Mada ya Kizushi: Kijiwe chenye Totoz Wikiend

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Ni sehemu gani naweza kwenda pata kinywaji moja moto moja baridi kipindi cha wikiend halafu mwisho nikaondoka na totoz kali high class

ukiachana na totoz chafu chafu za la chaz na ambiance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1471474930699.jpg
 
ushachuma nusu bora umalizie tu.
Hizo nilizo chuma kesho mungu alinimamsha salama nitaenda kuzifuta Msikitini zaweza futika ila nikimuelekeza zaweza zidi uzito mpaka mwezi wa ramadhani ufike sio leo
 
Ingia bar, agiza kinywaji, kisha rejea hapa jukwaani, utakutana na totoz matata..... utadhani kama zilishushwa toka mbinguni...
 
Back
Top Bottom