MADA YA WEEKEND: Wazee wa Dar na Benz la Mwinyi

Hii mada inatufundisha mambo mengi sana JUAN MANUEL na wengi hawawezi kuelewa hii kitu although bado elimu juu ya katiba na usimamizi wa rasilimali za nchi hasa kwa serikali wengi hatuna.

Ndiyo maana tunaona mtu akishika uongozi tu anaamua kufanya analoweza akijua hawezi kufanywa lolote, iwe kikatiba au kisheria.

Hebu tuchukue mfano mwingine, mtee mkapa alikuwa mbovu wa mguu na alikuwa anatembea na mkongojo je, hakuwa na umuhimu wa gari la chini?.
 
Back
Top Bottom