Madai ya kuondoa CCTV Camera: Wahusika mpaka sasa wameshindwa kutoa ufafanuzi wala kukanusha

wabongo bana!hebu tuonesheni picha zinzozionesha hizo cctv camera kabla ya tukio,na tuoneshwe picha zinzoonesha hizo cctc zikiwa zimebanduliwa baada ya tukio.
Tusipende kujadili mambo yasiokuwepo
 
Kwa wenzetu , kama picha zilinaswa watuhumiwa sura zao zingewekwa kwenye magazeti na runinga ili wananchi wasaidie kuwapata, naonaga marekani wao mpaka video wanaweka wazi kwa wananchi Tz inaogopa nn

Acha ujinga ukiona picha ya mtu imewekwa hadharani ujue polisi wameridhika na huo ushahidi kuwa anahusika..hawaweki tu picha ya mtu wanayemkuta kwenye cctv cameras..Itawagharimu
 
Umeshaambiwa mjadala umefungwa wewe bado tu oh cctv camera sijui nini, bla bla bla. Hukumsikia kamanda Siro?

Puumbaaf..!!
Who is Ziro in the case of a Tanzanian consitutional rights??? Your bad name tells it all....!! Kweli wewe ni Magonjwa mtambuka na hakuna tiba. Kuna msemo majina yana 'roho' so, calling thyself a communicable diseases there you're!

Listen clear and let this think into your tiny and small brain like cockroach-mende...!!!Ziro hawezi kuzuia Watanzania wasihoji kuhusu hatima ya usalama wao na haki zao kikatiba. Watanzania tunataka kujua hizo CCTV Camera kwanini zimeondolewa lini na nani kwa manufaa ya nani...??Watanzania tunataka kujua kwanini Tundu Lissu alitaka kuuliwa kwasababu za kishenzi na kihuni...???Acha kupiga porojo na longolongo kwene serious issues kama hii. You must be kidding yourself...!Period.
 
Acha ujinga ukiona picha ya mtu imewekwa hadharani ujue polisi wameridhika na huo ushahidi kuwa anahusika..hawaweki tu picha ya mtu wanayemkuta kwenye cctv cameras..Itawagharimu
Umetumia kiungo gani kufikiri!!! CCTV kama ilikuwepo ni wazi itaonesha mtu aliyekuwa na bunduki na alivyo kuwa anashambulia , alafu ww kwa akili yako unasema hatakuwa anahusika
 
Puumbaaf..!!
Who is Ziro in the case of a Tanzanian consitutional rights??? Your bad name tells it all....!!
...so, calling thyself a communicable diseases there you're!

Listen clear and let this think into your tiny and small brain like cockroach-mende...!!!
Wewe kilaza achana na kizungu. Unajiumbua tu.
 
Magonjwa Mtambuka, Who is Kilaza between me and you?
How can you correct my english if you can't make even a single sentence in English??? You must be sick in your head..!!I have said it and I say it once again you're suffering from communicable diseases (Magonjwa mtambuka)...!!!! If pains persists consult a doctor...!!!Phew..!!!
 
Umetumia kiungo gani kufikiri!!! CCTV kama ilikuwepo ni wazi itaonesha mtu aliyekuwa na bunduki na alivyo kuwa anashambulia , alafu ww kwa akili yako unasema hatakuwa anahusika

Kilaza, kasome tena post then uje!
 
Magonjwa Mtambuka, Who is Kilaza between me and you?
How can you correct my english if you can't make even a single sentence in English??? You must be sick in your head..!!I have said it and I say it once again you're suffering from communicable diseases (Magonjwa mtambuka)...!!!! If pains persists consult a doctor...!!!Phew..!!!
Your English still sucks.
 
Unfounded allegations as usual. You don't seem to believe anything from the Government and yet you are asking the same to responds!
Imbecile
 
Nilitegemea kwa maneno yale ya Mbowe kwenye press conference awe ameshaitwa kuhojiwa mapema,Ina maana zile zilikuwa ni facts tupu imebidi wajipange
Ukiona hivyo ujue hakuna hata jambo moja Mbowe alilozusha na wameshindwa wambane wapi.
 
wabongo bana!hebu tuonesheni picha zinzozionesha hizo cctv camera kabla ya tukio,na tuoneshwe picha zinzoonesha hizo cctc zikiwa zimebanduliwa baada ya tukio.
Tusipende kujadili mambo yasiokuwepo
Anaeishi hapo, walinzi na kampuni ilofunga hizo camera ndio watakaojibu.
 
Ni wazi wamekosa utetezi au wanahofia kuibua mjadala zaidi kama sio kuhofia maswali ya waandishi.

Hili jambo linahitaji majibu kutoka kwa wahusika tofauti na hapo huu utakuwa ni ushahidi tosha wa kimazingira kuwa kuna jambo haliko sawa.

Ingekuwa ni utaratibu wa kawaida bila shaka wangeshajitokeza hadharani na kutupa mifano ya maeneo mengine ambayo utaratibu kama huo ufanyika au hata kutaja sehemu ambayo camera hizo zimekuwa zikipelekwa na pengine kutoa vielelezo vya makabidhiano au matengenezo,n.k .

Kama wanafunga camera mpya basi tunatarajia wangetoa document za manunuzi au document zinazonyesha kuwa hizo camera zinapaswa kubadilishwa pamoja na nyaraka za camera mpya zilizofungwa maana sidhani kama nyumba za viongozi zinaweza kuachwa bila camera za usalama kwa maana ya kuondoa zilizopo wakati za ku-replace hazijapatikana.

Vile vile inawezekana ziliondolewa kwa nia njema tu ya kufanya uchunguzi au kuhifadhi au kulinda ushahidi ila kwa mtazamo wangu walichokosea ni kufanya hivyo bila kushirikisha upande wa pili maana teyari kuna hali ya kutoaminiana.

Binafsi nilitarajia kama camera hizi zilinasa chchote basi umma ungedokezwa mapema kuwa camera hizi zilinasa tukio lile na kwamba wanatarajia zitasasaidia uchunguzi na leo hii sidhani kama mh.Mbowe angehoji jambo hili.

Lakini pia kama camera zilinasa sura za wahusika ni vzuri sura hizo zikawekwa hadharani ili wananchi wakazifahamu na kusaidia upelelezi.

Anyway,labda wanaandaa majibu hivyo tuwe wavumilivu.
Kamera za cctv huchukua picha na kuzipeleka kwenye rekoda na ndiyo inayohifadhi tukio, ukitaka kuangalia tukio hauchukui kamera kwani yenyewe hairekodi.
 
Ni wazi wamekosa utetezi au wanahofia kuibua mjadala zaidi kama sio kuhofia maswali ya waandishi.

Hili jambo linahitaji majibu kutoka kwa wahusika tofauti na hapo huu utakuwa ni ushahidi tosha wa kimazingira kuwa kuna jambo haliko sawa.

Ingekuwa ni utaratibu wa kawaida bila shaka wangeshajitokeza hadharani na kutupa mifano ya maeneo mengine ambayo utaratibu kama huo ufanyika au hata kutaja sehemu ambayo camera hizo zimekuwa zikipelekwa na pengine kutoa vielelezo vya makabidhiano au matengenezo,n.k .

Kama wanafunga camera mpya basi tunatarajia wangetoa document za manunuzi au document zinazonyesha kuwa hizo camera zinapaswa kubadilishwa pamoja na nyaraka za camera mpya zilizofungwa maana sidhani kama nyumba za viongozi zinaweza kuachwa bila camera za usalama kwa maana ya kuondoa zilizopo wakati za ku-replace hazijapatikana.

Vile vile inawezekana ziliondolewa kwa nia njema tu ya kufanya uchunguzi au kuhifadhi au kulinda ushahidi ila kwa mtazamo wangu walichokosea ni kufanya hivyo bila kushirikisha upande wa pili maana teyari kuna hali ya kutoaminiana.

Binafsi nilitarajia kama camera hizi zilinasa chchote basi umma ungedokezwa mapema kuwa camera hizi zilinasa tukio lile na kwamba wanatarajia zitasasaidia uchunguzi na leo hii sidhani kama mh.Mbowe angehoji jambo hili.

Lakini pia kama camera zilinasa sura za wahusika ni vzuri sura hizo zikawekwa hadharani ili wananchi wakazifahamu na kusaidia upelelezi.

Anyway,labda wanaandaa majibu hivyo tuwe wavumilivu.
Itakuwa heri kama wanatafuta majibu.maana vinginevyo nilitarajia Mboe kukamatwa kwa kuingilia na kuchunguza mfumo wa usalama wa waziri
 
Back
Top Bottom