Madada mumeharibu kabisa maana halisi ya mapenzi

Madada mumeharibu kabisa maana halisi ya mapenzi

Mwanamke wangu nilimpenda ,nilikuwa hadi namfulia,cku kachoka napika tile hadi mtt nilikuwa namuogeshaa na kupiga deki piaa ,swalaa la kumpa helaa ndio usisemee ,sita kwa sita hadi mkongo nilikuwa nampakiaa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] lakini bado tu aliniachaaaaa cjui wanawake wanatakaa nn kwa mwanaumee maninaa zako
Wanawake Wana tabia ya ku mtest mwanaume aone msimamo wako,Na kama ukiwa unakubali Kwa Kila tests anayo kufanyia anaona unakubali mwishowe ana kudharau na kukupeleka kama anavyo taka yeye au anaweza kukuacha na kubaki unajiuliza kakuacha kisa nini Kumbe sababu ni kuto kuwa na msimamo kama mwanaume na kumruhusu akuongozee badala ya wewe kumuongoza.

Vipi Mkuu mkeo anadai kakuacha Kwa sababu Gani??
 
Hahahahahahah mapenzi aliokwambia nani kum bby sit demu ndio utapendwa[emoji28] demu inafaa umsomeshe namba sometime ili aone kuwa nawe una mchango kwenye maisha yake.
Kumfanyia mema mwanamke by 100% sio guarantee kuwa atakupenda by 100%
Mjuba alicho kosea ni kumsikiliza Mke wake,akiambiwa kachoka haijiharishi ni kweli au maigizo.Yeye Anafanya mwenyewee Shughuli akidhani ndo atapendwaa saana.[emoji28]
 
Ajabu ni ukimueleza sina kwa sasa, subiri baadae unakumbana text, bado tuu hujapata, nitumie basi kmm...k
 
Wanawake Wana tabia ya ku mtest mwanaume aone msimamo wako,Na kama ukiwa unakubali Kwa Kila tests anayo kufanyia anaona unakubali mwishowe ana kudharau na kukupeleka kama anavyo taka yeye au anaweza kukuacha na kubaki unajiuliza kakuacha kisa nini Kumbe sababu ni kuto kuwa na msimamo kama mwanaume na kumruhusu akuongozee badala ya wewe kumuongoza.

Vipi Mkuu mkeo anadai kakuacha Kwa sababu Gani??
Kazeee flani HV kanafanya usalamaa alikasombaa jumla jumlaa akakawekaa ndanii baada ya mke wake kufariki hvyo analeaa wtt wa mzee,cku hzi anatembeleaa mandinga makali mzee naona anampa anachotakaa na bibie atakuwa anamfinyiaa sanaaa mzeee kwa ndan maana mtt wakiparee yuleee anayajuaa bhanaa asikwambieee mkuuu,ilaa ndio hvyo hakuwa riziki kwanguu,,,
 
Mjuba alicho kosea ni kumsikiliza Mke wake,akiambiwa kachoka haijiharishi ni kweli au maigizo.Yeye Anafanya mwenyewee Shughuli akidhani ndo atapendwaa saana.[emoji28]
Atajifunza tu😅
 
Salaam wadau & wadada wa Jamiiforums

Kwakwel wadada mumetuharibia kabisa maana halis ya mapenzi

Ngono tofaut kbs na mapenzi,
Mapenzi ni bora zaid ya Ngono

Yani neno I love you sik hiz unajua kabisa nimeambiwa kwasabab ya hiv visent vyangu vilivyo mfukoni dah[emoji24]

Mambo ya kuch kuch hotai hamna kabisa ambayo ndio kila kitu katika mapenz

Love is not only about fuc* k, it's more than that

Real love....... it's about caring each other,
Enjoying each other

Lakin sik hiz munachojua niny kuja geto then baada ya hapo vibomu (eti ndo mapenzi [emoji3516][emoji1787][emoji24])

Wengine hata hatujali hivyo vihela bhc tunawapa tu but we need true love bhn

Note:
Sio tangazo hili ni maoni yangu tuView attachment 2069985

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni hao unaokutana nao
 
Back
Top Bottom