Wanajadili ziara ya Prof Lipumba Rwanda.Wanazungumzia nini leo labda'? Ujinga..
Wanajadili ziara ya Prof Lipumba Rwanda.Wanazungumzia nini leo labda'? Ujinga..
Ni rahisi ngamia akapenya kwenye tundu la sindano kuliko kumpata mgombea uongozi wa ccm asie toa rushwa hakuna kiongozi asie kuwa na doa
Pole pole anachofeli Ana uccm sana
Maongezi yake yanamtengenezea Magufuli na kumuaribu Lowassa
Simbirisi sana huyu...
Pole pole anachofeli Ana uccm sana
Maongezi yake yanamtengenezea Magufuli na kumuaribu Lowassa
Simbirisi sana huyu...