapanga magoli tofauti kidogo!

Au wa Rugby kuwa America Football. Hatuahamishi tena! tumefika

hahaha. ..kwamba hata nafasi za kuhamisha zimekwisha sasa.Ahsante sana mtu makini Nguruvi3

mkuu The Boss na mkuu Nyani Ngabu ....tuendelee kusimama kuhesabiwa
 
Makala hii inatupa tafsiri kuwa uhuru wa vyombo vya habari (kuanzia enzi za ukoloni hadi sasa) ni kuandika, kusema au kutoa maoni bila ukomo kwa ajili ya ukosoaji wa serikali / watawala na kwamba mwenye kupigania haki hiyo au kutoa mani hayo huonekana kama mhaini au mchochezi nk.
Juu ya yote hayo, ni vyema tukajitafakari na kujiuliza juu ya uhalisia na uhitaji wa vyombo vya habari wakati tulionao. Je habari ni kwa ajili ya kuuza magazeti / kuvutia watu au kwa ajili ya kuelemisha na kuhamasisha umma juu ya namna ya kuongeza kasi ya kusonga mbele kimaendeleo wakati wenzetu huko majuu wakiwa wametangulia kwa mbali? Je, ni wakati gani watu wote wanakuwa na mawazo ya pamoja (ya kukubaliana) na kusonga mbele bila ya kuwa na sheria au utaratibu wa kuwaongoza?
Ni ukweli usiopingika, na niko radhi kukosoewa, kufikiri kuwa maoni mbadala daima yako sahihi japo yanahitajika na kinachogomba hapa ni namna ya kuyawasilisha!
 
kipindi unaandika mambo fikirishi kama hayo nilikua nakuheshimu na kukupenda saana kama mzee mwenye kisima cha busara ila waswahili walisema kua uyaone... nikimtazama ndugu polepole na wewe mzee mwanakijiji naishia kusikitika tu....
Mimi nasikitika zaidi kuwa wewe unasikitika kwa sababu hauna sababu ya kusikitika. Ungewasikitikia sana wale waliosababisha haya yanayoendelea kwa kuamua kubadili safari angani.
 
Ongeza na Dr. W. Slaa. Hivi hawa watu wamelishwa nini hasa? Angalau Slaa labda kavutwa shati na mkewe. Mwanajijiji je? Of course Polepole kavutwa shati na cheo.
 
Mimi nasikitika zaidi kuwa wewe unasikitika kwa sababu hauna sababu ya kusikitika. Ungewasikitikia sana wale waliosababisha haya yanayoendelea kwa kuamua kubadili safari angani.
Kwa hiyo na wewe ukalipiza kisasi kwa kubadili gia angani na kurejea nyuma? nikiangalia hao waliobadili gia, bado wanaendelea kupambana. ila wewe umerudi nyuma kabisa
 
Of course, kwanini nilichoandika ni ukweli na ukweli huo bado unasimama mbona.

Huku Bongo wenzio tukisema ukweli tunaambiwa Wachochezi tunaitwa Polisi kuhojiwa. Watawala wako uliokuwa unawapigia debe hawataki kusema wanataka kusifia hata kisichosifiwa tunaambiwa tusifie
 
Hili niliandika mwezi Machi. Niliandika nikigusia tishio ambalo leo linatokea na watu wengine wanafikiri labda nimeanza kuandika hili leo. Ukirudi nyuma utaona nilianza kuandika hili mwaka 2006 kwa kiasi kikubwa na kulirudia 2008.

..2017 hali imekuwa mbaya zaidi.

..Mzee Yussuf Makamba alitabiri kutakuwa na "UBATIZO WA MOTO."
 
MM angalau bado anajenga hoja kwa anachokisimamia. Ninashangazwa na hawa ambao wamemfanya role model waliyemwita fisadi mkuu nchi hii. Hakuna falsafa wanayosimamia zaidi ya kutafuta matukio na kudhalilisha wanaopishana nao mawazo. Zimebaki siku 2 jua kupakatwa na mwezi
CCM wajanja waliuza hiyo gia kummaliza Edo.
CDM wakubumbuluka wakaka hilo dodo.
Kwa nini wenye vyombo vya dola wasimuweke ndani, kama ni kweli??
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom