Madai ya Kenya kuhusu Olduvai Gorge iko Kenya

M_kara

JF-Expert Member
Jan 9, 2016
385
293
Ombi Muhimu:
Kwa yeyote mwenye account ya facebook ya Zuhura Kassim au Salim Kikeke wa BBC Swahili awambie wamtafute Rosemary Odinga kwa mahojiano ya presentation yake mbele ya UN kwamba amedanganya ulimwengu. Part of journalism ni kuweka ukweli wazi. Simply a naked lie.
 
what a shame??? baada ya Kilimanjaro mt sasa ni olduvai George. what next Zanzibar na ngorongoro itakuwa kenya
 
Hapo sasa wamevuka mipaka Kilimanjaro walijimilikisha sasa wanaingia ndani kabisa mwisho watasema ngorongoro ni yakwao.

Nakumbuka awamu iliyopita tulitoa tamko la kupunguza safari za ndege zao kuingia Tanzania wao wakafunga mipaka watalii wasije Tanzania.

Baadala nasisi kuonyesha ujasiri wetu tukawachekea siku yapili naona maraisi wanashikana mikono ni udhaifu mkubwa sana tumeuonyesha ndio maana hata leo wanasema watakacho kwasababu wanajua hatuwaambii kitu.

Tungewafungia alafu sisi tungefungulia kiwanja chetu chakilimanjaro ndege zitue nyingi alafu tungeona jeuri yao na vimbuga vyao.
 
Tusishangae mana hata Tanzanite ilihama kutoka tz kwenda nyayo twiga kutoka bongo mpaka falme za kiarabu
 
Ombi Muhimu:
Kwa yeyote mwenye account ya facebook ya Zuhura Kassim au Salim Kikeke wa BBC Swahili awambie wamtafute Rosemary Odinga kwa mahojiano ya presentation yake mbele ya UN kwamba amedanganya ulimwengu. Part of journalism ni kuweka ukweli wazi. Simply a naked lie.
Ingia Facebook andika salim kikeke katika search utapata account yake
 
Ni afadhali wangesema kwamba Jecha ni raia wa Kenya kuliko kujisingizia hiyo historical site maarufu ambayo Dr. Leaky aliitumia kama study area yake mwaka 1959.

Na wewe wakikuambia ni raia wa Kenya, utajisikiaje Ndugu yangu?
 
1456685436687.jpg

Hiyo ni ndege ya kenya ina maandishi ya Mount Kilimanjaro, wanatumia majina ya vivutio vyetu kujitangaza duniani huku waziri wa maliasili na utalii yupo tu amekaa kimya akila pesa za umma na kuendeshwa kwenye shangingi za kifahari. Inasikitisha sana, maana watu wamepiga kelele sana ila serikali haichukui hatua yoyote. Kama waziri wa maliasili na utalii ataendelea kukaa kimya kutowachukulia hatua wakenya nitaamini ana maslahi binafsi na kenya.
 
Ombi Muhimu:
Kwa yeyote mwenye account ya facebook ya Zuhura Kassim au Salim Kikeke wa BBC Swahili awambie wamtafute Rosemary Odinga kwa mahojiano ya presentation yake mbele ya UN kwamba amedanganya ulimwengu. Part of journalism ni kuweka ukweli wazi. Simply a naked lie.
Hahahaha Watanzania bwana,kweli watu wa maajabu,saa nyie wenyewe mnashidwa kutangaza mali asili zenu,...hivi kweli mshawahi kusikia mtanzania yoyote anaesifia au kuzinadi mali asilia za Tanzania....,watanzania kazi yao ni majungu na kazuia wanawake wasivae wanachopenda kuvaa,,,.kwa taarifa yako hata mkata viuno "Diamond Platinamz" wanajitangazia wa kwao.,wakati nyie mnazuia kazi zake nyingine zisichzwe kwenye radio na televition za Tanzania...,,kazi yenu majungu tu,hahahahaha

Hii ni habari nimeipata kwenye Dar 24 "KUMBE DIAMOND PLATNUMZ NI MKENYA?!

Na hawa wameandika kuwa video mpya ya mwanamuziki AKA aliyomshirikisha DIAMOND PLATNUMZ kutoka KENYA imevunja rekodi kwa kutazamwa mara milioni 1 ndani ya siku kumi."


 
Hiyo mijitu Mugabe alishaiambia. Inferiority complex tu ndio maana inatumia majina ya sehemu za Tanzania kuficha aibu yao. Pumbavu zao.
 
Naomba msinielewe vibaya.
JF haiko kimataifa sana lakini hii movement ingekuwa ktk Tweeter na tungemention UN na agency zake zote na top leaders wa UN wote hakika hii ingeanza kufuatiliwa zaidi na huyo Mkenya kusahihisha alichodanganya lakini tukikaa kimya gvt nayo iko kimya kumbuka uongo ukisemwa sana unaweza ukaaminika yatakiwa tukanushe
 
Back
Top Bottom