Madada mumeharibu kabisa maana halisi ya mapenzi

Madada mumeharibu kabisa maana halisi ya mapenzi

Kwakweli kupenda no uchizi co mapenzi ya kawaida sio ndoa no utahila, kwa sis wanaume unapofkia maamuzi ya kuoa kiukwel Bora uoe mwanamke anaekupenda utaish kwa amani lkn ukioa unaempenda braza lazm huisome namba mbele ya safari
 
Tatizo lilianzia pale uhusiano ulipo advance toka kwenye mfumo wa Barter Trade kwenda kwenye Business transaction.

Men want sex,,,women want money...Ni exchange process.

Ni transition tu kutoka kwenye mfumo wa awali kipindi ambacho uongo na unafiki ulikuwa na nguvu (dark ages) mpaka sasa ambako tuko kwenye ukweli na uwazi (information age). Watu wako well informed na globalised.

Watoto wa kike washagundua kuwa baada ya porojo za nakupenda sana nakuona kwenye glass dhima hasa ni kuvuliwa chupi tu yani care na upendo ni kama geresha tu sababu they mostly ended being dumped.Hii ilipoteza muda mrefu mno kuanzia 3 months to years to get engaged in bed activity ila takes a few days before being dumped.

Kwahio wamefupisha process tu mambo yasiwe mengi as long as una anachoweza nufaika nacho basi ata respond positively na wengi likely wanavutiwa na pesa tu na material stuffs. Anakulia pesa zako for sometime kisha anakupa usuuze rungu.

Ndio mfumo wa kisasa, change comes with pains always kwahio huu mfumo kuna ambao wanaumia nao ila ndo mabadiliko yalivyo siku zote.
Well said....
Sijui niongezs neno.....
Nitakua natoa siri sasa[emoji1787][emoji1787]

Ni hivi..kuna ile unampenda mtu vile alivyo wala si kwa sent zake bali true love...huombi ht 100..pengine anazo au hana...lkn husumbuki na mali zake wewe unafocus kimapenzi..unakufa unaoza

bana banaaa unakuja pigwa pigo moja takatifuu....unaumizwaa..hutamani tena kupenda...
Ukikaa na kutafakari unajipa jibu..kumbe kupenda ni bure[emoji2]
Ss anatokea baharia mwingine...anakupenda huku moyo unajeraha tyr...unaamua siamini tena mtu...unaamua kuqa material oriented...unajiambia kwaninj niteseke....nipe nikupe

Na wa hivi inasemekana ht ukiachwa huumii maana hukwenda kuzama kimapenzi.bali unaenda tu kula raha....pesa zake..starehe zake basi....
Ila ukichunguza vzr..wengi waliumizwa na waliowapa mapenzi...
So wanaamua liwalo na liwe...
 
Ubaya wa hii cycle ni rahisi kumuumiza asiye na hatiašŸ˜…
 
Screenshot_20220106-124530.png

Juzi nimepigwa kizinga cha hiyo lace wig naambiwa ni 1000 dirham! Tutafte pesa jamani!
 
Aliyeulizwa swali kashajibu
Tuliza matacco hayo
Bado ww tuu hujavujisha video yako ukijisukumia mchupa takoni ....tunaisubir [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Bado ww tuu hujavujisha video yako ukijisukumia mchupa takoni ....tunaisubir [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Yangu tayari mbona
Ni wewe tu huna koneksheni
 
Jamani,mbona madongo yamekua mengi.Turudi kwenye uzi wetušŸš¶šŸ½ā€ā™‚ļøšŸš¶šŸ½ā€ā™‚ļøšŸš¶šŸ½ā€ā™‚ļø
 
Mwanamke wangu nilimpenda ,nilikuwa hadi namfulia,cku kachoka napika tile hadi mtt nilikuwa namuogeshaa na kupiga deki piaa ,swalaa la kumpa helaa ndio usisemee ,sita kwa sita hadi mkongo nilikuwa nampakiaa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] lakini bado tu aliniachaaaaa cjui wanawake wanatakaa nn kwa mwanaumee maninaa zako
Hapa ndio ile wao wanasemaga "nice guy anaboa". Kwa hiyo atakuwa aliboreka na hayo " mema" uliyokuwa unamfanyia. Kanuni ya ukinaifu.
 
Huwa hazitoshi mkuu, hata wenye nazo kutushinda wote kina Elon Musk, Bill Gates, Jeff Bezos, Warren Buffett kutwa kucha wanakuja na ideas mpya ya kuingiza mpunga zaidi...
Usimchanganye,yeye kasema anataka true love. Mambo ya pesa yanaingiaje hapo mkuu?. Mahitaji ya binadamu sio pesa tu.
 
Back
Top Bottom