Ze General
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 1,508
- 1,246
Na hili nalo litapita kimya kimyaa
Mbele ya Mfalme yule wa nchi ya waamoni, Ni kosa la jinai kuwatetea wale wenye mrengo wa kushoto.AI JII PII NA CPKA WAJIBU WAACHE KUUCHUNA....AU WOTE WAWILI WAJIUZULU KULINDA HESHIMA YAO KATIKA JAMII...KWANI CHEO NINI BHANA?
Si Kila upumbavu unaoongelewa na wapinzani uchwara wakiamini watanzania wasiokuwepo eneo la tukio wataamini, ujibiwe au ukanushwe.Ni wazi wamekosa utetezi au wanahofia kuibua mjadala zaidi kama sio kuhofia maswali ya waandishi.
Hili jambo linahitaji majibu kutoka kwa wahusika tofauti na hapo huu utakuwa ni ushahidi tosha wa kimazingira kuwa kuna picha wanajaribu kuzificha.
Ingekuwa ni utaratibu wa kawaida bila shaka wangeshajitokeza hadharani na kutupa mifano ya maeneo mengine ambayo utaratibu kama huo ufanyika au hata kutaja sehemu ambayo camera hizo zimekuwa zikipelekwa na pengine kutoa vielelezo vya makabidhiano au matengenezo,n.k .
Kama wanafunga camera mpya basi tunatarajia wangetoa document za manunuzi zikionyesha tarehe ya manunuzi au document zinazonyesha kuwa hizo camera zinapaswa kubadilishwa pamoja na nyaraka za camera mpya zilizofungwa maana sidhani kama nyumba za viongozi zinaweza kuachwa bila camera za usalama kwa maana ya kuondoa zilizopo wakati za ku-replace hazijapatikana.
Anyway,labda wanaandaa majibu hivyo tuwe wavumilivu.
Hawa viumbe hawaogopi kudhalilika kabisa....kwani majibu ya mabomu ya Olasiti na kwenye mkugano wa CHADEMA yako wapi?Majibu yanaendelea kuandaliwa na wana nanihii!!
Tusubiri tu, hii kitu ya Lissu inawadhalilisha mno!
Ni wazi wamekosa utetezi au wanahofia kuibua mjadala zaidi kama sio kuhofia maswali ya waandishi.
Hili jambo linahitaji majibu kutoka kwa wahusika tofauti na hapo huu utakuwa ni ushahidi tosha wa kimazingira kuwa kuna jambo haliko sawa.
Ingekuwa ni utaratibu wa kawaida bila shaka wangeshajitokeza hadharani na kutupa mifano ya maeneo mengine ambayo utaratibu kama huo ufanyika au hata kutaja sehemu ambayo camera hizo zimekuwa zikipelekwa na pengine kutoa vielelezo vya makabidhiano au matengenezo,n.k .
Kama wanafunga camera mpya basi tunatarajia wangetoa document za manunuzi au document zinazonyesha kuwa hizo camera zinapaswa kubadilishwa pamoja na nyaraka za camera mpya zilizofungwa maana sidhani kama nyumba za viongozi zinaweza kuachwa bila camera za usalama kwa maana ya kuondoa zilizopo wakati za ku-replace hazijapatikana.
Vile vile inawezekana ziliondolewa kwa nia njema tu ya kufanya uchunguzi au kuhifadhi au kulinda ushahidi ila kwa mtazamo wangu walichokosea ni kufanya hivyo bila kushirikisha upande wa pili
Anyway,labda wanaandaa majibu hivyo tuwe wavumilivu.
Hivi ulishawahi kufikiria ........... iwapo Dereva wa Lissu akiamua kuhama nchi au akapata asylum somewhere na asirudi tena Bongo!!Uchunguzi bado unaendelea, anasubiriwa dereva wa Lissu
Kamanda wa TAKUKURU Bw. Mlowola amemjibu Nasari baada ya kumsikia katika media kuwa ataendelea kutoa ushahidi mithili ya tamthilia ya Isidingo!Taarifa hizo zilipelekwa au media ndio zitoe jibu.
dereva angekufa mngesubiri nini?Uchunguzi bado unaendelea, anasubiriwa dereva wa Lissu