The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,003
- 3,269
Hapa nakubaliana na Mgonjwaukimwi. Kuna factors nyingi zinazo-determine competitiveness ya kuuza bidhaa nje. Kwa Tanzania, thamani ya shilingi haiwezi kuwa determining/significant factor, at least so far.
Tukirudi kwenye somo la shilingi yetu kupata nguvu, ni kwa sababu ya kupungua thamani ya dola...na wala sio endogenic factors....production, saving, export, etc.
BTW: Mgonjwaukimwi huhitaji kusema ukiwa na muda wa kucheza ndio unaingia JF. Kuonekana kwako nadra hapa ni ishara tosha kwamba unatumia muda wako kwingine. Assuming ukimwi bado haujakumaliza kabisa.