Madada mumeharibu kabisa maana halisi ya mapenzi

Madada mumeharibu kabisa maana halisi ya mapenzi

I do appreciate you. Ingawa sioni haja ya wewe kutumia abusive language mrembo, Joanah.

Tujifunze kutoa maoni bila kumkwaza mtu mwingine kama ambavyo hupendi mtu akukwaze mrembo.
[emoji16][emoji16] yeye kaona ilo neno mpuuzi ndo kubwa lakumtukana mtoa mada hajui Kuna matusi zaid ya 1000 yapo tu yametulia je mtoa mada akiamua kumshushia sijui watu wata comment wap
 
Siku hizi hasa Africa mapenzi yamekuwa uwanja wa fujo
 
Tatizo binadamu tumetofautiana sana utashi na malengo linapokuja Suala zima la mahusiano.

[emoji117]wakati Wee unataka mapenzi ya kifilipino, mwenzio yeye kafata pesa au sex.
Sasa hapo LAZIMA TU UTAONEKANA UNAZINGUA, na mtazinguana TU.[emoji4]

Kwaiyo
Tujifunze kuvumiliana, ikishindikana tafuta wakuendana nae.

Kumbuka duniani tuko zaidi ya billion 7, na wanawake Ni zaidi ya billion 5.2.
Kati ya hao, zaidi ya billion 3 hawako KWENYE mahusiano.

Kwaiyo,
Unaweza kuona Ni jinsi gani unayo nafas ya kumpata wa kufafana na wewe[emoji4]
 
Tatizo lilianzia pale uhusiano ulipo advance toka kwenye mfumo wa Barter Trade kwenda kwenye Business transaction.

Men want sex,,,women want money...Ni exchange process.

Ni transition tu kutoka kwenye mfumo wa awali kipindi ambacho uongo na unafiki ulikuwa na nguvu (dark ages) mpaka sasa ambako tuko kwenye ukweli na uwazi (information age). Watu wako well informed na globalised.

Watoto wa kike washagundua kuwa baada ya porojo za nakupenda sana nakuona kwenye glass dhima hasa ni kuvuliwa chupi tu yani care na upendo ni kama geresha tu sababu they mostly ended being dumped.Hii ilipoteza muda mrefu mno kuanzia 3 months to years to get engaged in bed activity ila takes a few days before being dumped.

Kwahio wamefupisha process tu mambo yasiwe mengi as long as una anachoweza nufaika nacho basi ata respond positively na wengi likely wanavutiwa na pesa tu na material stuffs. Anakulia pesa zako for sometime kisha anakupa usuuze rungu.

Ndio mfumo wa kisasa, change comes with pains always kwahio huu mfumo kuna ambao wanaumia nao ila ndo mabadiliko yalivyo siku zote.
Umenena vema kabisa
 
Mwanamke wangu nilimpenda ,nilikuwa hadi namfulia,cku kachoka napika tile hadi mtt nilikuwa namuogeshaa na kupiga deki piaa ,swalaa la kumpa helaa ndio usisemee ,sita kwa sita hadi mkongo nilikuwa nampakiaa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] lakini bado tu aliniachaaaaa cjui wanawake wanatakaa nn kwa mwanaumee maninaa zako
[emoji4]pale unapojifanya unawafahamu wanawake sana
JamiiForums-204902884.jpg
JamiiForums308654683.jpg
 
Tatizo lilianzia pale uhusiano ulipo advance toka kwenye mfumo wa Barter Trade kwenda kwenye Business transaction.

Men want sex,,,women want money...Ni exchange process.

Ni transition tu kutoka kwenye mfumo wa awali kipindi ambacho uongo na unafiki ulikuwa na nguvu (dark ages) mpaka sasa ambako tuko kwenye ukweli na uwazi (information age). Watu wako well informed na globalised.

Watoto wa kike washagundua kuwa baada ya porojo za nakupenda sana nakuona kwenye glass dhima hasa ni kuvuliwa chupi tu yani care na upendo ni kama geresha tu sababu they mostly ended being dumped.Hii ilipoteza muda mrefu mno kuanzia 3 months to years to get engaged in bed activity ila takes a few days before being dumped.

Kwahio wamefupisha process tu mambo yasiwe mengi as long as una anachoweza nufaika nacho basi ata respond positively na wengi likely wanavutiwa na pesa tu na material stuffs. Anakulia pesa zako for sometime kisha anakupa usuuze rungu.

Ndio mfumo wa kisasa, change comes with pains always kwahio huu mfumo kuna ambao wanaumia nao ila ndo mabadiliko yalivyo siku zote.
upo sawa kabisa, so what is your price tag?
 
Hahahahahahah mapenzi aliokwambia nani kum bby sit demu ndio utapendwa[emoji28] demu inafaa umsomeshe namba sometime ili aone kuwa nawe una mchango kwenye maisha yake.
Kumfanyia mema mwanamke by 100% sio guarantee kuwa atakupenda by 100%
Ukweli mchungu Sana huu, mwenye maskio na asikie[emoji4]
 
Back
Top Bottom