Usikubali kamwe kujishikilia, shikiliana dearest...huyu EMT ana pozi za ajabu, kama kuja na aje bwana...ah!
Basi inabidi nisubirie ambae nafasi yake iko wazi kabisa il niwe wa kwanza kuwahi siti .
Kwanza karibu sana JF. Nimeona umejiunga jana. Sheria za JF umezipitia? Umezielewa vizuri? If so, unaweza unakabonyeza kifute cha "REPORT ABUSE" na kuwaripoti kwa Mods wale wote wanaokaa JF 24 hours kama unaona ni kinyume na sheria za JF. Wewe kila ukiamka unakuja kusoma habari JF, unafikiri kama wote wangelala ungekuja kusoma nini hapa?
Kwa hiyo ukianzisha thread yako, wachangie tuu machana lakini sio usiku wa manane kwa sababu watakuwa wanaenda kinyume na fikra zako? Au basi na wewe pitia na changia tuu zile threads zinazoanzishwa mchana tuu kama za usiku wa manane ziko kimyume na fikra.
Mpaka sasa bado sijajua kinachokuwasha. Unadai aliyeleta hii thread kasema ukweli. If so kwa nini ameomba msamaha?
Kagairi
Ina maana kwa wale ambao tunakua na waume zetu mida hio... no Problem with us? :A S 39:
Yawezekana nawe unakesha ndo maana umejua hayo.Najua nimeianzisha hii topic nitaogelea matusi kutoka kwa wadada mpaka basi, lakini kwangu haijalishi mtasema, mtaponda kimpango wenu.
Nawauliza wenzangu mnandoa, mnamajukumu? Usiku kucha kila topic ukiangalia saa 7 au 8 mpo tu wenzangu! Maana hata muda wa kushughulika na kazi nyie mko hewani tu, sijui hata hao mashemeji mnawapa haki yao saa ngapi?
Au wenzangu muda huo mnakuwa mko ofisini sasa wakati mnasubiria ******** mnazuga kwenye Internet??
Punguzeni basi, najua mtasema nimewatusi, kama limekugusa badilika. Naomba msamaha.
Ina maana kwa wale ambao tunakua na waume zetu mida hio... no Problem with us? :A S 39:
Nauliza tu ..
ukifanya mchana , asubuhi , au jioni haihesabiki? Lazima iwe usiku wa manane
Kwenye giza tororo na na blanket kwa juu ?
C'mon Lizzy.... Be a good girl. Umebaki wewe tu ujue. Wote wamenitosa.Sasa hivi una shida ndio unanikumbuka? Nakiletea gongo ikukaange maini.
C'mon Lizzy.... Be a good girl. Umebaki wewe tu ujue. Wote wamenitosa.
........ Ila kwa sasa,wataniona hadi wapasue laptop zao!!
EMT, hawa hawajajiunga jana wala nini! !Ni watu tu wamekosa attention,kinawakera wenzao kupendwa na kina Babu ODM na kupewa attention basi waenda jifungulia ID mpya na kuja kuleta upupu wao....na watawashwa sana mpaka waingiziwe mabomba kwenye **** na ****** ndo wapate unafuu.....!!
Ina maana kwa wale ambao tunakua na waume zetu mida hio... no Problem with us? :A S 39:
EMT, hawa hawajajiunga jana wala nini! !Ni watu tu wamekosa attention,kinawakera wenzao kupendwa na kina Babu ODM na kupewa attention basi waenda jifungulia ID mpya na kuja kuleta upupu wao....na watawashwa sana mpaka waingiziwe mabomba kwenye **** na ****** ndo wapate unafuu.....!!
Unaleta pozi ufanyweje sasa??
Whatsup Belle.
Pozi au ndio ukweli wenyewe?
Fellow tablet nipe hongera, Lizzy ana ujauzito wangu. ushahidi zaidi akijifungua nitampeleka DNA asje akaniuzia mimba ya figganigga. MiaC'mon Lizzy.... Be a good girl. Umebaki wewe tu ujue. Wote wamenitosa.
Ndio mazagrandfaza waambie bana! wakikutukana nifate PM
Hivi wajua navokusubiri? Bibi kishaenda kwao kama ulivotaka umekwama wapi. Afu ujue kabisa sabuni zimeniishia.Atiiiiiiiiiii?? hadi Michelle babu?? C'mon....lol
Ndio mazagrandfaza waambie bana! wakikutukana nifate PM